Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Huyu mama hana intellectual capacity ya kuongoza nchi. She is weak and incompetent.

Hajui lolote kuhusu uchumi wala kodi.

Ni vyema akajiondoa apishe wengine.
 
Wengi wanaolalamika kuhusu tozo,kodi,ni wale wavivu,wasiotaka kazi.Fanyakazi ulipe kodi.Ukoona hospital,shule,barabara,daraja,reli nk,ujuwe yupo aliyelipa kodi,ndio wewe ukavitumia hivyo.
 
Huyu mama hana intellectual capacity ya kuongoza nchi. She is weak and incompetent.

Hajui lolote kuhusu uchumi wala kodi.

Ni vyema akajiondoa apishe wengine.
Fanya kazi acha kulia lia.Lipa kodi kwa maendeleo ya nchi.Ukiona hospital,shule,barabara,madaraja,reli nk,yupo aliyelipa kodi,tozo,wewe sasa unafaidika navyo.
 
Namnukuu Mshana Jr Alisema hivi,...

'Tuendelee kuona kazi ya kudai katiba mpya ni ya CHADEMA tu kwasababu wanatafuta madaraka na wala sisi tusio wanasiasa haituhusu.

Tunavuna tulichopanda kama Taifa kwa miaka mingi, hivyo tuwe wapole maana sisi ni nchi ya amani.[emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1752]'

Mwisho wa kunukuu.
 
Huyu mama hana intellectual capacity ya kuongoza nchi. She is weak and incompetent.

Hajui lolote kuhusu uchumi wala kodi.

Ni vyema akajiondoa apishe wengine.
Lakini, hujajiuliza kama bado anafuata dira ya maendeleo ya CCM au imebadilika.

Je, dira hiyo imebeba yale yanayotendeka sasa hivi?

Tatizo ni kwamba hakuna information kwa umma, maana kila kitu kimeamriwa kuwa kimya na wamekubali.

Hivyo hayati Nyerere alikuwa sawa aliposema "Leaders in the South keep their people ignorant as so they can exploit them better"
 
Kuna vichaa wanasifia, huko tuendako tutakuwa tunafanya kazi vipato vyote viishie kwenye tozo.
Mlianza chadema kumwimbia mapambio ya kumaifu, mkambeza JPM Sasa mnaweweseka. Hamjulikani mnataka Nini.
 
Reactions: nao
Wengi wanaolalamika kuhusu tozo,kodi,ni wale wavivu,wasiotaka kazi.Fanyakazi ulipe kodi.Ukoona hospital,shule,barabara,daraja,reli nk,ujuwe yupo aliyelipa kodi,ndio wewe ukavitumia hivyo.
Hakuna asietaka kulipa kodi bali ielimishe jamii, uiambie ukweli mapato na matumizi ya serikali waelewe, onyesha kwa vitendo na vielelezo barabara zilojengwa, miundombinu na huduma zingine za afya.

Je, hadi sasa serikali imetoa taarifa ya mapato yake ya kila mwezi tokea mara ya mwishio ifanye hivyo?

Je, imetoa taarifa ya mradi wowote ambao umekamilika kwa asilimia 100?

Je, miradi yote iloanzwa imefikia hatua ipi na lini inatarajiwa kukamilika kwa asilima 100?

Je, miradi hiyo imegharimu kiasi gani hadi sasa?

Hizi ni information ambazo "necessary" kwa umma kwani zinachagiza support kwa serikali hiyohiyo.

Wananchi wasipopata hizi taarifa wanageuka kuwa "ignorant" yaani wanakuwa hawazingatii kinachoendelea na hapo serikali yaamua kuwatumia kwa ujinga huo.
 

Ukiacha kuwa umeandika kwa kiswahili fasaha na bila kutukana, hata sijui hoja yako ilikuwa nini.
 
Taarifa imeshatolewa na Waziri Doctor wa uchumi.
 

Wakati Magufuli anua mfumo wa kuhoji tulikuwa tunamsifia, sasa hivi serikali iliyopatikana bila ridhaa ya umma inafanya bila kujali umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…