Faka25
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 1,738
- 1,134
Umeongea Kitu KizuriAchana nae uyo Ni mpumbavu tu naisi yupo kideoni anatazama movie yake pendwa ya royal tour ilioshutiwa kwa billion 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea Kitu KizuriAchana nae uyo Ni mpumbavu tu naisi yupo kideoni anatazama movie yake pendwa ya royal tour ilioshutiwa kwa billion 7
Mimi binafsi sio mshabiki wa chama chochote Cha siasa nampigia kura mtu anayenivutia kwa sera yake au record ya utendaji wake lakini sio kwasababu ya chama fulaniKuna siasa Tanzania bila chama?
Nyie ndo wanafiki wenyewe
Ata inamanikusweke
Maelezo ya kuogopa kusema wewe ni CCMMimi binafsi sio mshabiki wa chama chochote Cha siasa nampigia kura mtu anayenivutia kwa sera yake au record ya utendaji wake lakini sio kwasababu ya chama fulani
Uwe unasoma vizuri comment kuliko kuweka ushabiki mbele hapo nimetoa option mbili nimesema kuvutiwa na sera yake au record ya utendaji kwasababu ya ushabiki wako wakisiasa unaona ni moja tuMaelezo ya kuogopa kusema wewe ni CCM
Mfano mpinzani utamuonaje utendaji wake?
Too pathetic akili chache
No idea mna issue gani na kununua umeme kutoka Uganda huku mkijua hatuna umeme wa kutosha, is a temporally fix mpaka tutakapo weza kuwa na wa kwetu, hakuna kulala gizani maisha lazima yaendelee, watu wanataka umeme hawajali umetoka wapi, huo uzalendo wa kuibiana na IPTL ya wahindi bora hata Uganda kama issue ni uzalendoHapo kwenye issue ya kuletewa umeme nimebaki hoi
Chato siyo mkoa, acha ujinga!!Wana chato wastaili pia kupata maendeleo Kama mikoa mingine ?
Nitakufa na nitaliwa na funza lakini siwezi kuwa nimeacha mtu ananilalamikia kuwa nilimuua au niliiba fedha zake.Wewe yako itakuwa inanukia?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumbe huna akili?
Hivi karibuni utaliwa na funza na minyoo pia
Ben Saanane, Azory Gwanda na wale kwenye viroba na wale 300 wa MKIRU.Alimuua nani?
Mkuu sukuma gang wanachohangaika kwa sasa ni kujaribu kulinda legacy isifunikwe , unfortunately hakuna kitu watafaulu kufanya..Haya ni makubaliano yanayostahili kupongezwa. Rais wetu hapa umepata bingo. Asiyekukubali katika hili ni wazi atakuwa kihiyo katika masuala ya ushirikiano wa kikanda na kimataifa. Na kubwa zaidi haelewi historia ya ushirikiano wetu na Uganda isipokuwa wakati wa utawala wa nduli Amin.
Makubaliano haya yatasaidia vile vile kufungua/kurahisisha biashara na Sudan Kusini (tunapata njia nyingine zaidi ya Kenya) na Kaskazini mwa DRC (hatutajifunga wakati wote na njia za Burundi na Rwanda). Kwa makubaliano haya nakubali mama unafungua nchi pamoja na dhana hii kuwa na tafsiri nyingi.
Unamuuliza nani sasa? Si ungethibisha kwa data huo ujinga wako kwamba hakusafiri na akapata..Museveni aliwezaje kuwa na umeme wa uhakika na sukariya ziada wakati yeye hana kasumba ya kusafisafiri nje?
Tatizo la viongozi wetu kulalamika badala ya kutoa majibu
Duh! Mbona umekuwa mkali hivyo? Safari sikisitishwa utaadhirika nini? Sorry aisee! Ila hujanijibu swali langu! Ni vipi Meseveni kaweza kuwa na umeme wa ziada akauza nje, ana sukari ya ziada ya kuuza nje sisi hatuna?!, Bwawa la Mwalimu Nyerere vipi?Unamuuliza nani sasa? Si ungethibisha kwa data huo ujinga wako kwamba hakusafiri na akapata..
Unaweza weka ziara za Museven Nje ya Nchi Kwa miaka yake yote toka Kawa Rais Ili tulinganishe?
Kwa taarifa yako Rais atasafiri Sana tuu na huna cha kubadili,ulimbukeni wako peleka Chato..
Ngoja nikukere zaidi 👇
View attachment 2221506
W
Mimi sio mjinga kama wewe,safari zikisitishwa hakuna pesa tutapata,tutaishia kukamuana ndani na Kukopa afu tutakamuliwa tena..Duh! Mbona umekuwa mkali hivyo? Safari sikisitishwa utaadhirika nini? Sorry aisee! Ila hujanijibu swali langu! Ni vipi Meseveni kaweza kuwa na umeme wa ziada akauza nje, ana sukari ya ziada ya kuuza nje sisi hatuna?!, Bwawa la Mwalimu Nyerere vipi?
Acha propaganda za kwenye makaratasi, kwani matapeli waliojifanya wawekezaji wanakuja na makaratasi tu , mitaji wanapata hapahapa kwa kushirikiana na watu wetu! Au hulijui hilo?Mimi sio mjinga kama wewe,safari zikisitishwa hakuna pesa tutapata,tutaishia kukamuana ndani na Kukopa afu tutakamuliwa tena..
Pili zikisitishwa hakuna wawekezaji wataoleta mtaji na teknolojia wala ajira Nchini,so ni hasara 👇
M
Ku urgue ni mjinga huwa ni mzigo Sana...Acha propaganda za kwenye makaratasi, kwani matapeli waliojifanya wawekezaji wanakuja na makaratasi tu , mitaji wanapata hapahapa kwa kushirikiana na watu wetu! Au hulijui hilo?
Nimekuuliza vipi Museveni kaweza kuwa na umeme wa ziada akauza nje, ana sukari anauza nje, sisi tunaosafiri nje sana hatuna?
Tukana mpaka mwisho rafiki! Lakini sioni jibu langu hapo! Museveni kaweza kuwa na umeme wa kuuza nje na sukari pia, vipi Bwawa la Mwalimu Nyerere? Vipi viwanda vyetu sukari?Ku urgue ni mjinga huwa ni mzigo Sana...
Tupe wewe ukweli wa uhalisia usio na makaratasi .
Toka umekua na akili zako za kisoda hizo umewahi Sikia Museve alikuwa kama Jiwe eti hasafiri?
Hili ndio jibu la swali lako hilo la kitoto.
I rest my case 👇Tukana mpaka mwisho rafiki! Lakini sioni jibu langu hapo! Museveni kaweza kuwa na umeme wa kuuza nje na sukari pia, vipi Bwawa la Mwalimu Nyerere? Vipi viwanda vyetu sukari?
Fanya Research kidogo hata kwa ku Google.Museveni kaweza kuwa na umeme wa kuuza nje
Uganda exports power to Kenya, Tanzania, Rwanda and DR Congo.Tukana mpaka mwisho rafiki! Lakini sioni jibu langu hapo! Museveni kaweza kuwa na umeme wa kuuza nje na sukari pia, vipi Bwawa la Mwalimu Nyerere? Vipi viwanda vyetu sukari?