Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,210
- 5,752
Wanamchafua bure Raisi wa NCHI. Hiyo tabia waache kabisa. Ipo siku hawa mawaziri watataka kujaribu walimu wa shule ya msingi kwenda kufundisha vyuo vikuu kwa kisingizio kuwa na wao ni walimu wanahaki sawa. Niombe Rais wa NCHI amuondoe Ndalichako hapo wizarani haraka sana.MAMBO MENGINE SIO RAIS NI NDALICHAKO NA UMMY MWALIMU.
MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI.