Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Kwani upo timu gani ili nikushauri, timu viroboto au timu wahuni, au sgang.Mimi nahitaji mtu sahihi kuongoza nchi yetu sio vinginevyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani upo timu gani ili nikushauri, timu viroboto au timu wahuni, au sgang.Mimi nahitaji mtu sahihi kuongoza nchi yetu sio vinginevyo.
Kama alitosha mwendazake pamoja na ukatili, uonevu na majivuno; mama anatosha sana sio 2025 tu bali hata 2030. Wewe kaa mkao wa kula. Mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi. Tuvute subira.Rais Samia ameshindwa kuendeleza miradi ya kimkakakati kama ujenzi wa reli,bwawa la mwalimu Nyerere.Siku hizi nidhamu makazini zimeshuka watu hawafanyi kazi vizuri kama enzi za Rais Magufuli,Siku hizi umeme unakatika ovyo na ufisadi umerudi tena wanawekana kwenye nyazifa ambazo ni muhimu.Pia ninaongea na watu wengi wa kawaida hawana Imani na Rais huyu.Mimi Kwa maoni yangu huyu Rais hafai kuongoza hii nchi mwisho wake uwe 2025.Kwa maslahi Mazima ya nchi hii tutafute Rais mwingine mwaka 2025 ambaye anauwezo wa kusimamia miradi ya maendeleo Kwa ustadi mkubwa na kudumisha utawala Bora na demokrasia.huyu Rais ameshaonesha kuwa ni dhaifu, kuwavutia wawekezaji haitoshi iwapo umeshindwa kuwawekea mazingira mazuri Kwa mfano upatikanaji wa nishati ya uhakika,uendelezaji wa reli kama njia muhimu ya usafirishaji wa bidhaa.
Mwendazake hakuwa na uwezo na bado akaongoza hadi mambo yalipomshinda akajifea. Mama anaweza sana.Hana uwezo wa kua kiongozi wa nchi.
Magufuli hakuwa katili huyu mama ameonesha hatufai akikaa vibaya ataishia 2025.mbona hata enzi za magufuli tulikuwa no 1 Kwa democracy afrika mashariki.Naamini magufuli alichukia cheap politics.kuna watu walimtukana Sana.magufuli alipendwa ndani na nje ya Tanzania he was talk of the world.Kama alitosha mwendazake pamoja na ukatili, uonevu na majivuno; mama anatosha sana sio 2025 tu bali hata 2030. Wewe kaa mkao wa kula. Mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi. Tuvute subira.
Wananchi siku zote wapo juu ya katiba.Hakuna katiba ambayo inaweza kuwapa watawala nguvu kuliko wananchi na ndiyo maana nchi za kidikteta ambazo zimejitengenezea katiba ya kulinda watawala bado tawala hizo huanguka.Naona katiba yetu inawapa nguvu watawala kuliko wananchi.
Alikuwa na uwezo ndo maana mambo yalikuwa yanaenda vizuri Tanzania iliheshimika dunia nzima huyu mama hafai kuiongoza nchi hii CCM 2025 ituletee mtu Wa maana.Mwendazake hakuwa na uwezo na bado akaongoza hadi mambo yalipomshinda akajifea. Mama anaweza sana.
Ndio hivyo aisee naongea na watu wengi wa kawaida wanasema siku hizi mambo yamekuwa ovyo Sana.Hatoshi.
Tunaelekea kuahuhudia wizi wa kura ambao haukuwahi kutokea, si mbali sana ni 2025 tu hapo.
Mitaa ni haimkubali kishenzi huyu bi mkubwa.
Hujaelewa ninachosema.Kwa kifupi ni kwamba hakuna serikali dhalimu ambayo inaweza kushinda nguvu za wananchi kama wananchi hao wakiamua kuungana na kuwa kitu kimoja.Sasa mifumo ya nchi hii uchaguzi unasimamiwa na serikali yenyewe wananchi hawana hiyo nguvu labda katiba yetu ni mbovu.Nasikia huyuhuyu mama alishawahi kusema tupige Kura tusipige CCM inashinda.
Pengine tunazungumza lugha mbili tofauti. Nimesema mbali ya ukatili ni uonevu na mengine. Ukatili kwenye mambo mengi ya akina Bensaanane na wengine; uonevu kwa aliodhani tu kwamba wanampinga. Mwendazake alikuwa na sifa hizo pamoja na kulipa visasi. Kama alifaa pamoja na sifa hizo, mama anafaa sana.Magufuli hakuwa katili huyu mama ameonesha hatufai akikaa vibaya ataishia 2025.mbona hata enzi za magufuli tulikuwa no 1 Kwa democracy afrika mashariki.Naamini magufuli alichukia cheap politics.kuna watu walimtukana Sana.magufuli alipendwa ndani na nje ya Tanzania he was talk of the world.
Mkuu unazungumzia dunia ya Kusadikika? Kimsingi aliiweka nchi kivibaya duniani. Mama anafaa sanaAlikuwa na uwezo ndo maana mambo yalikuwa yanaenda vizuri Tanzania iliheshimika dunia nzima huyu mama hafai kuiongoza nchi hii CCM 2025 ituletee mtu Wa maana.
Namaanisha baadhi ya mambo kwenye katiba. Naona hii katiba inawapa nguvu Sana watawala mfano inampa nguvu Rais achague maafisa wa tume ya uchaguzi kwa hiyo Rais anaweka watu wake ambao wanaweza kucheza na kura.au wewe huoni upungufu kwenye katiba yetu?Sawa imeweka Haki za watanzania lakini mambo ya kurekebisha ni mengi.Wananchi siku zote wapo juu ya katiba.Hakuna katiba ambayo inaweza kuwapa watawala nguvu kuliko wananchi na ndiyo maana nchi za kidikteta ambazo zimejitengenezea katiba ya kulinda watawala bado tawala hizo huanguka.
Matatizo kama hayo yalikuwepo hata Enzi za kikwete hata nyerere.hakuna MTU mkamilifu ila Naona Magufuli alikuwa mtekelezaji na msimamizi mzuri Naona huyu mama anafeli kidogo.Pengine tunazungumza lugha mbili tofauti. Nimesema mbali ya ukatili ni uonevu na mengine. Ukatili kwenye mambo mengi ya akina Bensaanane na wengine; uonevu kwa aliodhani tu kwamba wanampinga. Mwendazake alikuwa na sifa hizo pamoja na kulipa visasi. Kama alifaa pamoja na sifa hizo, mama anafaa sana.
Na hizi bei zinazopanda kila leo zinakatisha watu tamaa kabisa.Ndio hivyo aisee naongea na watu wengi wa kawaida wanasema siku hizi mambo yamekuwa ovyo Sana.
Sio kweli Kwa Mfano hata matatizo na Kenya yalikuwepo hata enzi za kikwete.sio kweli kusema aliweka nchi pabaya.mama hafai hayupo vizuri kwenye usimamiaji wa miradi na Mambo mbalimbali.Mkuu unazungumzia dunia ya Kusadikika? Kimsingi aliiweka nchi kivibaya duniani. Mama anafaa sana
Hata huyo JPM angekaa 20 years asingeimaliza. Nchi haijengwi kwa papara za kuanzisha miradi migi namna hiyo kwa hela za kukopa. Kukopa kuna mwisho wake.Mimi kiu yangu ni kuona miradi ya nchi hii zinakwisha Kwa sababu hizi miradi ni muhimu Kwa maslahi ya nchi yetu lakini Kwa mambo nayoyaona nazidi kukata Tamaa utadharauliwa.
Ubongo umejaa kamasi yaani kama unaona huyu anafaa basi tena!Mkuu unazungumzia dunia ya Kusadikika? Kimsingi aliiweka nchi kivibaya duniani. Mama anafaa sana
Wewe umeshandika. Acha wengine waseme. Walao sasa watu hawapotei. Kodi inakusanywa kwa heshima. Sio kwa magenge ya weziMimi kiu yangu ni kuona mambo yanaenda lakini naona tunakwama Sana nakuwa nawasiwasi sana
Hujitambui aisee.Enzi hiyo kuna kitu kilizuka ambacho ni Magufulification of Afrika.Uchapakazi wake ulioneka Kuwa ni wakuigwa na nchi za kiafrika.ukisema aliharibu nchi ongea Kwa evidence.Ubongo umejaa mavi!