Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Waulize watumishi wanapenda warudi Misri au waendelee mbele..

Hao watumishi sio tuu wameongezewa 20,000 bali wameongezewa posho,wamepandishwa madaraja,wamelipiwa madai,wamefutiwa penati ya loan board na riba ya bodi ya mikopo..
 
Huyu mama sikutegemea angefail kiasi hiki japo Nilijua lazima Nchi imshindeee
 
Kwa hiyo miaka 5 ndio hayo tuu mlifanya?

Mimi nikiorodhesha hapa yaliyofanyika kwa mwaka mmja na siku nyajaza seva..

Nataka nikuonueshe ulivyo muongo hapo kwenye namba 2 ikiwakilisha uongo mwingine..

Soma hapa idadi ya vituo vya afya mlivyojenga na kukarabati πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220402-214712.png
    181.7 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220402-215025.png
    51.5 KB · Views: 4
Wewe ni mpumbavu.
 
Mfuate huyo Magufuli ukakae naye uendelee na kuunyonya umuhimu wake. Muache mama aongoze nchi bila majungu na mauaji ya watu haswa upinzani. Mungu hachelewi kulipizia wasio na nguvu.
 
Mi hata sijui wala sijali Rais nani kwasasa washanivuruga na matozo yao makubwa kila mahali hadi benki wameingilia withdrawal maskini wa roho wamepewa mamlaka makubwa serikalini akili yao kukamua raia tu hawa siku zao zaja nao huanza na stroke inawapiga halafu ndo wanakufa Kibudu
 
Reactions: nao
Mfumuko wa bei uko duniani kote. Labda use me Mama Samia ndiye kiongozi wa dunia na anasababisha mfumko Afrika nzima. Kenya, Marekani, Afrika Kusini, Zambia, Ethiopia, Uingereza na kila mahali bei zimeharibika...mafuta Tz yako being chini zaidi ya nchi nyingi. Tumia weledi kidogo.
 
Swali ni ;
1. Aje dictator mwingine?

2. Tupambanie KATIBA mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote?
 
Wewe ni mpumbavu.
Nimekuumbua 😁😁😁😁..

Eti Upanuzi wa bandari,kwani kuna mwaka Upanuzi wa bandari ulikwisha?

Bandari zitapanuliwa kila mwaka kadiri ya demand hata sasa Upanuzi wa Tanga port,Dar na bandari za kwenye maziwa unaendelea..

Soma hiyoo πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220816-201853.png
    126.8 KB · Views: 5
Tatizo umekaa huko kijijini kwenu hutembei.
 
Ukitaka kujua tofauti ya maisha halisi panda treni halafu utembee mwanzo mpaka mwisho wa mabehewa utaona...kuna wengine wanaona maisha yako poa.
 
Mtu anaponda Tozo badala ya kuponda kwa kutoa mbadala na mapendekezo yeye anaponda kwa kusema Marehemu angekuwepo yeye ni treni linakimbia. Sasa Serikali ifanyaje? Ikamfufue imuapishe? Ujinga ujinga tu.
Siyo kazi yake Kutoa mbadala. Kuna watu wengi wameajiriwa serikalini kwa ajili ya hiyo kazi ikiwemo huyo Mama yenu na kazi imewashinda. Vilaza wakubwa
 
Mnakosea sana kulinganisha Marais. Mwalimu Nyerere alikaa Ikulu miaka 23, alijenga taifa, alileta Uhuru lakini, alipong'atuka alisema; ktk miaka yake yapo mazuri na mapungufu. Tunachukua mazuri.

Hivyo, unapomjadili Rais Samia, mpe heshima yake na ukumbuke anajenga ramani ya uongozi wake. Tuheshimu na kumpa muda.

Si sahihi kumlinganisha na mtangulizi wake Dk. Magufuli, kila mtu ana maono yake. Dk. Magufuli alifanya yake mema na kuondoka na ana udhaifu wake kibinadamu na tuchukue mema yake tuache udhaifu.# Tuheshimu Marais wetu wote. Tutoe ushauri tusibeze.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Waulize watumishi wanapenda warudi Misri au waendelee mbele..

Hao watumishi sio tuu wameongezewa 20,000 bali wameongezewa posho,wamepandishwa madaraja,wamelipiwa madai,wamefutiwa penati ya loan board na riba ya bodi ya mikopo..
Kwani Watumishi wote walikuwa wanadaiwa na bodi ya mikopo kusema wamefutiwa penat ya bodi? tunataka Rais ashugulikie mfumuko wa bei ambao unatesa Wanyonge,kila kitu kimepanda utafikiri nchi iko vitani,mafuta huko wanakosingizia vita yameisha shuka miezi miwili imepita lakini hapa kwetu ndio yanazidi kupanda,tuna mfano wa Rais hatuna Rais hapa.
 
Waulize watumishi wanapenda warudi Misri au waendelee mbele..

Hao watumishi sio tuu wameongezewa 20,000 bali wameongezewa posho,wamepandishwa madaraja,wamelipiwa madai,wamefutiwa penati ya loan board na riba ya bodi ya mikopo..
Mama yako ana roho nzuri tatizo lake ni KILAZA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…