Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulize CCM kwa miaka 6o mbona hakuna sukari wala umeme wa kutosha? ila kukusaidia ujue, kwa Uganda wazalishaji wakubwa wa sukari ni wahindi sio serikali tena wale waliofukuzwa na Idd Amin ambao Museveni aliwarudisha na kuwapa mali zao, CCM wako busy na vibali vya rushwa vya sukari badala ya kuweka sera ya kuleta wawekezaji, jiulize kwa nini matajiri kama Bakhresa hawajengi viwanda vya sukari huku wakijua soko ni kubwa sana, sukari imejaa siasa na rushwa tupu na chanzo ni CCM, umeme ni hivyo hivyo sera mbovu na rushwa ndio vinaua sekta ya umeme, CCM iache watu waweke pesa zao wafanye kazi nakuhakikishia tatizo la sukari na umeme hutasikia tenaDuh! Mbona umekuwa mkali hivyo? Safari sikisitishwa utaadhirika nini? Sorry aisee! Ila hujanijibu swali langu! Ni vipi Meseveni kaweza kuwa na umeme wa ziada akauza nje, ana sukari ya ziada ya kuuza nje sisi hatuna?!, Bwawa la Mwalimu Nyerere vipi?
Mpaka wahindi wazalishe ndo tutapata bidhaa/sukari ya kutosha? Ondoa fikra hizo kwenye ubongo wako kuwa weupe tu ndo wanaweza!Waulize CCM kwa miaka 6o mbona hakuna sukari wala umeme wa kutosha? ila kukusaidia ujue, kwa Uganda wazalishaji wakubwa wa sukari ni wahindi sio serikali tena wale waliofukuzwa na Idd Amin ambao Museveni aliwarudisha na kuwapa mali zao, CCM wako busy na vibali vya rushwa vya sukari badala ya kuweka sera ya kuleta wawekezaji, jiulize kwa nini matajiri kama Bakhresa hawajengi viwanda vya sukari huku wakijua soko ni kubwa sana, sukari imejaa siasa na rushwa tupu na chanzo ni CCM, umeme ni hivyo hivyo sera mbovu na rushwa ndio vinaua sekta ya umeme, CCM iache watu waweke pesa zao wafanye kazi nakuhakikishia tatizo la sukari na umeme hutasikia tena
Matusi hayasaidii rafiki! Kwani kuandika kiingereza ndo unajua kuliko wengine?
Kumbe ni umeme wa maji???!, vipi na kwetu aliyechimba bwawa la Mwalimu Nyerere limeenda wapi? Mbona anatukanwa kama kitu alichofanya hakikuwa na maana?Uganda exports power to Kenya, Tanzania, Rwanda and DR Congo.
View attachment 2222105
Owen falls Jinja Uganda Mto Nile huo.
Anatukanwa kwa kukiuka HAKI za Wanadamu ikiwemo kuwaua na kuwatia kwenye Viroba vya sandarusi.Kumbe ni umeme wa maji???!, vipi na kwetu aliyechimba bwawa la Mwalimu Nyerere limeenda wapi? Mbona anatukanwa kama kitu alichofanya hakikuwa na maana?
Tunakuonyesha namba sio matusi,Soma hiyoo👇Matusi hayasaidii rafiki! Kwani kuandika kiingereza ndo unajua kuliko wengine?
Hata wewe huwezi kusema unatoa majadiliano ya maana, bado hayana ufahamu wa kimantiki!
Ninachouliza hujibu, unaishia matusi tu!
Hao wahindi ni waganda kwa uraia kama wewe ulivyo raia wa Tanzania, na hata kama sio raia as long as sukari inapatikana na haiagizwi nje kwa pesa za kigeni, kodi inalipwa na kutoa kazi kwa wananchi tatizo liko wapi? au lazima mwekezaji awe mweusi mwenzako ndio maendeleo kwako? maendeleo hayana rangi boss acha mambo ya kishamba na ubaguziMpaka wahindi wazalishe ndo tutapata bidhaa/sukari ya kutosha? Ondoa fikra hizo kwenye ubongo wako kuwa weupe tu ndo wanaweza!
Usijekuta wewe ni mmojawapo wa wasimamizi na watengeneza sera za nchi hii!
Haya ndio maendeleo tunayotaka, cement ije, kazi zipatikane na kodi ilipwe, na kidogo nashangaa warundi na njaa zao wanatuletea investment za mabilioni kwa vitu vya maana sana kama mbolea na cement, naona wameona fursa ya soko na sisi tuige tutumie hata bank zetu kuwekeza ingawaje nazo ni changamoto
Kwani Tanzania hatuna wahindi? Wewe ndo mbaguzi na mpuuzi wa kishamba!,Hao wahindi ni waganda kwa uraia kama wewe ulivyo raia wa Tanzania, na hata kama sio raia as long as sukari inapatikana na haiagizwi nje kwa pesa za kigeni, kodi inalipwa na kutoa kazi kwa wananchi tatizo liko wapi? au lazima mwekezaji awe mweusi mwenzako ndio maendeleo kwako? maendeleo hayana rangi boss acha mambo ya kishamba na ubaguzi
Namba zipi? Hujui namba wewe!unajua ku -copy na ku-pest!
Tupe namba zako weweN
Namba zipi? Hujui namba wewe!unajua ku -copy na ku-pest!
Swali Ukuweza Kupata Jibu?
Nchi Yetu Mwendo Wake Ni Mdogo Sana Nchi ina vyanzo vingi vya mapato.Waulize CCM kwa miaka 6o mbona hakuna sukari wala umeme wa kutosha? ila kukusaidia ujue, kwa Uganda wazalishaji wakubwa wa sukari ni wahindi sio serikali tena wale waliofukuzwa na Idd Amin ambao Museveni aliwarudisha na kuwapa mali zao, CCM wako busy na vibali vya rushwa vya sukari badala ya kuweka sera ya kuleta wawekezaji, jiulize kwa nini matajiri kama Bakhresa hawajengi viwanda vya sukari huku wakijua soko ni kubwa sana, sukari imejaa siasa na rushwa tupu na chanzo ni CCM, umeme ni hivyo hivyo sera mbovu na rushwa ndio vinaua sekta ya umeme, CCM iache watu waweke pesa zao wafanye kazi nakuhakikishia tatizo la sukari na umeme hutasikia tena
Noma SanaTanzania hatushindwi kuzalisha sukari ya kutosha mpaka ziada ya kuuza nje, inawezekana sana tena kirahisi tuu, tatizo ni siasa za vibali vya sukari ambavyo ni kama bakuli la CCM, imagine unaruhusu watu 5 tuu kuagiza sukari nchi nzima na hao wote ni connected na wanasiasa, hao ndio wana control sera zote za sukari ili kulinda ulaji wao na wana nguvu kweli kweli na hakuna wa kuwagusa, hao ndio wanaamua kuanzia kodi mpaka kuua viwanda vyote vya sukari, hao mawaziri na wanasiasa ni midomo tuu, sugar ni powerful cartel ya wanasiasa wakubwa na wafanyabishara na ukicheza unaweza kupotezwa haraka sana watu wengi hawajui
Wewe zitakusaidia nini wa Ku-copy na Ku-pest?Tupe namba zako wewe
Zinanisaidia Sana kuwakera nyie Sukuma gangWewe zitakusaidia nini wa Ku-copy na Ku-pest?