Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kama alitosha mwendazake pamoja na ukatili, uonevu na majivuno; mama anatosha sana sio 2025 tu bali hata 2030. Wewe kaa mkao wa kula. Mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi. Tuvute subira.
 
Kama alitosha mwendazake pamoja na ukatili, uonevu na majivuno; mama anatosha sana sio 2025 tu bali hata 2030. Wewe kaa mkao wa kula. Mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi. Tuvute subira.
Magufuli hakuwa katili huyu mama ameonesha hatufai akikaa vibaya ataishia 2025.mbona hata enzi za magufuli tulikuwa no 1 Kwa democracy afrika mashariki.Naamini magufuli alichukia cheap politics.kuna watu walimtukana Sana.magufuli alipendwa ndani na nje ya Tanzania he was talk of the world.
 
Naona katiba yetu inawapa nguvu watawala kuliko wananchi.
Wananchi siku zote wapo juu ya katiba.Hakuna katiba ambayo inaweza kuwapa watawala nguvu kuliko wananchi na ndiyo maana nchi za kidikteta ambazo zimejitengenezea katiba ya kulinda watawala bado tawala hizo huanguka.
 
Mwendazake hakuwa na uwezo na bado akaongoza hadi mambo yalipomshinda akajifea. Mama anaweza sana.
Alikuwa na uwezo ndo maana mambo yalikuwa yanaenda vizuri Tanzania iliheshimika dunia nzima huyu mama hafai kuiongoza nchi hii CCM 2025 ituletee mtu Wa maana.
 
Hatoshi.

Tunaelekea kuahuhudia wizi wa kura ambao haukuwahi kutokea, si mbali sana ni 2025 tu hapo.
Mitaa ni haimkubali kishenzi huyu bi mkubwa.
 
Sasa mifumo ya nchi hii uchaguzi unasimamiwa na serikali yenyewe wananchi hawana hiyo nguvu labda katiba yetu ni mbovu.Nasikia huyuhuyu mama alishawahi kusema tupige Kura tusipige CCM inashinda.
Hujaelewa ninachosema.Kwa kifupi ni kwamba hakuna serikali dhalimu ambayo inaweza kushinda nguvu za wananchi kama wananchi hao wakiamua kuungana na kuwa kitu kimoja.

Hakuna nchi ambayo ilikuwa na katiba mbovu kama Misri na Tunisia lakini wananchi walipoungana na kuwa kitu kimoja Serikali hizo ziliomba poo.
 
Pengine tunazungumza lugha mbili tofauti. Nimesema mbali ya ukatili ni uonevu na mengine. Ukatili kwenye mambo mengi ya akina Bensaanane na wengine; uonevu kwa aliodhani tu kwamba wanampinga. Mwendazake alikuwa na sifa hizo pamoja na kulipa visasi. Kama alifaa pamoja na sifa hizo, mama anafaa sana.
 
Alikuwa na uwezo ndo maana mambo yalikuwa yanaenda vizuri Tanzania iliheshimika dunia nzima huyu mama hafai kuiongoza nchi hii CCM 2025 ituletee mtu Wa maana.
Mkuu unazungumzia dunia ya Kusadikika? Kimsingi aliiweka nchi kivibaya duniani. Mama anafaa sana
 
Wananchi siku zote wapo juu ya katiba.Hakuna katiba ambayo inaweza kuwapa watawala nguvu kuliko wananchi na ndiyo maana nchi za kidikteta ambazo zimejitengenezea katiba ya kulinda watawala bado tawala hizo huanguka.
Namaanisha baadhi ya mambo kwenye katiba. Naona hii katiba inawapa nguvu Sana watawala mfano inampa nguvu Rais achague maafisa wa tume ya uchaguzi kwa hiyo Rais anaweka watu wake ambao wanaweza kucheza na kura.au wewe huoni upungufu kwenye katiba yetu?Sawa imeweka Haki za watanzania lakini mambo ya kurekebisha ni mengi.
 
Matatizo kama hayo yalikuwepo hata Enzi za kikwete hata nyerere.hakuna MTU mkamilifu ila Naona Magufuli alikuwa mtekelezaji na msimamizi mzuri Naona huyu mama anafeli kidogo.
 
Mkuu unazungumzia dunia ya Kusadikika? Kimsingi aliiweka nchi kivibaya duniani. Mama anafaa sana
Sio kweli Kwa Mfano hata matatizo na Kenya yalikuwepo hata enzi za kikwete.sio kweli kusema aliweka nchi pabaya.mama hafai hayupo vizuri kwenye usimamiaji wa miradi na Mambo mbalimbali.
 
Mimi kiu yangu ni kuona miradi ya nchi hii zinakwisha Kwa sababu hizi miradi ni muhimu Kwa maslahi ya nchi yetu lakini Kwa mambo nayoyaona nazidi kukata Tamaa utadharauliwa.
Hata huyo JPM angekaa 20 years asingeimaliza. Nchi haijengwi kwa papara za kuanzisha miradi migi namna hiyo kwa hela za kukopa. Kukopa kuna mwisho wake.
 
Mimi kiu yangu ni kuona mambo yanaenda lakini naona tunakwama Sana nakuwa nawasiwasi sana
Wewe umeshandika. Acha wengine waseme. Walao sasa watu hawapotei. Kodi inakusanywa kwa heshima. Sio kwa magenge ya wezi
 
Ubongo umejaa mavi!
Hujitambui aisee.Enzi hiyo kuna kitu kilizuka ambacho ni Magufulification of Afrika.Uchapakazi wake ulioneka Kuwa ni wakuigwa na nchi za kiafrika.ukisema aliharibu nchi ongea Kwa evidence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…