Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mama ndani ya siku zile mia angekuwa anamwita
Mbatia,
MBOWE,
Bashe,
Warioba,
Butiku,
Bagonza,
Mwamakula,
Othuman Masoud,
Shoo,
Ponda,
Ndugulile,

Halafu anawaambia muwe wakweli huko nje kukoje?
Angefanikiwa zaidi na zaidi
 
Reactions: PNC
Mdogo wangu ambaye ni CDM sana - yaani wa damu tangia akiwa chuoni amekuwa na kinyongo sana kuhusu mimi kuwa kimya katika mijadala ya kisiasa katika kundi letu la Familia la WhatsApp....
CCM wana nia ya ku colonize hii nchi hadi kinyama.

Angalia uteuzi wa juzi, wengi walioteuliwa ni watoto wa wakubwa.

Wanarithishana tu madaraka, kutoka kizazi kimoja hadi lingine.

Tabaka la chini litaendelea kushangilia tu wenzao wakirithishana viti vya enzi huku wao wakiambulia wali na maharge, t shirt na kofia kila uchaguzi
 
Mdogo wangu ambaye ni CDM sana - yaani wa damu tangia akiwa chuoni amekuwa na kinyongo sana kuhusu mimi kuwa kimya katika mijadala ya kisiasa katika kundi letu la Familia la WhatsApp...
Sukuma Gang wameshamzunguka wamemtengenezea kitanzi naye amejivika kitanzi hicho vizuri kabisa. Wanamuaminisha kuwa ukatili,ubabe na roho mbaya ndiyo njia sahihi ya kuumaliza upinzani Tanzania. Sasa hivi wanamng'ong'a huku wakigongesheana glass za mvinyo wakijua kuwa hadi 2025 atakuwa hafai kabisaaaaa.
 
Mama ndani ya siku zile mia angekuwa anamwita
Mbatia,
MBOWE...
Wachumia matumbo hawa.. hata wakiitwa wataenda kueleza matatizo yao na familia zao. Mfano Mbowe atamwambia alifungiwa vitega uchumi vyake ikiwemo bilkanas,

Zito atalalamikia kuitwa mrundi, Hashim Rungwe yeye ataomba mchele akapikie wanachama wake ubwabwa nk. Hakuna mtu ataenda kule kwa lengo la kuwakilisha wananchi... NEVER!!!
 
Hapo sasa unaweza kuona shida si chama bali maono, msimamo na utashi wa kiongozi aliye madarakani ndiyo unatoa mustakabali wa taifa. Kuna haja ya kurekebisha hapa.
 
Magufuli hajawahi kuwa nawashauri kipresedential protocol.
Ni local kwenda mbele na Mfugale kujenga daraja cocobeach
 
Naona sie yule aliezoeleka siku za mwanzo ,nahisi sasa hivi amepwaya,hayupo na kauli zile za kusema Mimi ndie Raisi,hata ile bashasha amepoteza,something behind na kubwa kuna mambo yanatokea haiashirii kama yanatoka kwake ,Nyie hamna wasiwasi ? Hebu na leo amekuwa na kikao na Mawaziri ,hivi anapima maendeleo ya serikali yake ? Hapaana bado ndio kwanza anachipua .

Ni bora akajiuzulu au huko pia kabanwa ? Maana dunia ina mambo ! Namuona kanywea sana ,anatilisha huruma,inaweza kuwa mnamlaumu lakini huenda amekumbana na mashaka na shida za kuongoza mataga ,unajua CCM ya fanya hivi fanya vile ni amri kutoka juu .

Hivi Rais anaweza kutekwa na akaongoza nchi au akawa bado Raisi ? Ipo shida sana Kule Zanzibar yupo Chogo ndio Raisi Huku Tanganyika yupo Mmakunduchi ndio raisi ,Mbongo anaweza kuwamudu wapemba aka wazanzibari kuwaongoza japo kama ng'ombe lakini Mpemba kuwaongoza wabongo ipo kazi maana wabongo wanajali hela kuliko utu.
Ni bora tukaufanya Unyerere Husein Mwinyi aletwe awe Raisi wa Tanzania. CCM wanaweza kulifanya hili ,wakiamua wanaweza.
 
Pumba tupu hizi!
 
Mkwere alikamata hatamu waziwazi watu wakakoroma akarudi Msoga.

Ila nina wasiwasi kwamba bado amezikamata kwa kificho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…