mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
So akiharibu kiongozi mwanaume ni bahati mbaya lakini akiharibu kiongozi mwanamke ni uharibifu kwa kuwa ni mwanamke hafai kuongoza.
Hebu chunguza huko kijijini kwenu ambako viongozi wote wanaume kuna nini cha ajabu walichofanya.
Acha undezi wa karne zilizopita.
Hivi mabalaa yote ya vita, uonevu na mauwaji yaliyowahi kutokea ulimwenguni viongozi walikuwa wanawake?
Umetaja Zambia raisi Joyce Banda, ambae aliongoza kwa miaka 4, sasa kabla na baada yake wanaume waliongoza Zambia wamefanya nini cha ajabu zaidi ya wizi, rushwa uonevu na mauwaji?
Shame on you, hao mabinti zako hapo nyumbani vipi unawaambia hiyo misimamo yako kuwa haijalishi wana akili kiasi gani hawafai kuwa viongozi kwa kuwa tu wana matiti na kibox manyoya.
Nchi zote zenye matatizo na migogoro afrika na duniani kwa ujumla zinaongozwa na wanawake wa afrika? Au ndio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo??
Tuheshimu tafadhali
Sentebe Akija kujibu niite please