Kajiarashid
Member
- Jun 2, 2021
- 69
- 27
Tuahitaji vikao vya pamoja. Sh All Hadi na katibu wake wajipe MAJUKUMU.Tukila ugali tushibe vizuri alafu simu iwe na bundle la kutosha, hatudaiwi kodi nje tunayo Vitz tumepaki. Tunalipwa na serikali. Hela ya bia haipigi chenga alafu tunalo limchepuko la maana hapo limetuli. Kiujumla we have No stress😊😊😊
Kazi kubwa ambayo hua imebaki hapo ni kuilaumu serikali tuu.😀😀😀😀
Yes atafute timu moya ya uchumi, huku mwingine anaweza subiri, hili la uchumi hapanaNaona kabisa Mama anahujumiwa na watendaji kuanzia mawaziri na wengine
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu
Nauli mabasi mikoani juu
kodi za kusafirisha bidhaa nje kubwa mnoo
MAMA YETU UNA MAMLAKA MAKUBWA KWA KATIBA HII FUKUZA WOTE KUANZIA WAZIRI TAFUTA TEAM MPYA YA UCHUMI KWA MASLAHI YA WATANZANIA
Mama ajui michezo ya siasa,msingida mbio za uraisi ajakata tamaa bado ngoja amuharibie mama KwanzaNaona kabisa Mama anahujumiwa na watendaji kuanzia mawaziri na wengine
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu
Nauli mabasi mikoani juu
kodi za kusafirisha bidhaa nje kubwa mnoo
MAMA YETU UNA MAMLAKA MAKUBWA KWA KATIBA HII FUKUZA WOTE KUANZIA WAZIRI TAFUTA TEAM MPYA YA UCHUMI KWA MASLAHI YA WATANZANIA
Exactly! Huyu Nchemba Ni power monger at any cost!Mama ajui michezo ya siasa,msingida mbio za uraisi ajakata tamaa bado ngoja amuharibie mama Kwanza
Aliambiwa asuke upya safu yake hakusikia waliopo wanamuhujumu kumfitinisha na wananchi asikii ngoja mguu uote tende.Sukuma gang mataga at work.Naona kabisa Mama anahujumiwa na watendaji kuanzia mawaziri na wengine