devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 268
- 370
Tanzania ishapotezaga dira kitambo sana !! si leo wala jana ndugu.Haya mambo watawala wanachukulia simple sana, ila watu hawana Imani na utawala huu
Cha kwanza ni kutafuta dawa ya kuing'oa CCM madarakani! Hakuna kiongozi bora atakayetoka ndani ya CCM! Wote lao moja, hawajawahi kuwa na huruma na Watanzania!Atakayehamasisha maandamano ya kupinga tozo na kumuondoa Samia nitamuunga mkono kwa asilimia 100...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji381][emoji381][emoji381]Kichwa kinaniuma
Nchi hii hakunaga maandano ndugu, cha kufanya ni kuzizoea hizi TOZO na hata zingine zitakazokuja tuishi nazo vizuri.
Huwezi kuwangoa hawa jamaa ndugu kwa katiba hii sahau milele kwani dola imo mikononi mwao... dola ndiyo CCM na CCM ndiyo dola. Kama una nia ya dhati anza katiba mpya kwanza.Cha kwanza ni kutafuta dawa ya kuing'oa CCM madarakani! Hakuna kiongozi bora atakayetoka ndani ya CCM! Wote lao moja, hawajawahi kuwa na huruma na Watanzania!
Mkuu uko sahihi kwa hali tulipofika na tunakoendelea ile kauli ya rais wa mawe kweli tutakimbia hii nchi......lakini mi Naomba aliyewapa madaraka aingilie katiAtakayehamasisha maandamano ya kupinga tozo na kumuondoa Samia nitamuunga mkono kwa asilimia 100....
CCM tuliipenda na kuichagua wenyew
CCM tuliipenda na kuichagua wenyew
Unakumbuka uzi wako ,ulisema Mara elfu hangaya kuliko Jiwe??Atakayehamasisha maandamano ya kupinga tozo na kumuondoa Samia nitamuunga mkono kwa asilimia 100...
CCM tuliipenda na kuichagua wenyew
Cha ajabu 2025 ccm wanaweza kumuweka na akawa rais tena...nchi ya kipumbavu sana hii.
Atakayehamasisha maandamano ya kupinga tozo na kumuondoa Samia nitamuunga mkono kwa asilimia 100
Nipo tayar kuunga mkono vuguvugu lolote la maandamano ya kupinga tozo na maandamano ya amani ya kumng'oa Samia madarakani.
Sio tu support ya kuingia barabarani, bali hata support ya kifedha, nipo tayari kutoa hata nusu ya uwezo wangu kusaidia maandamano ya kumng'oa huyu chifu madarakani
Hatuwezi kuongozwa na mtu ambaye Hata kujiongoza mwenyewe hawezi, urais wenyewe haongozi yeye anaongozwa ongozwa tu..
Hana brain ya kuongoza nchi, hana ubunifu, hana mawazo yeye yupo bora liende tu, anafanya hivyo kwa kua anajua hii nchi ya Watanganyika, anajua kabisa mwishoni hata akipambana watakaonufaika ni watanganyika, yeye anajijazia tu CV yake akimaliza muda wake akampumzike zake pale kisiwani
Anachokifanya Samia kwa Tanganyika ni sawa na umchukue rais wa Kenya umlete aje kutawala TZ hapo moyo wa kutumikia tz hatokua nao atafanya mambo yaende tu hivyo hivyo maana mwishoni anajua atarudi zake Nairobi the same to Hangaya, hivi mnadhani Samia angekua rais wa ZANZIBAR angeyafanya haya anayotufanyia watanganyika?Jibu ni hapana...
Huyu kilichobaki ni wananchi tumkatae hadi aondoke uchaguzi uitishwe hatuwezi tukaongozwa na huyu bibi ambaye yeye anaongozwa na kina msoga na mwigulu zile story zake za kutuambia huwa halali ni urongo wa zama!!eti asilale kisa watanganyika[emoji32] sio kweli kabisa
Nipo tayari kushiriki maandamano ya kumng'oa huyu bibi, nitatoa nusu ya uwezo wangu kuwasapoti watakaoanzisha maandamano ya amani na ya kisheria ya kumpinga huyu Chief...
Useless kabisa!!!hamna kitu pale tumepigwa!!
Wanajeshi wa tz ni waoga hawana kabisa uthubutu wa kumtoa rais madarakaniNdio wataharibu kabisa. Magufuli watu waliuchuna maana Kuna projects alikuwa anaendelea nazo, ila huyu watamfurusha asubuhi. Kumbuka jeshi lililopo ni la wananchi sio serikali. Hivyo laweza kusimama upande wa wananchi.
Wanajeshi wa tz ni waoga hawana kabisa uthubutu wa kumtoa rais madarakani