Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Ujinga wako unapoishia wa raisi ndio unapoanzia

Kwenye familia yako utaacha legacy ipi ukifa
[emoji41]
Akili mtu wangu [emoji848]
 
Huyo ndiye Rais wa nchi hiyo cheap popularity inaingiaje?

Mkitaka msitake yeye ndiyo kiongozi mkuu wa nchi na ndiye aliyeachiwa hatamu ya uongozi, mbona aliyepita kuna miradi aliiwacha hivyo hivyo?

Tuwe na subira, kwani yeye hajatoka upinzani ni kiongozi wa CCM ileile na ilani ileile kinachotofautiana ni utendaji tu. Ukizingua unazinguliwa.
unajua maana ya hatamu?

" hatamu" ni neno la kiswahili kamusi inatafsiri kuwa "hatamu" ni ile kamba ya kuongozea farasi!! yaani Bimkubwa kaachiwa kamba kuongoza "farasi?".

Hatamu ni neno la Nyerere nae alitukana wabongo wote kiakili na hawakushtuka mpaka anakufa!! in short Nyerere aliona raia wote kama "farasi" wakati ule yeye peke yake ndo msomi wa Masters kutoka Edinburgh akasema "Chama kushika hatamu" akikumbuka askari wapanda farasi wanaozunguka mjini kulinda usalama kule ulaya.
(diaspora wanaelewa zaidi).

"Chama kushika hatamu " Nyerere alimaanisha yaani yeye ndo chama yuko juu ameshika hatamu anaongoza farasi aliempanda (raia)!! wachache wataelewa!!

Watanzania tuache kutumia neno "hatamu" mwenyewe yuko mavumbini.

Jamani tukubaliane kwa Afrika kuongozwa na mwanamke noma sana!! tuvumilie tu wamalize 2030 sasa tutafanyaje? In short Bimkubwa hawezi kufanana na Mwendazake aka Bulldozer. Bimkubwa atakachoweza kufanya tumsifie tu hicho hicho maana hatuna jinsi nchi inauzwa kwa waarabu mchana kweupe!

Sultan wa Oman amwemwita Mama anataka kuhamishia makao makuu Zanzibar kama alivyofanya babu yake Seyyid Said in 1840! natania!

Ndo maana huwa hatupendi kuongozwa na wazenji waarabu watajazana Ngorongoro kuiba wanyamapori bila mgambo (Maasai) kuwepo!
 
mama anapenda sana kujikosha! l
Lakini pin ipo palepale, ilani imesheheni ahadi ambazo ngosha angekuwepo zote zingetekelezwa na zingine kuongezwa!
Sie tunancheki tu!
 
Ni mjinga tu atamsapoti
Si bora mjinga ampinge kuliko kuwa na lundo la kenge kwenye msafara wa mamba kama wewe?

Mama anatupeleka kwenye Nchi ya ahadi,naanza na sekta ya Afya kwa Leo👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220611-072702.png
    Screenshot_20220611-072702.png
    95 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220607-223251.png
    Screenshot_20220607-223251.png
    165.4 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220604-095303.png
    Screenshot_20220604-095303.png
    94 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220604-095341.png
    Screenshot_20220604-095341.png
    113.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220605-133355.png
    Screenshot_20220605-133355.png
    209.6 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220607-110032.png
    Screenshot_20220607-110032.png
    270.8 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220607-223143.png
    Screenshot_20220607-223143.png
    257.3 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220607-223233.png
    Screenshot_20220607-223233.png
    201.3 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220608-154316.png
    Screenshot_20220608-154316.png
    285.1 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220609-222036.png
    Screenshot_20220609-222036.png
    273.7 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220611-072258.png
    Screenshot_20220611-072258.png
    173.1 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220611-072524.png
    Screenshot_20220611-072524.png
    130.8 KB · Views: 6
Mimi ni Mtalii yeye anipeleke tu mimi madi nimuone Simba na Chui.
 
Mpaka 2025 inagota na huyu kiongozi anaondolewa madarakani basi taifa ketu litakuwa limepata hasara kubwa.

Maana yupo na syndicate ya wanaCCM ambao sasa hivi kuna minog'ono kuwa wao wameamua kupiga mali ya umma kulamba asali kwa mikono miwili.

Sasa hivi anatumia zaidi ya bil 2 kwa safari za kwenda nje ya nchi kila baada ya wiki mbili. Je hizi pesa zisingeweza kuleta maendeleo ya taifa letu? Wananchi wanakosa hadi chakul
Kwamujibu wa Muuza Kangara,ila ujue TU ni Bora ya Sasa kuliko shetani wa Jana,njia iliyonyoofu angalao bado inaonekana 🏋️
 
Rais mkandamizaji hawezi kuwa ba baraka hata kidogo. Sasa mwaka mmoja tu ameshajidhihirisha kuwa yupo upande wa wapigaji na mafisadi.

Tozo za miamala ya simu ni uonevu mkubwa kwa raia masikini.

Mbaya zaidi rais Samia anatumia hizo tozo kufanya anasa zake. Sasa yupo Oman, juzi alikuwa Usa kesho hatujui.

Kuupiga mwingi kumebuma.
Royal tour ndio imebuma kabisa.

2025 hatoboi.
Mkuu, iombee nchi yako na Rais wako kwa Mola wako, kwa kuwa 2030 bado ipo mbali sana.
 
Rais mkandamizaji hawezi kuwa ba baraka hata kidogo. Sasa mwaka mmoja tu ameshajidhihirisha kuwa yupo upande wa wapigaji na mafisadi.

Tozo za miamala ya simu ni uonevu mkubwa kwa raia masikini.

Mbaya zaidi rais Samia anatumia hizo tozo kufanya anasa zake. Sasa yupo Oman, juzi alikuwa Usa kesho hatujui.

Kuupiga mwingi kumebuma.
Royal tour ndio imebuma kabisa.

2025 hatoboi.
Unahangaika bure,Rais ni Samia hadi 2030 akiwa mzima 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220606-144219.png
    Screenshot_20220606-144219.png
    121.4 KB · Views: 7
Back
Top Bottom