Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Rais wa soga za kufariji maskini 😆😆
 
Ni uongo, unasema uongo Wewe baiskeli ya miti! Zito amekudanganya Wewe na wenzako kwamba mkazikwe pembeni ya kaburi la mwendazake, hilo haliwezekani! Kufa uzikwe kwenu, na kama unafikiri utamkuta babaako ndo malaika mkuu, kwenye jamuhuri ya jehanamu, kuna sapuraizi inakusubiri huko, sukumagang wewe! Pia, mwanachama wa Umoja ‘wa wajane’ party, wewe!
 
Kwa Hiyo treni ya umeme ilishindwa kufanya yafuatayo,
-kukamilisha mradi hata mmja iliyoanzisha kwa miaka 5,
-Ilikwiba 1.2 Til.,
-Ilifanya Upigaji kweli miradi ya Chato,kigongo-busisi,Bwawa la Nyerere
-Ilishindwa kupandisha mishahara,kulipa wastaafu,kupandisha madaraja na posho za watumishi.
 
imekuuma eeh
 
Heshima kidogo iwepo kwa waliotangulia maana naona umekosa mifano unajitolea tu.

Treni linakimbiaga maspeed ya juu tu bila kujali nn kipo mbele, ikitokea kuna hitilafu ya reli huko mbele linaparamia pukurtukuTUKUUUUPUUUU. LINACHINJA WOTE. Ndivyo JPM alivyokuwa?

Nchi haiongozwi na marehemu, marehemu wamemaliza sehemu yao. Raisi ni SSH, Tumkosoe ili tujenge na sio lazima kuassume kwenye kila jambo marehemu angefanyaje. Kila saa ni marehemu, marehemu, marehemu, marehemuuu kanakwamba yeye ndo wa mwisho kufa.
 
Kawaulize watumishi kama wanataka warudi Misri au waendelee mbele.

Waulize wafanyabiashara kama wanataka warudi Misri kuporwa pesa au waendelee mbele,

Waulize wakandarasi kama wanataka warudi Misri au waendelee mbele,

Waulize wakulima kama wanataka warudi Misri au waendelee mbele,

Waulize Wastaafu,walioitwa cheti feki na darasa la saba kama wanataka warudi Misri au waendelee mbele.,

Waulize wavuvi kama wanataka warudi Misri kuporwa nyavu au waendelee mbele,

Waulize wanafunzi na wazazi wao kama wanataka kurudi kupata mikopo kwa mafungu,kuanza form one kwa mafungu,kulipa ada ya form six,kukaa chini na kwenye vyumba vichache vya madarasa au wanataka waendelee mbele,

Waulize Wana habari na watu wa haki za Binadamu wakiwemo NGOs kama wanataka warudi Misri au waendelee mbele,

Mwisho waulize Chadomo wanataka warudi Misri kutekwa au waendelee mbele?

Yaani hiyo ni orodha kiuchache tuu..
 
Umefumbia macho;
1. Ununuzi wa ndege mpya kwa cash.
2. Ujenzi wa zahanati mpya 1000+, vituo vya afya 465, Hospitali za rufaa 67 na za Kanda 4.
3. Upanuzi wa bandari ya dar, Mtwara na Tanga.
4. Kudhibiti mfumuko wa bei.
5. Stand za kisasa.
6. Nidhamu kazini.
7. Serikali kuhamia Dodoma na ujenzi wa ofisi kibao za serikali Dodoma.
8. Ubungo interchange, Daraja la mfugale, Tanzanite bridge.
9. Kukamilisha Terminal 3
10. Na kuanzisha projects kubwa za maana.

Kubwa zaidi aliwakimesha wezi kama wewe na ukoo wenu.
 
More than 50% ya madhila unayoyaona sasa yalisababishwa na huyo treni ya umeme wako. Kama Samia angekuwa mtu wa kulalamika kama alivyokuwa yeye, angelalamikia mpaka angepata ukichaa. Magufuli didn't care at all about fiscal balance/burden ya nchi na huwezi kuacha kwasababu itakuwa ni uharibifu wa pesa.
 
Wewe January Makamba wewe acha uboya, hakuna mtumishi anaye furahia kuongezwa elfu 20 na kulipishwa
1. Tozo za miamala kwenye huduma za kifedha za simu.
2. Tozo mpya za benki
3. 1000 za luku kila mwezi
4. Mafuta toka 1800 mpaka 3000+
5. Mfumuko wa bei kwenye bidhaa zote muhimu.

Jiandae kisaikolojia
 
Mataahira wenzako watakuelewa.
 
Mtu anaponda Tozo badala ya kuponda kwa kutoa mbadala na mapendekezo yeye anaponda kwa kusema Marehemu angekuwepo yeye ni treni linakimbia. Sasa Serikali ifanyaje? Ikamfufue imuapishe? Ujinga ujinga tu.
 
Tatizo lilianzia kwa huyo unayemuita mtu wa maana
 
"Kama huwezi kulipa tozo, basi hamia Burundi!"
Mwigulu Nchemba ameshaliongelea hili jambo mara kadhaa! Tena kwa jeuri na kwa dharau ya hali ya juu kabisa!


Hivyo unatakiwa kuchagua moja! Lipa tozo, au uhamie Burundi!

Au Nasema Uongo Ndugu Zangu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…