Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Vision ni kuwa rais wa kudumu, kujaza wasukuma katika system. Mission ni kununua opposition, kupakazia kesi ikishindikana risasi na viroba baharini. wasiojulikana wadumu. Tutabaki na sanamu ya sabasaba.
 
Vetting gani wakati mnachagua chama hamchagui uwezo wa mtu
Vetting ifanyike ipasavyo ndani ya vyama pia Idara ya usalama wa taifa inatakiwa kuwa ndani ya vyama ili kuona kila hatu ya chama katika kumpata kiongozi husika

Yaani tuwe na watu wenye self vision ndani ya vyama wanaogombea wasio na vision wachujwe mapema ili kuepusha mambo kama haya.
 
We ngosha tatizo lako ni kuandika kwa mihemkp ya kisukuma ndio linakuponza.

Tumia akili na weledi kuandika , angalia dunia inapitia magumu gani badala ya kumlaumu mama yetu.

Tatizo mnaamini ndugu yenu ndie alikuwa anatupeleka sehemu salama kumbe alishatupeleka chaka siku nyingi.
 
Rais akiwa na self vision kama unavyosema wewe inasemekana hafati sheria na taratibu.
Vinginevyo nakubaliana na wewe kabisa kwamba nchi ikipata kiongozi mwenye uwezo wa kutatua changamoto ulizozisema anakuwa ni lulu kwa taifa.
Self vision sio kufanya manunuzi bila kufwata taratibu acha ubwege wewe.
 
We ngosha tatizo lako ni kuandika kwa mihemkp ya kisukuma ndio linakuponza.
Tumia akili na weledi kuandika , angalia dunia inapitia magumu gani badala ya kumlaumu mama yetu.
Tatizo mnaamini ndugu yenu ndie alikuwa anatupeleka sehemu salama kumbe alishatupeleka chaka siku nyingi.
Sijawahi kuwa mfuasi wa Rais yeyote zaidi ya Nyerere katika nchi hii

Yule mzee isingekuwa kubanwa na Sera za mabeberu angekaa mpaka mwaka 1999 Tanzania ingekuwa mbali sana kiuchumi.

Ila neocolonialism ilimuumiza sana mzee

R.I.P
 
mbona kenya pamoja na kuwa na katiba bora haija "guarantee mambo hayo unayo yasema?
hivi sasa wanasiasa wamekimbilia mahakamani kudai mabadiliko ya katiba tena(BBI).
Siku zote wanasiasa wanataka kutimiza malengo yao tu ya madaraka na kugawana vyeo sio kuwaletea maendeleo wananchi.
Tanzania pamoja na kuwa na katiba ya zamani lkn bado imekuwa nchi bora zaidi ktk kuheshimu haki za binaadamu, Amani na utulivu, maendeleo n.k kuliko hata mataifa yenye katiba mpya.
kwa sasa hitaji la katiba mpya kwa Tanznaia ni upotezaji wa muda na rasilimali, jambo la msingi kwa sasa tujenge uchumi wa nchi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika Katiba ya Kenya ni bora?
Eleza kwa nini ni bora?
 
Ila angalau mkuu watu wamepumua baada ya yule mzee wa Chato kujifia kwa maradhi yake sugu
 
Una tatizo kichwani, juzi unazungumza kivingine, leo umeanza kivingine baada ya kuona unacjhotaka hakipo.

Kwahiyo mawazo yenu ndo yatawale nchi? 😁😁😁😁😁
 
Yaani ni shida juu ya shida

Sasahivi mfumuko wa bei umeanza kwenda kasi kweli

Angakia bei ya mafuta January na Leo uone graph yake
Militaka mpumue sasa umbea wa nini?
Pumzi mbovu zisizo breki zina ambatana na uchafu.
Vumilieni tu.
 
Mkuu unatoa povu nchi yetu mbona Ina vision ya maendeleo unafikiria kuingia uchumi wakati wa chini ulikuwa mkurupuko wa kinyumbu?
 
Back
Top Bottom