Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Duh! Mbona umekuwa mkali hivyo? Safari sikisitishwa utaadhirika nini? Sorry aisee! Ila hujanijibu swali langu! Ni vipi Meseveni kaweza kuwa na umeme wa ziada akauza nje, ana sukari ya ziada ya kuuza nje sisi hatuna?!, Bwawa la Mwalimu Nyerere vipi?
Waulize CCM kwa miaka 6o mbona hakuna sukari wala umeme wa kutosha? ila kukusaidia ujue, kwa Uganda wazalishaji wakubwa wa sukari ni wahindi sio serikali tena wale waliofukuzwa na Idd Amin ambao Museveni aliwarudisha na kuwapa mali zao, CCM wako busy na vibali vya rushwa vya sukari badala ya kuweka sera ya kuleta wawekezaji, jiulize kwa nini matajiri kama Bakhresa hawajengi viwanda vya sukari huku wakijua soko ni kubwa sana, sukari imejaa siasa na rushwa tupu na chanzo ni CCM, umeme ni hivyo hivyo sera mbovu na rushwa ndio vinaua sekta ya umeme, CCM iache watu waweke pesa zao wafanye kazi nakuhakikishia tatizo la sukari na umeme hutasikia tena
 
Tanzania hatushindwi kuzalisha sukari ya kutosha mpaka ziada ya kuuza nje, inawezekana sana tena kirahisi tuu, tatizo ni siasa za vibali vya sukari ambavyo ni kama bakuli la CCM, imagine unaruhusu watu 5 tuu kuagiza sukari nchi nzima na hao wote ni connected na wanasiasa, hao ndio wana control sera zote za sukari ili kulinda ulaji wao na wana nguvu kweli kweli na hakuna wa kuwagusa, hao ndio wanaamua kuanzia kodi mpaka kuua viwanda vyote vya sukari, hao mawaziri na wanasiasa ni midomo tuu, sugar ni powerful cartel ya wanasiasa wakubwa na wafanyabishara na ukicheza unaweza kupotezwa haraka sana watu wengi hawajui
 
Mpaka wahindi wazalishe ndo tutapata bidhaa/sukari ya kutosha? Ondoa fikra hizo kwenye ubongo wako kuwa weupe tu ndo wanaweza!
Usijekuta wewe ni mmojawapo wa wasimamizi na watengeneza sera za nchi hii!
 
Kumbe ni umeme wa maji???!, vipi na kwetu aliyechimba bwawa la Mwalimu Nyerere limeenda wapi? Mbona anatukanwa kama kitu alichofanya hakikuwa na maana?
Anatukanwa kwa kukiuka HAKI za Wanadamu ikiwemo kuwaua na kuwatia kwenye Viroba vya sandarusi.
 
Popote pale siye sawa tu, cha msingi tupate KATIBA MPYA basi. Nchi hii dish lishayumba kitambo saana.
 
Matusi hayasaidii rafiki! Kwani kuandika kiingereza ndo unajua kuliko wengine?
Hata wewe huwezi kusema unatoa majadiliano ya maana, bado hayana ufahamu wa kimantiki!
Ninachouliza hujibu, unaishia matusi tu!
Tunakuonyesha namba sio matusi,Soma hiyoo👇

Screenshot_20220513-104418.png
 
Mpaka wahindi wazalishe ndo tutapata bidhaa/sukari ya kutosha? Ondoa fikra hizo kwenye ubongo wako kuwa weupe tu ndo wanaweza!
Usijekuta wewe ni mmojawapo wa wasimamizi na watengeneza sera za nchi hii!
Hao wahindi ni waganda kwa uraia kama wewe ulivyo raia wa Tanzania, na hata kama sio raia as long as sukari inapatikana na haiagizwi nje kwa pesa za kigeni, kodi inalipwa na kutoa kazi kwa wananchi tatizo liko wapi? au lazima mwekezaji awe mweusi mwenzako ndio maendeleo kwako? maendeleo hayana rangi boss acha mambo ya kishamba na ubaguzi
 
Tunakuonyesha namba sio matusi,Soma hiyoo👇

View attachment 2222759
Haya ndio maendeleo tunayotaka, cement ije, kazi zipatikane na kodi ilipwe, na kidogo nashangaa warundi na njaa zao wanatuletea investment za mabilioni kwa vitu vya maana sana kama mbolea na cement, naona wameona fursa ya soko na sisi tuige tutumie hata bank zetu kuwekeza ingawaje nazo ni changamoto
 
Hao wahindi ni waganda kwa uraia kama wewe ulivyo raia wa Tanzania, na hata kama sio raia as long as sukari inapatikana na haiagizwi nje kwa pesa za kigeni, kodi inalipwa na kutoa kazi kwa wananchi tatizo liko wapi? au lazima mwekezaji awe mweusi mwenzako ndio maendeleo kwako? maendeleo hayana rangi boss acha mambo ya kishamba na ubaguzi
Kwani Tanzania hatuna wahindi? Wewe ndo mbaguzi na mpuuzi wa kishamba!,
Kwahiyo Museveni ameweza kuwa na sukari nyingi eti kwa sababu wenye viwanda ni wahindi?
Aibu kwako maana mlituaminisha hata ghorofa wanaishi wahindi tu, JPM akayajenga magomeni yeyote akapange!
 
Waulize CCM kwa miaka 6o mbona hakuna sukari wala umeme wa kutosha? ila kukusaidia ujue, kwa Uganda wazalishaji wakubwa wa sukari ni wahindi sio serikali tena wale waliofukuzwa na Idd Amin ambao Museveni aliwarudisha na kuwapa mali zao, CCM wako busy na vibali vya rushwa vya sukari badala ya kuweka sera ya kuleta wawekezaji, jiulize kwa nini matajiri kama Bakhresa hawajengi viwanda vya sukari huku wakijua soko ni kubwa sana, sukari imejaa siasa na rushwa tupu na chanzo ni CCM, umeme ni hivyo hivyo sera mbovu na rushwa ndio vinaua sekta ya umeme, CCM iache watu waweke pesa zao wafanye kazi nakuhakikishia tatizo la sukari na umeme hutasikia tena
Nchi Yetu Mwendo Wake Ni Mdogo Sana Nchi ina vyanzo vingi vya mapato.
 
Tanzania hatushindwi kuzalisha sukari ya kutosha mpaka ziada ya kuuza nje, inawezekana sana tena kirahisi tuu, tatizo ni siasa za vibali vya sukari ambavyo ni kama bakuli la CCM, imagine unaruhusu watu 5 tuu kuagiza sukari nchi nzima na hao wote ni connected na wanasiasa, hao ndio wana control sera zote za sukari ili kulinda ulaji wao na wana nguvu kweli kweli na hakuna wa kuwagusa, hao ndio wanaamua kuanzia kodi mpaka kuua viwanda vyote vya sukari, hao mawaziri na wanasiasa ni midomo tuu, sugar ni powerful cartel ya wanasiasa wakubwa na wafanyabishara na ukicheza unaweza kupotezwa haraka sana watu wengi hawajui
Noma Sana
 
Back
Top Bottom