Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Rais mkandamizaji hawezi kuwa ba baraka hata kidogo. Sasa mwaka mmoja tu ameshajidhihirisha kuwa yupo upande wa wapigaji na mafisadi.

Tozo za miamala ya simu ni uonevu mkubwa kwa raia masikini.

Mbaya zaidi rais Samia anatumia hizo tozo kufanya anasa zake. Sasa yupo Oman, juzi alikuwa Usa kesho hatujui.

Kuupiga mwingi kumebuma.
Royal tour ndio imebuma kabisa.

2025 hatoboi.
Kikwete mlisema mkatili anatoa watu kucha,Magufi dikteta na huyu naye kashakuwa muonevu,sasa naanza kuamini maneno ya hayati Mwl.J.k.Nyerere kuwa ikulu ni pagumu...
 
Uchaguzi wa 2025 hashindi hata akiiba kura. Watu watadhibiti wakurugenzi na tume.
Kuna wimbo moja maarufu ambao unaimbwa wakati wa mchakamchaka una maneno yafuatayo;

"Kibwagizo: Jua lile literemke mama"
Kiitikio: Jua lile literemke mama"

Mkuu, kamwe jua haliwezi kuteremeka.
 
Rais mkandamizaji hawezi kuwa ba baraka hata kidogo. Sasa mwaka mmoja tu ameshajidhihirisha kuwa yupo upande wa wapigaji na mafisadi.

Tozo za miamala ya simu ni uonevu mkubwa kwa raia masikini.

Mbaya zaidi rais Samia anatumia hizo tozo kufanya anasa zake. Sasa yupo Oman, juzi alikuwa Usa kesho hatujui.

Kuupiga mwingi kumebuma.
Royal tour ndio imebuma kabisa.

2025 hatoboi.
Timu Mwendazake mmeshikwa pabaya na mama!
 
Fedha za umma zinachotwa na majizi bila huruma ARUSHA ni mfano mzuri mbunge wa Arusha mjini MRISHO GAMBO alijitoa mhanga na kuwataja hadharani baadhi ya viongozi wa CCM na mkurugenzi wa jiji la Arusha kuwa wamechota fedha za miradi mkoani hapo na kujiwekea katika account zao hakuishia hapo alusema kuwa wengine aliamua kutowataja kwa sababu ya kutodhalilisha serikali.

Ndugu wana jamvi hilo lilitokea Arusha mbunge aliyeapa kuwa yupo tayari kuwataja na atapambana nao je kwa wabunge ambao ni waoga je fedha huko kwenye halimashauri siwanajichotea bila huruma! Niwaambie ukweli ipo halmashauri ilipewa fedha kiasi cha tsh bilion tatu ijenga shule mkoa flani hadi sasa mradi huo haujakamilika na pesa zilishatolewa.

Nimefatilia kwa ukaribu juzi walivyosikia rais anafanya ziara mkoan kagera waliwaita mafundi haraka sana walijua anaweza kupita katika mkoa huo na kuwaletea matatizo! Je hii ni sawa katika utendaji?

Rais wangu mama SAMIA SULUHU HASSAN anza kufanya ziara kila mkoa ulipopeleka fedha kwenye miradi mbalimbali ujionee madudu vijana wako wanakula hadi wamekata kamba wanajuwa hufatilii wanaona wewe niwakukuandalia safari za kila mara huku wanapiga fedha za umma, jaribu kukaa hata mwezi na kufanya ziara utanishukuru ninayokwambia! Vijana wako wanakula hadi wamepitiliza miradi haiendi.
 
Ana kwama wapi sema siyo uje na kauli mama anakwama kisa tu mzee wako amestaafu anasubilia kinua mgongo mda bado kupewa na wewe una hesabu nazo unaona mama anakuchelewesha as if mama ndio yupo uko hazina
 
Tunaishi kwenye nchi yenye kanchi kadogo ndani yake!
 
Hata asinge safiri ukosefu wa Dawa na Maji ungekuepo tu.
Safari haikusababishi ukose Dawa na Maji Mkuu,hayo matatizo yapo toka awamu zilizo pita.
Hayati Magufuli aliwafunga midomo kukataa ujinga kama huu.

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
Ujinga wa wafuasi wa jiwe unaendana na roho ya kwanini. Wanafurahia watu kuishi maisha magumu! Akitumbua,akisema siongezi mishahara,hakuna posho nk hapo roho zenu zitakuwa kwatuu!

Ada ya kidato Cha sita imefutwa....hio ndilo la msingi sasa hivi.
 
Wengi ni kama huyu muuza kangala, hoja zao ni malalamiko tu. Watu wanaoamka asubuhi na machungu na kwenda kulala jioni wakiwa na machungu mengi tu.
 
Tangu ameingia madarakani nimeona ziara nyingi anazifanyia nje ya nchi na katika ziara hizo tulichokipata ni mikopo mbalimbali kwa ajiri ya miradi mbalimbali ! Kuhusu kukaa nchini na kufanya ziara katika mikoa mbalimbali kujuwa kero za wananchi hili naona hili halifanyi kabisa kwa asilimia kubwa, hata akikaa nchini mara nyingi ana kaa ikulu na kusubilia taarifa za viongizi wake wa chini na akikaa zaidi ya miezi miwili basi ujue kuna mtu atapata teuzi hayo ndiyo nayoyaona anayoyafanya.

ziara kubwa nchini ya kwanza kumbukumbu ya mwalimu nyerere iliyofanyika mkoa wa mara na akaambiwa kero za mkoa huo

Ziara ya pili mkoa wa mwanza sikukuu ya wafanyakazi

Ziara ya tatu mkoani pwani

Ziara ya nne daresalaam kukagua soko la kariakoo

Ziara ya tano mkoa wa tabora kuzindua barabara.

Ziara ya sita mkoa wa kagera wilaya ya chato kuzindua shule mgeni alikuwa MSEVENI.
 
Attachments

  • IMG_4664.MP4
    3.7 MB
Kwaio unataka kusema ubao unasona 18-6?basi hatari sana hii
 
Attachments

  • E2711F96-88D3-43EB-83C2-829B957DD7BF.jpeg
    E2711F96-88D3-43EB-83C2-829B957DD7BF.jpeg
    72 KB · Views: 10
Najua watakuja ila huo ndoukweli. Huyu mama hakuna hata mmoja anaempenda yupo sawa na Ndugai tu, nimefanya assessment kubwa sana juu ya ubora na umaridadi wa huyu Mama asienyonyesha kwa sasa nimegundua wanaomchukia kupindukia ni wanawake, wa zanzibar na wanaccm.

Wewe mwanamke wewe kama una mawazo yakutaka kugombea urais basi unajichosha tu bora ukalee Familia yako ukae na mme wako upike chukuchuku na pweza mle mlale lakini wazo la kuwa Rais baada ya 2025 lifute kwenye kichwa chako hicho.

Ndio maana Uhuru media walikuweka wazi wewe ukakurupuka kuwapiga ban ila huo ndo ukweli. Sasa kama huamini subiri uchaguzi ukifika hususan ndani ya Chama chenu utaona fukutu Zito zaidi ya Enzi za lowassa, patakuwa na songombingo patashika nguo kuchanika na hutaamini.

Ndio maana wafanyabiashara wanakudharau tu, kila siku wanapandisha bei ya bidhaa zao. Sabuni ya empirial ya buku zamani saizi inauzwa 2000, sabuni ya jamaa zamani kipande ilikuwa 500 saizi 700, dawa ya whitedent ya buku saizi ni buku jero, Mafuta na Mchele ndousiseme. Yani wanakudharau kuliko mjumbe wa nyumba kumi huku wakijua huna cha kufanya maana hata wewe unapiga madili kibao ya mikopo na tozo za masikini.

NAKUPA USHAURI: Acha kushupaza shingo na hayo madaraka, huko kupuuza kwenu kwa kuwa unamiliki jeshi, mahakama na bunge ndokunafanya Mwenyezi mungu apate hasira na gadhabu maana anaona unajipa ukuu wake anaamua kufanya maajabu kama yamwendazake.

Sasa thamini kilio cha wananchi, wananchi wanataka unafuu wa maisha. Wewe kwa siku unatumia zaidi million 200 kwa kodi zetu ukidhani umeula ila kumbe unajitafuna mwenyewe maana ziku zinakuja ndugu na watoto watatamani unywe hata kijiko kimoja cha uji ili wapate tumaini but it will be toooo late.

Nimeandika haya nikiwa na hasira nahuu utawala wa kiimla unatumia nguvu nyingi kushawishi wapinzani kwa pesa nyingi sana nawao wanaingia kwenye mtego, Sasa hivi jemedari wetu Jabari la siasa Lissu Antipas Tundu tayari wamempiga gundi mdomoni hawezi kuongea tena baada ya kujaziwa kama zote kwenye credit card [emoji388], Mbowe nae hatusikii Katiba mpya kaishia kuwaachia uvivu John pambalu na mwaipaya masikini ya mungu wale watoto hawajui tu wanatwanga maji kwenye kitu.

Duh mipasho hatari
Mama yupo kikaangoni
 
Back
Top Bottom