Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kumbe uzalendo ni zidumu fikra za mwenyekiti?
Tutafika tumechoka sana.
 
Majungu hayo,mtaje huyo waziri
 
Ni maoni yake na pengjne nyuma ya pazia kuna mianya kabaniwa.. Hawa wanasiasa hasa wa kiafrika hawaaminiki na ni wa kuogopa kuliko ukoma
Mama hana jeuri ya kubana mianya,kwake kila kitu ruksa ili tu apate sifa binafsi ndio maana wasaidizi wake wanampinga. Leo hii si ajabu ata ukitaka kiwanja national stadium unaweza kupata😂😂🏃‍♂️
 
Mama ana uwezo wa kubana mianya gani bwana! Just be frank, bora tukutuku liende tu.
Nimetumia neno PENGINE.. lakini pia kuna wanawake hata awe maharage ya Mbeya kuna atakaowanyima
 
Tatizo ni kipenzi chake kabisa na usiyemdhania bora hata angekuwa wale Sukuma gang wenzangu nisingeshangaa lkn huyo ni msoga OG!
Moyo wa mtu ni kiza kinene.. Totoro kabisa.. Na daima kikulacho ki nguoni mwako
 
Wafuasi wa Prof Mkenda acheni kutapatapa. Naona sasa mnataka mchonganisha Bashe na Rais. Yani akili yenu ni kuwa Prof atapigwa chini nafasi aichukue Bashe.

Siasa za Tanzania ngumu sana.

Siku nyingine mwambieni Prof aache jeuri na kejeli.
Mkenda ni mchagga mwenziyo
 
Mama hana jeuri ya kubana mianya,kwake kila kitu ruksa ili tu apate sifa binafsi ndio maana wasaidizi wake wanampinga. Leo hii si ajabu ata ukitaka kiwanja national stadium unaweza kupata[emoji23][emoji23][emoji2089]
Kumbuka kuna watu kawatumbua ama kupelekwa ulaji kwa wengine
 
Ni maoni yake na pengine nyuma ya pazia kuna mianya kabaniwa.. Hawa wanasiasa hasa wa kiafrika hawaaminiki na ni wa kuogopa kuliko ukoma
Mama ana mianya gani ya kubana wakati yeye mwenyewe mwanya.
 
Kumbuka kuna watu kawatumbua ama kupelekwa ulaji kwa wengine
Amewatumbua for self ambition na sio national interest,sawa na kuhamisha tu position ya mirija lakini hawezi kuziba hiyo mirija..ni syndicated movement towards 2025 election.
 
Usilete majungu! Sema alisema nini. Vidokezo kuweza kumtambua aliyesema hayo.
 
Majungu hayo.....

Majungu tupu.....

UCHONGANISHI UCHONGANISHI UCHONGANISHI

Yaani aongee maneno hayo huku AMEZUNGUKWA NA MTU/ WATU WENGINE?!!!!

Unafiki mtupu.......
 
Amewatumbua for self ambition na sio national interest,sawa na kuhamisha tu position ya mirija lakini hawezi kuziba hiyo mirija..ni syndicated movement towards 2025 election.
But remember the end justifies the means!
 
Aisee Hakuna rais aliyeingia madarakani akaachwa kulaumiwa, jibu ni kwamba huwezi kumridhisha kila mwanadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…