Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Siyo kazi yake Kutoa mbadala. Kuna watu wengi wameajiriwa serikalini kwa ajili ya hiyo kazi ikiwemo huyo Mama yenu na kazi imewashinda. Vilaza wakubwa
Watu walioajiriwa serikalini ndo wamekuja na TOZO. We ita majina yote ila TOZO lipa.
 
Tatizo lilianzia kwa huyo unayemuita mtu wa maana
Ndugu Magu hakujiweka pale bahati mbaya,

Kuboronga Kwa JK ndo kulimuibua Magu, wazee walianza kumuandaa Awamu ya pili ya uongozi wa JK.

Tukipuuzia njia ya KATIBA mpya na TUME huru ya Uchaguzi, DICTATOR mwingine anatengezwa!!!!
 
Kwanza hujajibu unataka urudi Misri au uendelee mbele?

Watumishi 3/4 wamegiswa na hayo aliyofanya mama..

Tanzania hakuna mfumuko wa bei, mfumuko wa bei uko huku πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220819-170813.png
    152.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220821-121510.png
    198.6 KB · Views: 5
Mama yako ana roho nzuri tatizo lake ni KILAZA.
Kilaza anayekulipisha TOZO. Vichenji vyako vyote vinakusanywa serikalini, unavitoa huku unaguna guna ila ndo hivyo vinatoka.
 
Angekuwa kilaza mda huu Chadomo na Sukuma gang wangeshakuwa Ikulu ila amewadhibiti mnajifariji mitandaoni 😁😁😁😁
Unaona akili zenu zilivyokuwa matope tunaongelea maisha ya watu unaleta habari za Chadema na Sukuma gang. Adui wenu sasa ni wananchi na vyombo vya usalama.
 
Itachukua muda sana waTZ kuelewa....wengi akili ndogo
 
Unaona akili zenu zilivyokuwa matope tunaongelea maisha ya watu unaleta habari za Chadema na Sukuma gang. Adui wenu sasa ni wananchi na vyombo vya usalama.
Maisha ya watu yamefanya nini?

Unachagua kurudi Misri au kuendelea mbele?

Maisha ya watu saizi wanafaidi umesikia wapi biashara zimefungwa au umesikia wapi wakulima wakilia kwamba Mazao yao hayauziki au yana Bei ndogo?

Fala wewe saizi ni awamu ya kila mtu kulamba asali kama Hawa wenzio πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-115541.png
    150.9 KB · Views: 3
Itachukua muda sana waTZ kuelewa....wengi akili ndogo
Siku zote ili pawe na utawala lazima watawaliwa wazidiwe uelewa na watawala. Hapa nchini wengi wanapenda matukio.

Pakitokea connection italipiwa hata 10,000 ionekane. Na hata zikifululizana still hizo pesa zitalipwa. Wananchi wenye uelewa wa kiwango hichi hauitaji nguvu kubwa kuutiliza unapointroduce new type of TAX.
 
Wewe mwenyewe huli asali. Ni mshamba Kama washamba wengine tu.
 
Anayaangalia yajayo akilinganisha na ya sasa na yaliyopita.

Looking at the FUTURE comparing the PRESENT and the PAST.

Hasifii marehemu, Anamtengeneza AJAYE maana aliyepo hatodumu milele!!!!

Got it?
 
Reactions: Tsh
Rais kama JPM hapana... Rais wa tozo tozo na matumizi ya kifahari kama SSH ni ishara ya ujinga wa wananchi.
Kama tatizo lipo kwanini wananchi wasilalamike kila kona kufikisha ujumbe? Kwanini mpaka 2025?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…