Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mlipo piga kura ya kumchagua raisi,Samia alikuwa mgombea mwenza wa marehemu Magufuli,na picha yake ilikuwepo kwenye karatasi la kura,kwa hiyo wa kulaumiwa ni nyinyi hapo mliompigia kura Magufuli akiwa na mgombea mwenza ambaye sasa hivi mnasema anafanya vibaya.

Ukifuatikiwa chaguzi za Marekani,mgombea uraisi huwa ananyimwa kura kama wapiga kura hawajaridhishwa na sofa za mgombea mwenza mwenza.

Msitupigie makelele kabisa,mnahusika moja kwa moja na Samia kuwa raisi,ila sababu ya umbumbumbu wenu mnaandika vitu msivyovijua Ili kumchafua wakati ambapo nyinyi ndiyo mlio muweka.
 
Naweza nikawa siyajui mengi yaliyojificha kwa Wala nchi lakini kwenye ishu ya Sukari sijaona ubaya coz tayari tunauhaba wa Sukari tokea enzi na enzi, kikubwa baada ya kuingia makubaliano ya kuagiza Sukari utoka Uganda.

Je, kuna mpango mkakati wa kuzalisha Sukari ya kutosheleza kwa miaka ya mbeleni? Kama Uganda wamefanikiwa kuzalisha na kujiyosheleza hamna ubaya kununua au ni mpk iagizwe Brazil ndio utaona inafaa kuliko kwa Hawa wa level zetu.
 
Tokea Mama Samia Suluhu awe Raisi wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania sikutaka kutoa Maoni yangu juu yake kwasababu nilitaka nijiridhishe kwanza kwa kumpa muda mrefu ili nione ideas zake pamoja uwezo alionayo wa kuongoza nchi kwa kupima kupitia utendaji wake...
Wewe huna akili na sio mtanzania,Kwanza tafuta kazi ufanye bibie, Samia Ni Rais Bora Sana uwezi kumfananisha na yule shetani muuaji
 
ni dhambi kununua sukari uganda?
ni dhambi kununua ARV uganda?
Sio dhambi vitu kama hivyo tunazo nchini hakuna haja ya kuingia makubaliano na Uganda ni suala la kutengeneza sera nzuri na rafiki kwa wawekezaji wa Tanzania tuna kiwanda Cha kagera, mtibwa sugar bakressa pia ana kiwanda Cha sugar kipo bagamoyo n.k ARv tulikuwa tunatengeneza hapa nchini na zipo nchini kwanini uwende nje ya nchi? Sasa kama tuna import vitu vya namna hii basi ndio maana Viwanda vyetu vya ndani vinakufa alafu tunatafuta mchawi
 
Sukari tunayodhalisha haikidhi mahitaji maana kiwanda kama ILOVO kiasi kikubwa cha sukari yake ni export na hata hivyo viwanda vingine huwa kiasi cha sukari ni export....(tunahitaji pia fedha za kigeni)...

Bagamoyo Sugar aka Bakhressa bado hakijaanza uzalishaji in full swing na kile kingine cha Morogoro bado kiko kwenye early stages....

Kuliko kusubiri na raia wanamaumivu ya bei ya sukari kwanini tusiimport from Uganda baada ya kuitoa Brazil?..

Brother hata china kuna vitu anaimport, hata USA kuna vitu anaimport...HUWEZI KUJITOSHELEZA KILA KITU..
 
Mbna nasikia nao Uganda wanaaagiza brazili
 
Naona Mataga mmetumwa kuja kumchafua Bi Mkubwa kwa bidii kweli kweli[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]acheni upumbavu huyu ndiye Rais wetu kwa sasa tunajua tulipokuwa kabla yake na tulipo sasa baada yake pia tunaamini Kule atakapo tupeleka,huo upumbavu wenu pelekeni kitovuni
Uyo ni rais wa katiba nchi hajafanya uchaguzi hadi 2025 apo ndo mtakuwa na uhalali wa kusema hizo shit zenu humu
 
Nchi aligawa yule DIKTETA wa Chato ambaye alisema hapeleki maendeleo kwenye majimbo yanayoshikiliwa na upinzani. Na akatumia fedha zetu kujenga miundombinu mikubwa kijijini kwake Chato.
Chato Ni Tanzania still sio ulaya umesaau ?
 
Tanzania tuna viongozi wa hajabu sana kwani hakuna kiongozi anayekuja akawa na dira nzuri ya kuingoza hii nchi. Magufuli tu ndiye ali-dare kuchukua maamuzi mazito ya kulipeleka hili taifa mbali na kutaka kutuondoa kwenye ujinga, mwishowe tumeona walichomfanya.
Hizo pumba kawape nguruwe ndiyo wanastahili au wape wanao kama unao, siyo kuleta hapa JF kwenye watu wana akili ya kuchambua mambo.

Magufuli alikuwa anatupeleka shimoni na nyinyi wajinga msio na elimu mlikuwa mnamshangilia ujinga na uwongo wake. Bila Mungu kuingilia kati hii Tanzania ilikuwa inakwenda ku collapse economically kama Zimbabwe. Rot in Hell Magufuli
 
Kivipi toa fact acha kubwatuka hivi unajua kilo ya Mchele Ni 2500 ?
 
Chato Ni Tanzania still sio ulaya umesaau ?
Kwa hiyo kwa akili zako za kijiko unaona ni bora kutumia Tsh 700 Million kujenga 3km runway airport Chato ambako ni ndege moja tu inatuwa mara 2 kwa wiki kuteremsha abiria 20?

Wakati angeingiza hizo hela Mwanza Airport na kuifanya kuwa regional hub ili kuongeza mashirika ya Uganda na Kenya, Rwanda yaweze kutua
 
Nchi aligawa yule DIKTETA wa Chato ambaye alisema hapeleki maendeleo kwenye majimbo yanayoshikiliwa na upinzani. Na akatumia fedha zetu kujenga miundombinu mikubwa kijijini kwake Chato.
Alikufanya vibaya sana huko nyuma huna hamu nae ee
 
Kwa hiyo kwa akili zako za kijiko unaona ni bora kutumia Tsh 700 Million kujenga 3km runway airport Chato ambako ni ndege moja tu inatuwa mara 2 kwa wiki kuteremsha abiria 20?

Wakati angeingiza hizo hela Mwanza Airport na kuifanya kuwa regional hub ili kuongeza mashirika ya Uganda na Kenya, Rwanda yaweze kutua
Kwan unamdagani hujafika mwanza ? Marekebisho ya uwanja wa ndege ya mwanza hukuyaona ? Na upanuaji wa barabara ya kutoka airport hukuyaona ? Hivi hujui airport ata nchi za magharibi zipo adi vuchakani ? Airport ata mashambani zipo .. mentality yake ilikua kuona Kila mkoa unajibeba wenyewe ..Yan unapata Kila kitu .. airport ya chato hushusha watalii wanaonda kutalii hifadhi ya rubondo kuliko zamani walivyokua wanashukia mwanza na kuchukua magari kwenda kwenye hifadhi .. so Bado hujapata picha adi apo ?
 
Back
Top Bottom