The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Waulize watumishi wanapenda warudi Misri au waendelee mbele..Wewe January Makamba wewe acha uboya, hakuna mtumishi anaye furahia kuongezwa elfu 20 na kulipishwa
1. Tozo za miamala kwenye huduma za kifedha za simu.
2. Tozo mpya za benki
3. 1000 za luku kila mwezi
4. Mafuta toka 1800 mpaka 3000+
5. Mfumuko wa bei kwenye bidhaa zote muhimu.
Jiandae kisaikolojia
Hao watumishi sio tuu wameongezewa 20,000 bali wameongezewa posho,wamepandishwa madaraja,wamelipiwa madai,wamefutiwa penati ya loan board na riba ya bodi ya mikopo..