Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Ujinga wako unapoishia wa raisi ndio unapoanzia

Kwenye familia yako utaacha legacy ipi ukifa
[emoji41]
Akili mtu wangu [emoji848]
 
unajua maana ya hatamu?

" hatamu" ni neno la kiswahili kamusi inatafsiri kuwa "hatamu" ni ile kamba ya kuongozea farasi!! yaani Bimkubwa kaachiwa kamba kuongoza "farasi?".

Hatamu ni neno la Nyerere nae alitukana wabongo wote kiakili na hawakushtuka mpaka anakufa!! in short Nyerere aliona raia wote kama "farasi" wakati ule yeye peke yake ndo msomi wa Masters kutoka Edinburgh akasema "Chama kushika hatamu" akikumbuka askari wapanda farasi wanaozunguka mjini kulinda usalama kule ulaya.
(diaspora wanaelewa zaidi).

"Chama kushika hatamu " Nyerere alimaanisha yaani yeye ndo chama yuko juu ameshika hatamu anaongoza farasi aliempanda (raia)!! wachache wataelewa!!

Watanzania tuache kutumia neno "hatamu" mwenyewe yuko mavumbini.

Jamani tukubaliane kwa Afrika kuongozwa na mwanamke noma sana!! tuvumilie tu wamalize 2030 sasa tutafanyaje? In short Bimkubwa hawezi kufanana na Mwendazake aka Bulldozer. Bimkubwa atakachoweza kufanya tumsifie tu hicho hicho maana hatuna jinsi nchi inauzwa kwa waarabu mchana kweupe!

Sultan wa Oman amwemwita Mama anataka kuhamishia makao makuu Zanzibar kama alivyofanya babu yake Seyyid Said in 1840! natania!

Ndo maana huwa hatupendi kuongozwa na wazenji waarabu watajazana Ngorongoro kuiba wanyamapori bila mgambo (Maasai) kuwepo!
 
mama anapenda sana kujikosha! l
Lakini pin ipo palepale, ilani imesheheni ahadi ambazo ngosha angekuwepo zote zingetekelezwa na zingine kuongezwa!
Sie tunancheki tu!
 
Ni mjinga tu atamsapoti
Si bora mjinga ampinge kuliko kuwa na lundo la kenge kwenye msafara wa mamba kama wewe?

Mama anatupeleka kwenye Nchi ya ahadi,naanza na sekta ya Afya kwa Leo👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220611-072702.png
    95 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220607-223251.png
    165.4 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220604-095303.png
    94 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220604-095341.png
    113.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220605-133355.png
    209.6 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220607-110032.png
    270.8 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220607-223143.png
    257.3 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220607-223233.png
    201.3 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220608-154316.png
    285.1 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220609-222036.png
    273.7 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220611-072258.png
    173.1 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220611-072524.png
    130.8 KB · Views: 6
Mimi ni Mtalii yeye anipeleke tu mimi madi nimuone Simba na Chui.
 
Kwamujibu wa Muuza Kangara,ila ujue TU ni Bora ya Sasa kuliko shetani wa Jana,njia iliyonyoofu angalao bado inaonekana 🏋️
 
Mkuu, iombee nchi yako na Rais wako kwa Mola wako, kwa kuwa 2030 bado ipo mbali sana.
 
Unahangaika bure,Rais ni Samia hadi 2030 akiwa mzima 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220606-144219.png
    121.4 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…