Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Ww jamaa am sure una matatizo ya akili (mental illness) kuanzia kutunga ile stori yako ya lindi na mfululizo wa thread zako bila shaka kuna kitu hakipo sawa. Unahitaji msaada wa haraka kapate matibabu mkuu bado hauja chelewa.
Wewe ndo mpuuzi hujielewi, upoupo tu.
 
Mm n familia yangu na ukoo wangu tunamkubali ile sana. Piga kazi mama tumecheleweshwa mnooo kama taifa. Zaidi ya miaka 6.kanya twende
 
Utawala huu unauita wa ki imla alafu ule uliopita?

We unaongoza kukosa akili.
 
Tafuta daktari wa akiii upesi sana kabla hujaharibikiwa zaidi, Unakoelekea ni kuokota makopo.
 
Kwa namna kila kitu kinapanda bei bila mwelekeo wowote huyu mama atoke hata leo tu?
 
Hapo mwisho naona umeandika NAKUPA USHAURI kama vile anakusikia humu hahaha….
 
Bwana mdogo subiri tunafungua nchi kwanza. Tuendelee kuangalia jinsi mama anavyo upiga mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…