Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Unapotaka kujenga hoja usiwe na ukakasi wa hadidu za rejea......

Nakukumbusha kuwa mh.Rais Y.Museveni alipotutembelea alituomba TUNUNUE SUKARI KUTOKA UGANDA....tusisahau kuwa Kenya imepunguza kiwango cha kuingiza sukari ya Uganda(wao pia wananunua kutoka Zambia ,Sychelles na kwengineko)....Sasa ule msemo wa "if I scratch you ,scratch me back"-Bomba la mafuta kutoka HOIMA limepitishwa Tanzania badala ya njia fupi(kuelekea Mombasa).....

#Siempre JMT[emoji120]
Correction..bomba la mafuta baada ya utafiti uliofanywa na shell ndo ikaamuliwa kuwa kuja chongoleani tanga ni garama nafuu zaidi kuliko kwenda mombasa. Halikupitishwa tz kwa favour.
 
DIKTETA wa Chato
Swadakta!! Kaua sana huyo.
mybusiness.png
 
hivi tz hatuna wataalamu wa kufanya tafiti za kuzalisha madawa ya kufubaza virusi vya vvu?nchi kubwa kama hii yenye wataalamu na taasisi nyingi.hivi NIMR na taasisi nyingine zimeshindwa kufanya tafiti za madawa hayo?kwa kweli wataalamu wetu wanadhalilishwa sana.Issue ya sukari ya uganda kuingizwa nchini kwetu automatically inaenda kuua viwanda vyetu vya ndani.nasikia sina uhakika kagera suga imesimamisha uzalishaji wa sukari.ndiyo maana Pr.Mkenda alikuwa tofauti na swala la uagizaji sukari kutoka uganda na haraka haraka mama akamwondoa ktk kilimo.tukiendele na mentality hiyo viwanda vingi tz vinaenda kufa na hatujui hiyo sera ya viwanda itaendaje kufanya kazi.na tumeelezwa kuwa hiyo sukari ya uganda haizalishwi humo kwa kiasi fulani bali inatoka nje ya uganda wao hufanta rebaging tu na hatuelewi hata ubora wa sukari hiyo.watalaamu mtusaidie watanzania sababu tunakoenda hatukujui.
 
Nchi imegawanyika sana hii na ikiendelea kama hivi itasambaratika tuu. Wengi wanataka iongozwe kidikteta, iongozwe kama China. Wengine wanataka iongozwe kidemokrasia kama nchi za magharibi. Mwisho wake tutakuwa kama ilivyokuwa Korea, upande wa kaskazini unafungamana na China, upande wa kusini unafungamana na Marekani. Nchi ikagawanyika na kuwa nchi mbili, North Korea na South Korea. Nchi haiwezi kubaki pamoja kama watu wanataka mifumo tofauti.
Itakuwa poa sana wachiwe upande wao hao Ngosha
 
Tunachopambana nacho sasa ndicho cha maana alichotufanyia huyu mzee. Bure kabisa.
Tanzania tuna viongozi wa hajabu sana kwani hakuna kiongozi anayekuja akawa na dira nzuri ya kuingoza hii nchi. Magufuli tu ndiye ali-dare kuchukua maamuzi mazito ya kulipeleka hili taifa mbali na kutaka kutuondoa kwenye ujinga, mwishowe tumeona walichomfanya.
 
Ma Msheku akitoboa hadi December! Kama nipo hai itabidi nitafute sehemu ya kuishi.
 
Maiti yenyewe ilikuwa inanuka, wakaipiga picha tukaona alivyonyauka yule kenge. Mukakasirika
Wewe yako itakuwa inanukia?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumbe huna akili?

Hivi karibuni utaliwa na funza na minyoo pia
 
Yeye Magufuli si alikuwa anasema ni mzalendo na ni mkweli, basi angetuthibitishia kama alivyokubali kuhakiki bastola yake kwenye zoezi la Makonda.

Jamaa yenu alikuwa FAKE sana
Akuthibitishie wewe kama nani?

Hawa waliopo wamekuthibitishia wapi?
 
Sioni tatizo kununua sukari na umeme maana hatuna, unataka watu wakae gizani na wasinywe chai kwa ajiri ya misiasa yako, acha uzalendo wa kifala
 
Correction..bomba la mafuta baada ya utafiti uliofanywa na shell ndo ikaamuliwa kuwa kuja chongoleani tanga ni garama nafuu zaidi kuliko kwenda mombasa. Halikupitishwa tz kwa favour.
Tanzania wangekataa lingepitishwa?!!!!
 
hivi tz hatuna wataalamu wa kufanya tafiti za kuzalisha madawa ya kufubaza virusi vya vvu?nchi kubwa kama hii yenye wataalamu na taasisi nyingi.hivi NIMR na taasisi nyingine zimeshindwa kufanya tafiti za madawa hayo?kwa kweli wataalamu wetu wanadhalilishwa sana.Issue ya sukari ya uganda kuingizwa nchini kwetu automatically inaenda kuua viwanda vyetu vya ndani.nasikia sina uhakika kagera suga imesimamisha uzalishaji wa sukari.ndiyo maana Pr.Mkenda alikuwa tofauti na swala la uagizaji sukari kutoka uganda na haraka haraka mama akamwondoa ktk kilimo.tukiendele na mentality hiyo viwanda vingi tz vinaenda kufa na hatujui hiyo sera ya viwanda itaendaje kufanya kazi.na tumeelezwa kuwa hiyo sukari ya uganda haizalishwi humo kwa kiasi fulani bali inatoka nje ya uganda wao hufanta rebaging tu na hatuelewi hata ubora wa sukari hiyo.watalaamu mtusaidie watanzania sababu tunakoenda hatukujui.
Utawapata wapi wakati wote wapo kwenye kazi ya uchawa tu
 
Back
Top Bottom