Emmanuel180
JF-Expert Member
- Dec 17, 2019
- 342
- 626
Maelezo tafadharAisee kumbe Kuna watu mnateseka na Tanzania halisia!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maelezo tafadharAisee kumbe Kuna watu mnateseka na Tanzania halisia!!!
Hapo akasema ni mwanzo kaka[emoji23][emoji23][emoji23]Hujagusa mfumuko wa bei ambapo ndiyo balaa zaidi
Au sio [emoji23][emoji23][emoji23]Popoma na uzi wa kipopoma
hatari snHapo akasema ni mwanzo kaka[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji124]Hamia Nchi yoyote ambayo hakuna mfumuko wa bei
Kazi iendeleee[emoji23][emoji23]Mwambieni Samia.
Chapati imefika 1,000
Hahahaaaa ukizingua unazinguliwaHuyo ndiye Rais wa nchi hiyo cheap popularity inaingiaje?
Mkitaka msitake yeye ndiyo kiongozi mkuu wa nchi na ndiye aliyeachiwa hatamu ya uongozi, mbona aliyepita kuna miradi aliiwacha hivyo hivyo?
Tuwe na subira, kwani yeye hajatoka upinzani ni kiongozi wa CCM ileile na ilani ileile kinachotofautiana ni utendaji tu. Ukizingua unazinguliwa.
Wee jamaa unagubu balaa
Tulia dawa ikuingie acha kupapatika
Bora kupigwa vijembe kuliko kupigwa risasi hadharani kama Tundu Lissu.
Kama unamtaka Simba wa Yuda nenda chato usituletee uchuro hapa
R.I.P JPM
Katiba ya nchi hii mbovu sana. Inaumba mungumutu wa kusifiwa na kuabudiwa . Hata kama uwezo ni zero minus