Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mimi ngoja nimuambie kwa kumkuna kidogo...."Eti Mama, huyu sifi leo anasema hali ya maisha mtaani ni ngumu! πŸ™„

Halafu pia kuna wale Mataga! Kiukweli kwa sasa wana hasira sana! Na wenyewe tunawasaidia vipi? 😫
 
Heri ya sisi wana CCM. Nikitizamana hali ya Wapinzani kwa sasa ni Mbaya. Wamepigwa utosini na mbavu zimevunjwa. Wanacheka, Wanakohoa,Wanapiga Chafya ,Wanapumua kwa Shida sana. Kifupi wana hali mbaya.

Sisi wana CCM tunalamba tu asali....alamba alamba...alamba tena.... Ilmradi Burdani Mambo Bull Bull.

Kila napopita nasikia wakilalamika kuwa maisha yamepanda gharama....nawatizama nasema. "Hiiiiiiiiii" hayo sisi yanatuhusu nini Wana CCM tunalamba tu Asali taratibu wao wakilamba Shubiri.

Sukuma Gang wapo chali kwa sasa...Mama anaupiga Mwingi mpaka unamwagika.... Anaupiga Mwingi Sana.




TUENDELEENI KUNYWA MTORI. NYAMA TUTAZIKUTA CHINI.
 
UZURI SASA HIVI HATA KILA MTU ANALIA KWENYE KONA. AKIONANA NA BOSI WAKE ANAJIBARAGUZA.
 
Ngojeni Uchaguzi mkuu,labda mkimbie na maboksi ya kura.
 
Kwa maudhui ya ujumbe wako yanaonesha we siyo mwanasisiemu bali umeandika kiuchonganishi kama mganga mpiga ramuli chonganishi. Hapa unawatafutia ubaya wana ccm wenyewe kwa kuwaambia wanalamba asali ilihali wananchi wanalalamika na ugumu wa maisha kwa mfumko wa bei. Ushtakiwe kwa kupiga ramli chonganishi.
 
Hata kupanda kwa Mafuta kunawaumiza sana Wapinzani

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Wapinzani sasa Mmepagawa...... Na Bado.
 
Habari wadau!
Sitaki kuongea sana ila kwa interview Ile ya TIDO MHANDO na HANGAYA Nimepata mashaka kidogo
Ikiwa tunaweza kulinganisha bei ya Mafuta ya Marekani kuwa sawa na Tanzania bila kufikiri utofauti wa uchumi kati ya nchi hizi basi mimi niseme tu kuwa tuongeze maombi haya tunayoomba hayatoshi
 
Kinachotakiwa ni kuchukua action
 
KAZI IENDELEEE
 
Kwa mambo yanavyo enda endapo kweli Mama atarudishwa Madarakani basi Shetani hatatuelewa kabisa.

Huyu Tangu arudi kutoka Marekani hakuna Cha maana anacho Ongea kwa Taifa lake zaifi ya Royol tour.Yaani mafanikio yake makubwa ni Royol tour.

Rwanda walifanya Royol tour ila Kagame hakuwa frontline line kuinadi na hajawahi hata izungumzia.

Huyu Mama kutwa nzima ni Royol tour ina maana maisha ni Royol tour pekee?

Kuna Upigaji wa kutisha na walio piga pesa hata kama ni awamu ya 5 lakini asilimia 99 wako madarakani kwa sasa hakuna kinacho fanyika, Huyu Mama huwezi msikia hata siku moja akizungumzia ufisadi, katika vitu anavikwepa ni hivuo na sana anaoma atawaudhi watu wake.

Watanzania tusipo simama kulinda Mother land hata shetani atatushangaaa sana achilia mbali vizazi vijavyo
 
Yani tunafanywa Kama mazuzu royal tour original inasema magu kafa na korona hii ya mchongo wameedit na kufuta vipande.
Eti billion 7 kushoot filamu watu wanalalamika kupanda kwa nauli na gharama za maisha .
Kiongozi wa hovyo haijawah kutokea nchi tutaikosa hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…