Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,210
- 5,752
Wanamchafua bure Raisi wa NCHI. Hiyo tabia waache kabisa. Ipo siku hawa mawaziri watataka kujaribu walimu wa shule ya msingi kwenda kufundisha vyuo vikuu kwa kisingizio kuwa na wao ni walimu wanahaki sawa. Niombe Rais wa NCHI amuondoe Ndalichako hapo wizarani haraka sana.MAMBO MENGINE SIO RAIS NI NDALICHAKO NA UMMY MWALIMU.
MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI.
Umeandika hivyo wakati yeye amesoma na kununa.Nimemuona.Umempuuza wewe peke yako,...hata kama ukimpuuza humpunguzii chochote.
Mpuuzi weye hadi keshokutwa asubuhi.Mbowe siyo Gaidi ila anafanya vitendo vya kigaidi.
Ni kweli wakati ule wenzake wanataka wajipange kupanga mipango ya kiuongozi unaanza kuleta kelele ili wapoteze direction lazima hata angekua yeye angefanya Jambo ambalo litakupa utulivu wa kupanga malengo yako.
Mfano upo wazi wakati wanafanya malbano na Polisi,mahakama huku wenzao wanaendelea na ujenzi wa nchi wakimaliza angalau tutakuwa tumefika mbali.
Mama piga KAZI sisi hatuoni kosa lako na tupo kimya tunaangalia tukiwa imara na vichinjio.
Wakuu salaam,
Mwanzoni mwa utawala wa rais samia nilimkubali sana, na niliamini ataliponya taifa, bt mambo yafuatayo yalipodhiri nilianza kumpuuza rais samia
1. kumbambikia mbowe kesi ya ugaidi ajili ya kudai katiba mpya.
2. kupanda ghafla kwa bidhaa alafu kakaa kimya bila kutoa tamko lolote.
3. kuminya demokrasia kama mtangulizi wake.
4. kujidhihirisha yupo team mafisi waloifisadi nchi na kuitia hasara kubwa.
je, kwako wewe ni yapi yalokufanya umpuuze rais samia?
😍Sijawahi kumpuuza na sifikirii kumpuuza
Hapa alichemka sana. kumbambikia mbowe kesi ya ugaidi ajili ya kudai katiba mpya.
😍(1)Mahakama haijatoa hukumu mpaka sasa wewe unasemaje amebambikiwa? Na ukifuatila mwenendo wa kesi inaoneka uchunguzi wa mashtaka yake ulianza kabla ya Samia kuingia madarakani sasa Rais Samia anausikaje hapo?
(2)Embu tutajie walau bidhaa tano muhimu unazozijua wakati Rais Samia anaingia madarakani zilikuwa zinauzwa tsh ngapi na sasa ni tsh ngapi?
Kwa sasa Uhuru wa Wananchi kujieleza na kuwa na furaha mitaani kimeongezeka kuliko mwanzo sasa sijui ni kipimo gani ulichochukua kuonyesha kwamba demekrasia imebanwa kama kipindi cha Magufuli?
Ili la mwisho sijalielewa yeye ni mwana CCM na anajipambanua kuwa yeye ni CCM sasa sijui wewe ulitaka ajipambanue vipi embu hapo tufafanulie kidogo
Acha kutetea ujinga, unaelewa maana ya ile interview yake na Kikeke?? Unakumbuka alichokisema? Unaelewa impact ya maneno yake?1)Mahakama haijatoa hukumu mpaka sasa wewe unasemaje amebambikiwa? Na ukifuatila mwenendo wa kesi inaoneka uchunguzi wa mashtaka yake ulianza kabla ya Samia kuingia madarakani sasa Rais Samia anausikaje hapo?
kufanya hayo katimiza wajibu wake lakini ukishapuuza mambo ya msingi lazima watu timamu nao watakupuuza na utabaki kuungwa mkono na oya oya wasojua haki zao/wanaonufaika kupitia weweKupandishwa MADARAJA WATUMISHI WA UMMA......
Haiwezekani hawa WATUMISHI wa umma wapandishwe madaraja....bora wangebaki vilevile tu kama miaka 5 iliyopita.....
HAPA MH.RAIS SSH "ameniangusha mnoooo"
NDIMI PINGA PINGA FC MEMBA
we jamaa sijui kama upo sawa kichwani, rais alipohojiwa bbc alidai wenzake mbowe walishahukumiwa na yeye alikimbilia kenya kuepuka kukamatwa(1)Mahakama haijatoa hukumu mpaka sasa wewe unasemaje amebambikiwa? Na ukifuatila mwenendo wa kesi inaoneka uchunguzi wa mashtaka yake ulianza kabla ya Samia kuingia madarakani sasa Rais Samia anausikaje hapo?
(2)Embu tutajie walau bidhaa tano muhimu unazozijua wakati Rais Samia anaingia madarakani zilikuwa zinauzwa tsh ngapi na sasa ni tsh ngapi?
Kwa sasa Uhuru wa Wananchi kujieleza na kuwa na furaha mitaani kimeongezeka kuliko mwanzo sasa sijui ni kipimo gani ulichochukua kuonyesha kwamba demekrasia imebanwa kama kipindi cha Magufuli?
Ili la mwisho sijalielewa yeye ni mwana CCM na anajipambanua kuwa yeye ni CCM sasa sijui wewe ulitaka ajipambanue vipi embu hapo tufafanulie kidogo
Kwa hiyo kwa kauli hiyo ndio majibu ya hoja zako? Angalia isije ikawa wewe ndio haupo sawa kichwani badala ya mimiwe jamaa sijui kama upo sawa kichwani, rais alipohojiwa bbc alidai wenzake mbowe walishahukumiwa na yeye alikimbilia kenya kuepuka kukamatwa
kwako wewe rais kusema uongo wa wazi unaona ni jambo dogo? unadhani akiitwa mahakamani kuthibitisha hilo itakuwaje?Kwa hiyo kwa kauli hiyo ndio majibu ya hoja zako? Angalia isije ikawa wewe ndio haupo sawa kichwani badala ya mimi
Subiri hukumu au uiamini Mahakama? Rais ni binaadamu kama wengine tu anaweza kusema neno na ulimi ukateleza(kukosea) alisema kuna magaidi wamefungwa Tanzania je tunamfungwa walau mmoja wa ugaidi katika Nchi hii?Acha kutetea ujinga, unaelewa maana ya ile interview yake na Kikeke?? Unakumbuka alichokisema? Unaelewa impact ya maneno yake?