Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Museveni aliwezaje kuwa na umeme wa uhakika na sukariya ziada wakati yeye hana kasumba ya kusafisafiri nje?
Tatizo la viongozi wetu kulalamika badala ya kutoa majibu
 
Kuna siasa Tanzania bila chama?

Nyie ndo wanafiki wenyewe

Ata inamanikusweke
Mimi binafsi sio mshabiki wa chama chochote Cha siasa nampigia kura mtu anayenivutia kwa sera yake au record ya utendaji wake lakini sio kwasababu ya chama fulani
 
Maelezo ya kuogopa kusema wewe ni CCM

Mfano mpinzani utamuonaje utendaji wake?

Too pathetic akili chache
 
Uwe unasoma vizuri comment kuliko kuweka ushabiki mbele hapo nimetoa option mbili nimesema kuvutiwa na sera yake au record ya utendaji kwasababu ya ushabiki wako wakisiasa unaona ni moja tu
 
Hapo kwenye issue ya kuletewa umeme nimebaki hoi
No idea mna issue gani na kununua umeme kutoka Uganda huku mkijua hatuna umeme wa kutosha, is a temporally fix mpaka tutakapo weza kuwa na wa kwetu, hakuna kulala gizani maisha lazima yaendelee, watu wanataka umeme hawajali umetoka wapi, huo uzalendo wa kuibiana na IPTL ya wahindi bora hata Uganda kama issue ni uzalendo
 
Wewe yako itakuwa inanukia?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumbe huna akili?

Hivi karibuni utaliwa na funza na minyoo pia
Nitakufa na nitaliwa na funza lakini siwezi kuwa nimeacha mtu ananilalamikia kuwa nilimuua au niliiba fedha zake.

Hatuwezi kuacha kusema uozo wa Magufuli eti kwa vile na sisi tutakufa. Lengo letu ni kwamba viongozi wetu waliopo na wajao wasijerudia kufanya UNYAMA kama ule
 
Haya ni makubaliano yanayostahili kupongezwa. Rais wetu hapa umepata bingo. Asiyekukubali katika hili ni wazi atakuwa kihiyo katika masuala ya ushirikiano wa kikanda na kimataifa. Na kubwa zaidi haelewi historia ya ushirikiano wetu na Uganda isipokuwa wakati wa utawala wa nduli Amin.

Makubaliano haya yatasaidia vile vile kufungua/kurahisisha biashara na Sudan Kusini (tunapata njia nyingine zaidi ya Kenya) na Kaskazini mwa DRC (hatutajifunga wakati wote na njia za Burundi na Rwanda). Kwa makubaliano haya nakubali mama unafungua nchi pamoja na dhana hii kuwa na tafsiri nyingi.
Mkuu sukuma gang wanachohangaika kwa sasa ni kujaribu kulinda legacy isifunikwe , unfortunately hakuna kitu watafaulu kufanya..

Matokeo ya ziara ya Uganda 👇

Screenshot_20220512-122247.png
 
Museveni aliwezaje kuwa na umeme wa uhakika na sukariya ziada wakati yeye hana kasumba ya kusafisafiri nje?
Tatizo la viongozi wetu kulalamika badala ya kutoa majibu
Unamuuliza nani sasa? Si ungethibisha kwa data huo ujinga wako kwamba hakusafiri na akapata..

Unaweza weka ziara za Museven Nje ya Nchi Kwa miaka yake yote toka Kawa Rais Ili tulinganishe?

Kwa taarifa yako Rais atasafiri Sana tuu na huna cha kubadili,ulimbukeni wako peleka Chato..

Ngoja nikukere zaidi 👇

Screenshot_20220512-102306.png

Screenshot_20220512-102438.png
 
Unamuuliza nani sasa? Si ungethibisha kwa data huo ujinga wako kwamba hakusafiri na akapata..

Unaweza weka ziara za Museven Nje ya Nchi Kwa miaka yake yote toka Kawa Rais Ili tulinganishe?

Kwa taarifa yako Rais atasafiri Sana tuu na huna cha kubadili,ulimbukeni wako peleka Chato..

Ngoja nikukere zaidi 👇

View attachment 2221506

W
Duh! Mbona umekuwa mkali hivyo? Safari sikisitishwa utaadhirika nini? Sorry aisee! Ila hujanijibu swali langu! Ni vipi Meseveni kaweza kuwa na umeme wa ziada akauza nje, ana sukari ya ziada ya kuuza nje sisi hatuna?!, Bwawa la Mwalimu Nyerere vipi?
 
Mimi sio mjinga kama wewe,safari zikisitishwa hakuna pesa tutapata,tutaishia kukamuana ndani na Kukopa afu tutakamuliwa tena..

Pili zikisitishwa hakuna wawekezaji wataoleta mtaji na teknolojia wala ajira Nchini,so ni hasara 👇

Screenshot_20220512-130134.png
 
Mimi sio mjinga kama wewe,safari zikisitishwa hakuna pesa tutapata,tutaishia kukamuana ndani na Kukopa afu tutakamuliwa tena..

Pili zikisitishwa hakuna wawekezaji wataoleta mtaji na teknolojia wala ajira Nchini,so ni hasara 👇

M
Acha propaganda za kwenye makaratasi, kwani matapeli waliojifanya wawekezaji wanakuja na makaratasi tu , mitaji wanapata hapahapa kwa kushirikiana na watu wetu! Au hulijui hilo?
Nimekuuliza vipi Museveni kaweza kuwa na umeme wa ziada akauza nje, ana sukari anauza nje, sisi tunaosafiri nje sana hatuna?
 
Ku urgue ni mjinga huwa ni mzigo Sana...

Tupe wewe ukweli wa uhalisia usio na makaratasi .

Toka umekua na akili zako za kisoda hizo umewahi Sikia Museve alikuwa kama Jiwe eti hasafiri?

Hili ndio jibu la swali lako hilo la kitoto.
 
Tukana mpaka mwisho rafiki! Lakini sioni jibu langu hapo! Museveni kaweza kuwa na umeme wa kuuza nje na sukari pia, vipi Bwawa la Mwalimu Nyerere? Vipi viwanda vyetu sukari?
 
Uganda exports power to Kenya, Tanzania, Rwanda and DR Congo.

-lugar-de-interes-owen-falls-dam-_7856_7856.jpg

Owen falls Jinja Uganda Mto Nile huo.
 
Back
Top Bottom