Fanya Kazi hakuna hela ya bure Mkuu na kudanga sio Kazi now days.Heee bibi mfumuko wa bei umekushindwa kuzibiti, utaweza mambo mazito?Nahisi hata maamuzi hufanyi wewe, kiujumla uwezo wa kuongoza huna.Huo ndo ukweli ukubali ukatae, wanaokusifia wakusifiye mimi ni mwanamke mwenzio nakwambia tu bibi we uwezo huo huna!Karama ya kuongoza huna
Umeshindwa mfumuko utaweza jepi jengine, heeee,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ungejiuzulu ulee wajukuu tu kuongoza nchi huwezi
Muache rais wetu.Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Kura yako moja mpigie ngidi koyaNdio tunachotaka atekeleze miradi tutampa kura tofauti na hapo tutamfurusha yeye na CCM yake.
Very very valid.hoja ya gwajima ya ukosefu wa maono is very valid
Ww jamaa am sure una matatizo ya akili (mental illness) kuanzia kutunga ile stori yako ya lindi na mfululizo wa thread zako bila shaka kuna kitu hakipo sawa. Unahitaji msaada wa haraka kapate matibabu mkuu bado hauja chelewa.Najua watakuja ila huo ndoukweli. Huyu mama hakuna hata mmoja anaempenda yupo sawa na ndugai tu, nimefanya assessment kubwa sana juu ya ubora na umaridadi wa huyu mama asienyonyesha kwa sasa nimegundua wanaomchukia kupindukia ni wanawake...