Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Wananchi waamke na kudai uwajibikaji wa viongozi.

Serikali ina matumizi makubwa ya anasa

Uchumi umedorora kwa wananchi, Coronavirus imeathiri uchumi. Hivyo serikali ilipaswa kuacha matumizi ya anasa, na kunyonya masikini
Nani kakwambia Royal Tour inagharamiwa na Serikali?
 
Janga la CORONA limesababisha tupate bilioni 500 tu Kati ya malengo ya TRILIONI 5.....

Katika hali hii ,mh.Rais wetu SSH halaumiki KUUTANGAZA UTALII kwa nguvu hizo ili pale tu DUNIA itakapovuka hivi vikwazo watalii wamiminike vya kutosha......

#LawamaHazilisaidiiTaifa
#SiempreJMT
 
Rais Samia anaongea kwa mipasho Mambo muhimu ya nchi.

Eti "ukifanya watasema, usipofanya watasema. Sasa acha tufanye"
Kwako maneno ya UKWELI ni mipasho bwasheee eee?!!!

Mh.Rais AFANYE TU kwani waswahili wanasema "miluzi mingi humpoteza mbwa"......
 
SASA naelewa Kwa nini kina Polepole walitaka kupindisha Katiba. Mama ni mweupe pee.
Polepole alikuja kwa "kubebwa tu ndani ya CCM"....

Ana kaliba ipi ya SIASA TUNDUIZI ndani ya CHAMA?!!!!

Hivi Polepole unaweza kumfananisha na Komredi Shaka Hamdu Shaka kwa HUDUMA YAKE YA MUDA MREFU NDANI YA CHAMA?!!

CCM INA KANUNI ZAKE

#SiempreCCM
#KaziIendelee
 
Heee..huo ndo ubunifu shekhe! Uwiii...kachokaaaaa...to hell
 
Umetolea mfano Rwanda ukiwa hujui kuwa Rwanda ndo nchi ya kwanza kufanya hiyo program ya Royal Tour kwa Africa Mashariki.

Kwa Taarifa yako idea ya Visit Rwanda ilikuja baada ya Kagame kuendesha iyo program ya Royal Tour
afadhali umemjibu, mi sikuwa na mpango hata wa kumjibu; sana sana nikitaka nimuulize tu kuwa kwani ni lazima kufanya kile kinachofanywa na rwanda?!! hatuwezi kuja na ubunifu wetu wenyewe?

mtamtukana matusi yote, lakini huyooooo anaenda zake taratiiibu
 

Povu jingi hamna la maana hata moja la maana
Akili yenye afya nzuri inaelewa kuwa mtu wa kwanza kabisa kuibrand nchi huwa ni RAISI wa nchi ktk angle yeyote atakayo ibuka nayo. enzi za MWENDA ZAKE aliibrand Tanzania katika ushupavu wa maamuzi na misimamo.tulifahamika sana Afrika mapaka ulaya walikua wanatuimba Tanzania na Magufuli wetu. Lakini brand hiyo ilikua haina tija ya kipato kwa kipofu hakuyaona hayo.
Na Raisi Samia mama yeye ndio nembo ya kwanza ya nchi nae ataka kuibrand Tz katika Utalii na vivutio vya Tanzania hili litaingiza tija kubwa kwa kumiminika watalii nchini na huo mfano wa Visit Rwanda ni hatua changa sana kwa nchi kama vile Tanzania
 
Mama anafanya uzuri.
Baada ya kungana Tanganyika na Zanzibar Library za huko duniani zilibaki na lundo la vitabu vinavyojisomo kuwa Tanganyika ipo East Afrika kumbe ilishapoteza jina na kuitwa Tanzania.

Tanzania ina rasilimali nyingi lakini haijjlikani.
Huko nje watu wa Kawaida hawaijui Tanzania.
Zanzibar inajulikana mana historia yake haikuchakachuliwa sana.

Acheni mama aitangaze nchi.

Matumizi mabaya hata Magufuli na ukali wake alipigwa changa la macho.
Watu wakanunua mpaka nguo hewa kwenye wizara ya mambo ya ndani chini ya Kangi Lugola.

Magari ya milioni 400 yananunuliwa na yale ya mil. 180 yanauzwa mil. 5.

Magari yaliyonunuliwa mil. 80- 100 yapo juu ya mawe yanapewa bajeti ya mafuta kila mwezi watu wanakwenda kula bata.
Mama amekuta maadili ya watanzania bara ambao wengi wao ni zao la vyeti feki na wizi wa mitihani yapo chini sana. Wengi wa Watanzania Bara wanaibia nchi wapate pesa za ngono na ulevi.

Nchi ina watumishi 90 % wasio na maadili mazuri kuanzia kwenye familia siasa mpaka kwenye dini.
 
Wananchi waamke na kudai uwajibikaji wa viongozi.

Serikali ina matumizi makubwa ya anasa

Uchumi umedorora kwa wananchi, Coronavirus imeathiri uchumi. Hivyo serikali ilipaswa kuacha matumizi ya anasa, na kunyonya masikini
wananchi gani unawaongelea? hawa hawa wabongo waoga na wanafki?
sana sana wataishia kulalamika kwenye social media
 
Umetolea mfano Rwanda ukiwa hujui kuwa Rwanda ndo nchi ya kwanza kufanya hiyo program ya Royal Tour kwa Africa Mashariki.

Kwa Taarifa yako idea ya Visit Rwanda ilikuja baada ya Kagame kuendesha iyo program ya Royal Tour




Alisikika mmoja na aliyoongea ni Kweli



Kipindi hichi Mr Slim alihusika
 
Rais Samia anaongea kwa mipasho Mambo muhimu ya nchi.

Eti "ukifanya watasema, usipofanya watasema. Sasa acha tufanye"
maybe alivyowasilisha si powa but she is right. na hii inaanzia kwenye jamii na familia ndani kabisa.
kuna mambo usipofanya watakusema.. ukifanya watakusema pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…