Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Maisha yanazidi kuwa magumu tusisingizie vita vya Russia na Ukraine. Tumeshinda kwa miaka mingi ongoza nchi hatujielewi na hatujui tunachotaka. Urais unakuja tu kutukamata hatuna mipango hatuna maono. tunasukumwa tu na kila linalokuja. Ndo maana kwa sasa kisingizio rahisi kitakuwa ni vita ya Urusi Vs Ukraine ilhali ukweli unafahamika hatujielewi tunazunguka tu mbuyu.
 
Hahahaaaa ukizingua unazinguliwa
 
Kwa mimi
Leo hii naona afadhali jiwe angeendelea kua rais tu, lakini huyu tuliyenaye hapana tumepigwa.
Kila hotuba vijembe na mipasho utahisi anaongea na wanawake wenzie kwenye vikoba.
Mimi kwenye mila na desturi za kabila langu mwanamke sio kiongozi na wala siwezi kubishana na mwanamke ni mtu wakumwacha kama alivo tu.
Kwenye maamuzi kiukweli hatuna kiongozi anapwaya mno labda sijui maana kila siku anavuruga tu.
Na wanaume wazima wanakaa wanasikiliza hotuba ambazo hata miaka 20 ijayo ukimuwekea mtoto wako asikize hotuba ya kiongozi huyo watashangaa na huyu aliwahi kuwaongoza kwa uwezo wake huu alionao yaani watakuuliza mlipata maendeleo kweli kwa kiongozi wa namna hii?
Inakua bora liende tu siku zisogee tena angejua wala akimaliza miaka yake mitano apumzike tu hana tena ushawishi isipokua kwa wapiga posho na marupurupu wao lazima wampigie makofi.
Ukiangalia bandari hovyo, bwawa la nyerere hovyo, miradi mingi wakandarasi wanaondoka site, pesa za serikali huko kwenye halmashauri zinatafunwa kama biskuti hadi inatia huruma sana.
2025 tunataka kiongozi makini nchi inataka busara na hekma sio vijembe na mipasho kila dakika hapana,
 
Katiba ya nchi hii mbovu sana. Inaumba mungumutu wa kusifiwa na kuabudiwa . Hata kama uwezo ni zero minus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…