Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Sijaelewa dingiTena wanawake
Jiwe alikuwa ni super dikteta na huyu ni dikteta kamiliKwani Utawale waBwana Ule Ulikuwa na Vision or Ubabe?
Vetting ifanyike ipasavyo ndani ya vyama pia Idara ya usalama wa taifa inatakiwa kuwa ndani ya vyama ili kuona kila hatu ya chama katika kumpata kiongozi husikaVetting gani wakati mnachagua chama hamchagui uwezo wa mtu
Self vision sio kufanya manunuzi bila kufwata taratibu acha ubwege wewe.Rais akiwa na self vision kama unavyosema wewe inasemekana hafati sheria na taratibu.
Vinginevyo nakubaliana na wewe kabisa kwamba nchi ikipata kiongozi mwenye uwezo wa kutatua changamoto ulizozisema anakuwa ni lulu kwa taifa.
Kuiba kura ni kuchagua chama?Vetting gani wakati mnachagua chama hamchagui uwezo wa mtu
Sijawahi kuwa mfuasi wa Rais yeyote zaidi ya Nyerere katika nchi hiiWe ngosha tatizo lako ni kuandika kwa mihemkp ya kisukuma ndio linakuponza.
Tumia akili na weledi kuandika , angalia dunia inapitia magumu gani badala ya kumlaumu mama yetu.
Tatizo mnaamini ndugu yenu ndie alikuwa anatupeleka sehemu salama kumbe alishatupeleka chaka siku nyingi.
Una uhakika Katiba ya Kenya ni bora?mbona kenya pamoja na kuwa na katiba bora haija "guarantee mambo hayo unayo yasema?
hivi sasa wanasiasa wamekimbilia mahakamani kudai mabadiliko ya katiba tena(BBI).
Siku zote wanasiasa wanataka kutimiza malengo yao tu ya madaraka na kugawana vyeo sio kuwaletea maendeleo wananchi.
Tanzania pamoja na kuwa na katiba ya zamani lkn bado imekuwa nchi bora zaidi ktk kuheshimu haki za binaadamu, Amani na utulivu, maendeleo n.k kuliko hata mataifa yenye katiba mpya.
kwa sasa hitaji la katiba mpya kwa Tanznaia ni upotezaji wa muda na rasilimali, jambo la msingi kwa sasa tujenge uchumi wa nchi yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wamepumua huku umeme unakatika ovyo.Ila angalau mkuu watu wamepumua baada ya yule mzee wa Chato kujifia kwa maradhi yake sugu
Kufwata ni lugha gani? huwa sijibizani na vilaza. kunamtu ametaja manunuzi hapa.Self vision sio kufanya manunuzi bila kufwata taratibu acha ubwege wewe.
Militaka mpumue sasa umbea wa nini?Yaani ni shida juu ya shida
Sasahivi mfumuko wa bei umeanza kwenda kasi kweli
Angakia bei ya mafuta January na Leo uone graph yake
Si mlisema sasa mnapumua?Self vision sio kufanya manunuzi bila kufwata taratibu acha ubwege wewe.
Si mlisema sasa mnapumua?
Mabwege kabisa nyie
Aliewaita nyumbu hakukosea kabisa hawaHawajui hata wanachokitaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekuelewa mkuu. Pole sanaijawahi kuwa mfuasi wa Rais yeyote zaidi ya Nyerere katika nchi hii...
Watu kama nyie sidhani kama hata mnaweza kuongoza familia.