Kawaulize watumishi kama wanataka warudi Misri au waendelee mbele.
Waulize wafanyabiashara kama wanataka warudi Misri kuporwa pesa au waendelee mbele,
Waulize wakandarasi kama wanataka warudi Misri au waendelee mbele,
Waulize wakulima kama wanataka warudi Misri au waendelee mbele,
Waulize Wastaafu,walioitwa cheti feki na darasa la saba kama wanataka warudi Misri au waendelee mbele.,
Waulize wavuvi kama wanataka warudi Misri kuporwa nyavu au waendelee mbele,
Waulize wanafunzi na wazazi wao kama wanataka kurudi kupata mikopo kwa mafungu,kuanza form one kwa mafungu,kulipa ada ya form six,kukaa chini na kwenye vyumba vichache vya madarasa au wanataka waendelee mbele,
Waulize Wana habari na watu wa haki za Binadamu wakiwemo NGOs kama wanataka warudi Misri au waendelee mbele,
Mwisho waulize Chadomo wanataka warudi Misri kutekwa au waendelee mbele?
Yaani hiyo ni orodha kiuchache tuu..