Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kwanza figures za kiuchumi saivi zikoje?Tatizo Maza anaanini Sana watu hawa ndo watakaomtoa kiuchumi. Atuache tukue tuna Kula sababu ya kukua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza figures za kiuchumi saivi zikoje?Tatizo Maza anaanini Sana watu hawa ndo watakaomtoa kiuchumi. Atuache tukue tuna Kula sababu ya kukua
Nani kakwambia Royal Tour inagharamiwa kwa pesa za serikali?Siku hizi kuna pesa nyingi za bure. Kodi zipo nyingi, atashindwaje kuzitumia
Nani kakwambia Royal Tour inagharamiwa na Serikali?Wananchi waamke na kudai uwajibikaji wa viongozi.
Serikali ina matumizi makubwa ya anasa
Uchumi umedorora kwa wananchi, Coronavirus imeathiri uchumi. Hivyo serikali ilipaswa kuacha matumizi ya anasa, na kunyonya masikini
Janga la CORONA limesababisha tupate bilioni 500 tu Kati ya malengo ya TRILIONI 5.....Ni kama maajabu mapya ndani ya taifa , Rais anakazana kuibrand nchi na kuacha mamlaka husika kufanya kazi zake , serikali ina wizara yenye dhamana , wizara ina Bodi maalum ya Kutangaza Utalii ndani na nje ya nchi , serikali ina mabalozi karibia asilimia 80 ya mataifa duniani , taifa lilipata Uhuru mwaka 1961 ambapo ikifika disemba mwaka huu wa 2021 taifa litakuwa na miaka 60 ya Uhuru wake wa kupeperusha Bendera , umri wa miaka 60 sio umri mdogo duniani ,Rais kadanganywa na wapiga dili eti anaibrand nchi kama vile nchi haijulikani kuanzia jiografia yake mpaka uhuru wake , utamduni wake, yani ukisikia nchi imekamatwa na wapiga dili ndio sasa.
Hivi wenzetu wa nchi ya Rwanda ndio wanaibrand nchi yao hivyo jamani , kwanini majasusi wetu wa uchumi wasiige hata hapo Rwanda jamani , mbona Rwanda wametoka katika taswira mbaya ya nchi yao lakini leo branding yao ni kimataifa duniani kote , mfano juzi hapa wakati mchezaji maarufu duniani Leon Messi alipoamia timu nyingine Rwanda walifanya ujasusi wao mbele ya dunia na ile kaulimbiu yao ambayo ni fupi tu inasema "VISIT RWANDA" yaani dunia ilisimama kuangalia Messi kapewa jezi namba ngapi katika kikosi kipya alipogeuka tu wakakuta maneno ya VISIT RWANDA, jamani hizi vitu zinatengenezwa na wazalendo , tatizo la watanzania tunawaza ujinga tu kuanzia ngazi Usalama wa Taifa mpaka chini hakuna cha uzalendo zaidi ya dili tu.
Sasa mtu unajiuliza hivi hili taifa tangu lianze kushiriki katika mambo mbalimbali ya duniani tangu lilipozaliwa bado tu haina special branding yoyote , mabalozi wanafanya nini sasa ? wizara ya utalii inafanya nini sasa? Bodi ya Utalii inayotumia mamilioni ya kodi za watanzania inafanya nini sasa? hivi ni kweli katika juhudi zote zilizofanyika hapo awali ni sawa na zero na tunaamini kuwa hiyo documentary ya mama Samia ndio itafanya branding ya taifa , hivi kweli watanzania tumefikia upeo huo wa kufikiri?
Nauliza tena hivi ni kweli kuwa Mama Samia akitoa hiyo Movie yake taifa ndio litajulikana na uchumi wa taifa kuongezeka na wawekezaji wataongezeka? huu ushauri kapewa na nani jamani ? alafu watu wanaoitwa Usalama wa Taifa wapo tu kuangalia ni kama hawajijui kuwa nao wanamajukumu ya kuangalia mikakati na dira ya kitaifa , ukisikia hovyo ndio hii , wale think tanker wa taifa nao wameafiki kuwa Movie ya Mama itatutoa kiuchumi na kimataifa... eee mungu tusaidie ... hii style ya branding inatokea wapi ...
SASA naelewa Kwa nini kina Polepole walitaka kupindisha Katiba. Mama ni mweupe pee.Anaendesha nchi kama kikundi chamikopo kwa akina mama
Kwako maneno ya UKWELI ni mipasho bwasheee eee?!!!Rais Samia anaongea kwa mipasho Mambo muhimu ya nchi.
Eti "ukifanya watasema, usipofanya watasema. Sasa acha tufanye"
Polepole alikuja kwa "kubebwa tu ndani ya CCM"....SASA naelewa Kwa nini kina Polepole walitaka kupindisha Katiba. Mama ni mweupe pee.
Kazi INAENDELEA bwashee....Anaendesha nchi kama kikundi chamikopo kwa akina mama
Heee..huo ndo ubunifu shekhe! Uwiii...kachokaaaaa...to hellHuwenda mama anadanganywa kama unavyosema lakini kwanini tuwaige Rwanda sisi hatuna ubunifu rais ni taswira ya taifa wamebuni wazo zuri sana na huwenda faida yake ikaonekana baadae
Inabidi tuwe wabunifu siyo kuigaiga kila kitu
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Bwasheee hiyo ni "conspiracy theory" eee?Rais anaondolewa ofisini kimkakati ili ashinde mabarabarani (asisome mafaili na kukosa utulivu wa akili) watu wapige hela
afadhali umemjibu, mi sikuwa na mpango hata wa kumjibu; sana sana nikitaka nimuulize tu kuwa kwani ni lazima kufanya kile kinachofanywa na rwanda?!! hatuwezi kuja na ubunifu wetu wenyewe?Umetolea mfano Rwanda ukiwa hujui kuwa Rwanda ndo nchi ya kwanza kufanya hiyo program ya Royal Tour kwa Africa Mashariki.
Kwa Taarifa yako idea ya Visit Rwanda ilikuja baada ya Kagame kuendesha iyo program ya Royal Tour
ongeza jingine kiongozi!! hilo naona ni jepesi mno, sidhani kama litamrudisha nyumaAnapenda kuzurura kama yale mapaka yasiyofugwa!
Ni kama maajabu mapya ndani ya taifa , Rais anakazana kuibrand nchi na kuacha mamlaka husika kufanya kazi zake , serikali ina wizara yenye dhamana , wizara ina Bodi maalum ya Kutangaza Utalii ndani na nje ya nchi , serikali ina mabalozi karibia asilimia 80 ya mataifa duniani , taifa lilipata Uhuru mwaka 1961 ambapo ikifika disemba mwaka huu wa 2021 taifa litakuwa na miaka 60 ya Uhuru wake wa kupeperusha Bendera , umri wa miaka 60 sio umri mdogo duniani ,Rais kadanganywa na wapiga dili eti anaibrand nchi kama vile nchi haijulikani kuanzia jiografia yake mpaka uhuru wake , utamduni wake, yani ukisikia nchi imekamatwa na wapiga dili ndio sasa.
Hivi wenzetu wa nchi ya Rwanda ndio wanaibrand nchi yao hivyo jamani , kwanini majasusi wetu wa uchumi wasiige hata hapo Rwanda jamani , mbona Rwanda wametoka katika taswira mbaya ya nchi yao lakini leo branding yao ni kimataifa duniani kote , mfano juzi hapa wakati mchezaji maarufu duniani Leon Messi alipoamia timu nyingine Rwanda walifanya ujasusi wao mbele ya dunia na ile kaulimbiu yao ambayo ni fupi tu inasema "VISIT RWANDA" yaani dunia ilisimama kuangalia Messi kapewa jezi namba ngapi katika kikosi kipya alipogeuka tu wakakuta maneno ya VISIT RWANDA, jamani hizi vitu zinatengenezwa na wazalendo , tatizo la watanzania tunawaza ujinga tu kuanzia ngazi Usalama wa Taifa mpaka chini hakuna cha uzalendo zaidi ya dili tu.
Sasa mtu unajiuliza hivi hili taifa tangu lianze kushiriki katika mambo mbalimbali ya duniani tangu lilipozaliwa bado tu haina special branding yoyote , mabalozi wanafanya nini sasa ? wizara ya utalii inafanya nini sasa? Bodi ya Utalii inayotumia mamilioni ya kodi za watanzania inafanya nini sasa? hivi ni kweli katika juhudi zote zilizofanyika hapo awali ni sawa na zero na tunaamini kuwa hiyo documentary ya mama Samia ndio itafanya branding ya taifa , hivi kweli watanzania tumefikia upeo huo wa kufikiri?
Nauliza tena hivi ni kweli kuwa Mama Samia akitoa hiyo Movie yake taifa ndio litajulikana na uchumi wa taifa kuongezeka na wawekezaji wataongezeka? huu ushauri kapewa na nani jamani ? alafu watu wanaoitwa Usalama wa Taifa wapo tu kuangalia ni kama hawajijui kuwa nao wanamajukumu ya kuangalia mikakati na dira ya kitaifa , ukisikia hovyo ndio hii , wale think tanker wa taifa nao wameafiki kuwa Movie ya Mama itatutoa kiuchumi na kimataifa... eee mungu tusaidie ... hii style ya branding inatokea wapi ...
wananchi gani unawaongelea? hawa hawa wabongo waoga na wanafki?Wananchi waamke na kudai uwajibikaji wa viongozi.
Serikali ina matumizi makubwa ya anasa
Uchumi umedorora kwa wananchi, Coronavirus imeathiri uchumi. Hivyo serikali ilipaswa kuacha matumizi ya anasa, na kunyonya masikini
maybe alivyowasilisha si powa but she is right. na hii inaanzia kwenye jamii na familia ndani kabisa.Rais Samia anaongea kwa mipasho Mambo muhimu ya nchi.
Eti "ukifanya watasema, usipofanya watasema. Sasa acha tufanye"