Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Hujui sie watanzania hatupendi mambo ya msingi, sisi na mipasho tu. Wanafurahia huo upuuzi coz ndio hulka yetu kupenda mambo yasiyo na tija.
 
Ni wasihi tu watanzania waendelee kujitafutia, na kila ukipata nafasi ya kufanya hivyo fanya.

Serikali yetu imetoa uhuru wa kila mtu atafute ili mradi tu haugusi masirahi yao.

Hakuna kilio cha wananchi kitasikilizwa katika serikali hii. Watu wame focus zaidi 2025 kuliko sasa hivi.

Mambo yanavyoenda ni kama yanaenda na upepo tu.
 
Kama ipo heshima PM Majaliwa ataipata ni kwa yeye ku resign sasa na abaki kuwa Mbunge pekee.

Kwa namna boss wake anavyoiendesha Nchi ni wazi si kile ambacho yeye anakiamini moyoni mwake na kuendelea kubaki ndani ya Baraza la Mawaziri hakika itaonyesha udhaifu na unafiki ndaniye jambo ambalo ki siasa huenda likaja kumgharimu huko mbeleni.

Ku resign ni bonge ya turufu kisiasa kwa PM Majaliwa hasa nyakati hizi ziwazo.
 
Pesa zina raha yake
 
Unaijua siasa wewe..?

Aki resign unajua italeta picha gani kwa serikali..? Unajua tutataka sababu ya yeye kufanya hivyo na sababu hiyo lazima iwe aidha ya kumchafua yeye ama mtu fulani! Unafikiri kile chama kitafurahia hiyo picha..?
Mfano akafanya hivyo na akaichafua sirikali unafikiri watamuacha tu aendelee kukanyaga ardhi huku wao wakitapakazwa tope..?

Swala la ku resign ni ngumu labda aamue kufanya ile "if you can't fight them join them!"..😁
Naona yupo sahihi muacheni mtu wa watu nae anafamilia.
 

Kwa njaa zetu zilivyo kali akikusikia usiache kutuletea mrejesho
 
Wewe unamsemea kama nani?
 
Ungekuwa unawajua wanasiasa kiundani, wala usingejisumbua kuja na huu uzi wako. Yaani kirahisi tu ajiuzulu!! Unawafahamu wanasiasa wa Kiafrika kweli?

Siasa ndiyo maisha yao! Halafu ajiuzulu ili watoto wake waje kugombania ajira na sisi makabwela! Hilo sahau.
 
Kwa namna boss wake anavyoiendesha Nchi ni wazi si kile ambacho yeye anakiamini moyoni mwake na kuendelea kubaki ndani ya Baraza la Mawaziri hakika itaonyesha udhaifu na unafiki ndaniye jambo ambalo ki siasa huenda likaja kumgharimu huko mbeleni.
Rais wako haku-resign wakati Magu ni boss japo ni dhahiri hawakukubaliana katika mengi.

Mwache nayeye aendelee kulamba asali as long as naye ana tumbo.
 
Siasa za Tanzania hakuna kugharimu wala nini ilia mradi tu upo CCM utapata ulaji muda wowote... Ata akipitishwa na chama kugombea uraisi huwaga wanasahau kila kitu watanzania
 
Ungekuwa unawajua wanasiasa kiundani, wala usingejisumbua kuja na huu uzi wako. Yaani kirahisi tu ajiuzulu!! Unawafahamu wanasiasa wa Kiafrika kweli?

Siasa ndiyo maisha yao! Halafu ajiuzulu ili watoto wake waje kugombania ajira na sisi makabwela hapo baadaye? Hilo sahau.
 
Nikimwangalia majaliwa huwa nakumbuka kipindi aliwalamba waalimu bakora namwona hamnazo.
Ni mtu anayependa kutatua jambo kwa kutumia nguvu bila akili
Mkuu ilikuwa kipindi gani tukio hilo? Wakati huo alikuwa na nafasi gani serikalini?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…