Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
nakazia hojaMungu alipowaumba uliwapa jukumu la kuwa wasaidizi,sasa Wanadamu kujiona mna akili kumzidi Mungu mnawapa jukumu la kuwaongoza.
hakikaWanaume wa ukweli ni Taliban , mwanamke ni kubaki nyumbani tu full stop
Mfumo dume ndio umedumaza Mawazo yao Mkuu una uhakika?Tatizo ni mfumo dume
Mkuu mjinga uamini kila ambacho huambiwa ila mwerevu hufikili kwanza ,Nchi za Afrika zimekuwa za kijinga kwa kufuata kila agenda za mataifa ya America na ulaya uku wenyewe wakizitupilia mbali.U.S.A,China,Urusi mataifa yao yana miaka hawajawi kuwapa Wanawake Urais kwamba sisi ni bora kuzidi wao-ukweli ni kuwa wanawajua na haitajuja kutokea mataifa hayo kuongozwa na mwanamke.
Habari Wakuu!
Uzi huu usichukuliwe kama una Ubaguzi ila ni Mawazo tu nawasilisha.
Nipo najiuliza hivi sisi Afrika tuna matatizo gani kwanini wanawake Tena wasomi wanaposhika Madaraka huyumba hivi Remeber of Joyce Banda(Zambia) Now Mama hapa nchini najaribu kuwalinganisha wanawake wa Nchi za wenzetu Mfano Chancellor wa ujerumani huyu mama kiukweli anauwezo mkubwa kiuongozi kushinda hata Viongozi wa Kiume wa Nchi zetu tena Anaongoza Moja ya taifa kubwa Duniani Ujerumani..
Sasa najiuliza hawa wanawake wa Afrika Tatizo lipo wapi Walitaka Usawa wameupata, tena bahati nzuri kwa mda mfupi tu tokea waanze kuupigia kelele huo usawa wameweza kuupata,Hadi wamepata nafasi ya kushika Madaraka makubwa lakin hakuna Efficiency inayoonekana katika utendaji wao.
Je turudi kusema warudi Waendelee kua wasaidizi katika uongozi maana wakipata nafasi wanaturudisha Nyuma hatua 10 tulipokua?
Toa ushahidi,usije na blanket statementHabari Wakuu!

Mkiambiwa ukweli mnaanza siasa, ukweli ni kwamba mama nchi imemshinda....Ubaguzi wa Kijinsia au wa aina yeyote haukubaliki hapa Tanzania, Nchi yetu inaruhusu kila mtu kutumia uwezo wake na kutoa fursa sawa kwa wote
KabisaMungu alipowaumba uliwapa jukumu la kuwa wasaidizi,sasa Wanadamu kujiona mna akili kumzidi Mungu mnawapa jukumu la kuwaongoza.
ushungi ndio unapepea, kichwani??????Habari Wakuu!
Uzi huu usichukuliwe kama una Ubaguzi ila ni Mawazo tu nawasilisha.
Nipo najiuliza hivi sisi Afrika tuna matatizo gani kwanini wanawake Tena wasomi wanaposhika Madaraka huyumba hivi Remeber of Joyce Banda(Zambia) Now Mama hapa nchini najaribu kuwalinganisha wanawake wa Nchi za wenzetu Mfano Chancellor wa ujerumani huyu mama kiukweli anauwezo mkubwa kiuongozi kushinda hata Viongozi wa Kiume wa Nchi zetu tena Anaongoza Moja ya taifa kubwa Duniani Ujerumani..
Sasa najiuliza hawa wanawake wa Afrika Tatizo lipo wapi Walitaka Usawa wameupata, tena bahati nzuri kwa mda mfupi tu tokea waanze kuupigia kelele huo usawa wameweza kuupata,Hadi wamepata nafasi ya kushika Madaraka makubwa lakin hakuna Efficiency inayoonekana katika utendaji wao.
Je turudi kusema warudi Waendelee kua wasaidizi katika uongozi maana wakipata nafasi wanaturudisha Nyuma hatua 10 tulipokua?
Hatari snushungi ndio unapepea, kichwani??????