Ukifikiria nje ya BOX, utaacha ku-copy na ku-pest, maana hata hiyo uliosema gang utakuwa uli copyZinanisaidia Sana kuwakera nyie Sukuma gang
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukifikiria nje ya BOX, utaacha ku-copy na ku-pest, maana hata hiyo uliosema gang utakuwa uli copyZinanisaidia Sana kuwakera nyie Sukuma gang
Sisi tunafikiria humo humo ndani ya box afu tunaweka legacy 👇Ukifikiria nje ya BOX, utaacha ku-copy na ku-pest, maana hata hiyo uliosema gang utakuwa uli copy
Ndo maana nikakwambia fikiria nje ya box upate ufahamu!!kati ya ongezeko hilo na mfumko wa bei kipi kikubwa?Sisi tunafikiria humo humo ndani ya box afu tunaweka legacy 👇
View attachment 2224578
View attachment 2224579
Sitaki kufikiria nje ya box nafikiria ndani tuu..Ndo maana nikakwambia fikiria nje ya box upate ufahamu!!kati ya ongezeko hilo na mfumko wa bei kipi kikubwa?
Mradi wa umeme wa mto Rufiji umeishia wapi?Sitaki kufikiria nje ya box nafikiria ndani tuu..
Rais anatupeleka huku kwenye Nchi ya ahadi 👇
View attachment 2224998
View attachment 2225001
View attachment 2225002
View attachment 2225003
View attachment 2225004
View attachment 2225005
View attachment 2225006
View attachment 2225007
Umeishia wapi kivipi? Mbona una shida sana wewe? Unaendelea na utekelezaji na umefikia 44% ..Mradi wa umeme wa mto Rufiji umeishia wapi?
So kwa akili yako miradi ya Chato nayo ataendeleza? Hata daraja la Busisi tunapiga chini kwanza
January Makamba bwana, hivi kwanini una hasira na Magu wakati wewe hata kufanya kazi huwezi.Hizo pumba kawape nguruwe ndiyo wanastahili au wape wanao kama unao, siyo kuleta hapa JF kwenye watu wana akili ya kuchambua mambo.
Magufuli alikuwa anatupeleka shimoni na nyinyi wajinga msio na elimu mlikuwa mnamshangilia ujinga na uwongo wake. Bila Mungu kuingilia kati hii Tanzania ilikuwa inakwenda ku collapse economically kama Zimbabwe. Rot in Hell Magufuli
Sawa Nnape Nnauye.....tumekupataTunachopambana nacho sasa ndicho cha maana alichotufanyia huyu mzee. Bure kabisa.
Usitusemee Watanzania wote siyo familia yako jisemee wewe mwenyeweMama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Kama kusema ukweli au kuhoji kuhusu matumizi ya rasilimali za nchi ni CHUKI, basi watanzania tuna safari ndefu sana.Hizi chuki za kisoro dhidi ya Rais wetu ifikie wakati zikomeshwe mara moja.