The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Angekuwa kilaza mda huu Chadomo na Sukuma gang wangeshakuwa Ikulu ila amewadhibiti mnajifariji mitandaoni 😁😁😁😁Mama yako ana roho nzuri tatizo lake ni KILAZA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekuwa kilaza mda huu Chadomo na Sukuma gang wangeshakuwa Ikulu ila amewadhibiti mnajifariji mitandaoni 😁😁😁😁Mama yako ana roho nzuri tatizo lake ni KILAZA.
Watu walioajiriwa serikalini ndo wamekuja na TOZO. We ita majina yote ila TOZO lipa.Siyo kazi yake Kutoa mbadala. Kuna watu wengi wameajiriwa serikalini kwa ajili ya hiyo kazi ikiwemo huyo Mama yenu na kazi imewashinda. Vilaza wakubwa
Ndugu Magu hakujiweka pale bahati mbaya,Tatizo lilianzia kwa huyo unayemuita mtu wa maana
Kwanza hujajibu unataka urudi Misri au uendelee mbele?Kwani Watumishi wote walikuwa wanadaiwa na bodi ya mikopo kusema wamefutiwa penat ya bodi? tunataka Rais ashugulikie mfumuko wa bei ambao unatesa Wanyonge,kila kitu kimepanda utafikiri nchi iko vitani,mafuta huko wanakosingizia vita yameisha shuka miezi miwili imepita lakini hapa kwetu ndio yanazidi kupanda,tuna mfano wa Rais hatuna Rais hapa.
001 na 005.Kwani ni dikteta gani amewahi kuwepo Tanzania?
Kilaza anayekulipisha TOZO. Vichenji vyako vyote vinakusanywa serikalini, unavitoa huku unaguna guna ila ndo hivyo vinatoka.Mama yako ana roho nzuri tatizo lake ni KILAZA.
[emoji38][emoji38][emoji38]Samia is incompetent.. magufuli was ignorant.
Unaona akili zenu zilivyokuwa matope tunaongelea maisha ya watu unaleta habari za Chadema na Sukuma gang. Adui wenu sasa ni wananchi na vyombo vya usalama.Angekuwa kilaza mda huu Chadomo na Sukuma gang wangeshakuwa Ikulu ila amewadhibiti mnajifariji mitandaoni 😁😁😁😁
Kodi zangu zinachukuliwa na IRS.Kilaza anayekulipisha TOZO. Vichenji vyako vyote vinakusanywa serikalini, unavitoa huku unaguna guna ila ndo hivyo vinatoka.
Miguno ni ishara tosha huna haja ya kujieleza nani anachukua kodi.Kodi zangu zinachukuliwa na IRS.
Siyo kazi yangu kukufanya uamini.Miguno ni ishara tosha huna haja ya kujieleza nani anachukua kodi.
Maisha ya watu yamefanya nini?Unaona akili zenu zilivyokuwa matope tunaongelea maisha ya watu unaleta habari za Chadema na Sukuma gang. Adui wenu sasa ni wananchi na vyombo vya usalama.
Siku zote ili pawe na utawala lazima watawaliwa wazidiwe uelewa na watawala. Hapa nchini wengi wanapenda matukio.Itachukua muda sana waTZ kuelewa....wengi akili ndogo
Sihitaji hilo kutoka kwako, miguno inatosha.Siyo kazi yangu kukufanya uamini.
Wewe mwenyewe huli asali. Ni mshamba Kama washamba wengine tu.Maisha ya watu yamefanya nini?
Unachagua kurudi Misri au kuendelea mbele?
Maisha ya watu saizi wanafaidi umesikia wapi biashara zimefungwa au umesikia wapi wakulima wakilia kwamba Mazao yao hayauziki au yana Bei ndogo?
Fala wewe saizi ni awamu ya kila mtu kulamba asali kama Hawa wenzio 👇
Anayaangalia yajayo akilinganisha na ya sasa na yaliyopita.Heshima kidogo iwepo kwa waliotangulia maana naona umekosa mifano unajitolea tu.
Treni linakimbiaga maspeed ya juu tu bila kujali nn kipo mbele, ikitokea kuna hitilafu ya reli huko mbele linaparamia pukurtukuTUKUUUUPUUUU. LINACHINJA WOTE. Ndivyo JPM alivyokuwa?
Nchi haiongozwi na marehemu, marehemu wamemaliza sehemu yao. Raisi ni SSH, Tumkosoe ili tujenge na sio lazima kuassume kwenye kila jambo marehemu angefanyaje. Kila saa ni marehemu, marehemu, marehemu, marehemuuu kanakwamba yeye ndo wa mwisho kufa.
Endelea kusikiliza Miguno.Sihitaji hilo kutoka kwako, miguno inatosha.
Rais kama JPM hapana... Rais wa tozo tozo na matumizi ya kifahari kama SSH ni ishara ya ujinga wa wananchi.Kwakweli tulipoteza mtu wa maana sana katika taifa letu, 2025 kuna haja ya CCM kufanya maamuzi magumu, tunahitaji mtu kama JPM Nasema Uongo Ndugu Zangu?
Rais gani unakesha kukimbizana na masikini kupitia tozo za hovyohovyo? Umeshindwa kudhibiti mfumuko wa bei, unafanya nini sasa?
Ndio, kwa sababu Ccm ni muhimili wa 4 au chama dola.Kwani CCM ndio ina dhamana pekee ya kuleta Rais wa Tanzania ?