Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,455
- 1,621
Wewe huna akili na sio mtanzania,Kwanza tafuta kazi ufanye bibie, Samia Ni Rais Bora Sana uwezi kumfananisha na yule shetani muuajiTokea Mama Samia Suluhu awe Raisi wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania sikutaka kutoa Maoni yangu juu yake kwasababu nilitaka nijiridhishe kwanza kwa kumpa muda mrefu ili nione ideas zake pamoja uwezo alionayo wa kuongoza nchi kwa kupima kupitia utendaji wake...
Sio dhambi vitu kama hivyo tunazo nchini hakuna haja ya kuingia makubaliano na Uganda ni suala la kutengeneza sera nzuri na rafiki kwa wawekezaji wa Tanzania tuna kiwanda Cha kagera, mtibwa sugar bakressa pia ana kiwanda Cha sugar kipo bagamoyo n.k ARv tulikuwa tunatengeneza hapa nchini na zipo nchini kwanini uwende nje ya nchi? Sasa kama tuna import vitu vya namna hii basi ndio maana Viwanda vyetu vya ndani vinakufa alafu tunatafuta mchawini dhambi kununua sukari uganda?
ni dhambi kununua ARV uganda?
"Pira look there"..let's gohivi rais samia suluhu hasan ana mume ? kama yupo atakua muislam ? kwa ile royo tua akiingalia jinsi peter anafanya dah aiseee , yani kama samia asingekua rais , uyu mume wake angempa talaka fasta
tunawapa nini kubadilishana na condom na ARV's?Umeangalia upande wa pili sisi tutawapa nini au umekurupuka kwenye ujinga huu wa Zwazwa mwenzako
Sio dhambi vitu kama hivyo tunazo nchini hakuna haja ya kuingia makubaliano na Uganda ni suala la kutengeneza sera nzuri na rafiki kwa wawekezaji wa Tanzania tuna kiwanda Cha kagera, mtibwa sugar bakressa pia ana kiwanda Cha sugar kipo bagamoyo n.k ARv tulikuwa tunatengeneza hapa nchini na zipo nchini kwanini uwende nje ya nchi? Sasa kama tuna import vitu vya namna hii basi ndio maana Viwanda vyetu vya ndani vinakufa alafu tunatafuta mchawi
Wanyonge wapi hao au wewe na familia yakoTunamshukuru mungu wa mbinguni kwa kutuletea mama.Mpenda haki, mzalendo, mcha mungu na mwadilifu.Huyu angalau ni mtetezi wa kweli wa wanyonge
Mbna nasikia nao Uganda wanaaagiza braziliSukari tunayodhalisha haikidhi mahitaji maana kiwanda kama ILOVO kiasi kikubwa cha sukari yake ni export na hata hivyo viwanda vingine huwa kiasi cha sukari ni export....(tunahitaji pia fedha za kigeni)...
Bagamoyo Sugar aka Bakhressa bado hakijaanza uzalishaji in full swing na kile kingine cha Morogoro bado kiko kwenye early stages....
Kuliko kusubiri na raia wanamaumivu ya bei ya sukari kwanini tusiimport from Uganda baada ya kuitoa Brazil?..
Brother hata china kuna vitu anaimport, hata USA kuna vitu anaimport...HUWEZI KUJITOSHELEZA KILA KITU..
Uyo ni rais wa katiba nchi hajafanya uchaguzi hadi 2025 apo ndo mtakuwa na uhalali wa kusema hizo shit zenu humuNaona Mataga mmetumwa kuja kumchafua Bi Mkubwa kwa bidii kweli kweli[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]acheni upumbavu huyu ndiye Rais wetu kwa sasa tunajua tulipokuwa kabla yake na tulipo sasa baada yake pia tunaamini Kule atakapo tupeleka,huo upumbavu wenu pelekeni kitovuni
Mtabadilisha majina hadi mkome sisi tunawachora tu tunasubiri siku ifikeWazalendo uchwara roho zinawauma. Mtakoma chato gang
Chato Ni Tanzania still sio ulaya umesaau ?Nchi aligawa yule DIKTETA wa Chato ambaye alisema hapeleki maendeleo kwenye majimbo yanayoshikiliwa na upinzani. Na akatumia fedha zetu kujenga miundombinu mikubwa kijijini kwake Chato.
Hizo pumba kawape nguruwe ndiyo wanastahili au wape wanao kama unao, siyo kuleta hapa JF kwenye watu wana akili ya kuchambua mambo.Tanzania tuna viongozi wa hajabu sana kwani hakuna kiongozi anayekuja akawa na dira nzuri ya kuingoza hii nchi. Magufuli tu ndiye ali-dare kuchukua maamuzi mazito ya kulipeleka hili taifa mbali na kutaka kutuondoa kwenye ujinga, mwishowe tumeona walichomfanya.
Unawaza vyama tu,unadhani kila mtu ni mfuasi wa chama!?Wapo na mama UVCCM Vijana wengi mbona
Kivipi toa fact acha kubwatuka hivi unajua kilo ya Mchele Ni 2500 ?Hizo pumba kawape nguruwe ndiyo wanastahili au wape wanao kama unao, siyo kuleta hapa JF kwenye watu wana akili ya kuchambua mambo.
Magufuli alikuwa anatupeleka shimoni na nyinyi wajinga msio na elimu mlikuwa mnamshangilia ujinga na uwongo wake. Bila Mungu kuingilia kati hii Tanzania ilikuwa inakwenda ku collapse economically kama Zimbabwe. Rot in Hell Magufuli
Kwa hiyo kwa akili zako za kijiko unaona ni bora kutumia Tsh 700 Million kujenga 3km runway airport Chato ambako ni ndege moja tu inatuwa mara 2 kwa wiki kuteremsha abiria 20?Chato Ni Tanzania still sio ulaya umesaau ?
Alikufanya vibaya sana huko nyuma huna hamu nae eeNchi aligawa yule DIKTETA wa Chato ambaye alisema hapeleki maendeleo kwenye majimbo yanayoshikiliwa na upinzani. Na akatumia fedha zetu kujenga miundombinu mikubwa kijijini kwake Chato.
Tumepgwa hamna kitu apo
Kwan unamdagani hujafika mwanza ? Marekebisho ya uwanja wa ndege ya mwanza hukuyaona ? Na upanuaji wa barabara ya kutoka airport hukuyaona ? Hivi hujui airport ata nchi za magharibi zipo adi vuchakani ? Airport ata mashambani zipo .. mentality yake ilikua kuona Kila mkoa unajibeba wenyewe ..Yan unapata Kila kitu .. airport ya chato hushusha watalii wanaonda kutalii hifadhi ya rubondo kuliko zamani walivyokua wanashukia mwanza na kuchukua magari kwenda kwenye hifadhi .. so Bado hujapata picha adi apo ?Kwa hiyo kwa akili zako za kijiko unaona ni bora kutumia Tsh 700 Million kujenga 3km runway airport Chato ambako ni ndege moja tu inatuwa mara 2 kwa wiki kuteremsha abiria 20?
Wakati angeingiza hizo hela Mwanza Airport na kuifanya kuwa regional hub ili kuongeza mashirika ya Uganda na Kenya, Rwanda yaweze kutua