Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Atakayehamasisha maandamano ya kupinga tozo na kumuondoa Samia nitamuunga mkono kwa asilimia 100...
Cha kwanza ni kutafuta dawa ya kuing'oa CCM madarakani! Hakuna kiongozi bora atakayetoka ndani ya CCM! Wote lao moja, hawajawahi kuwa na huruma na Watanzania!
 
Nchi hii hakunaga maandano ndugu, cha kufanya ni kuzizoea hizi TOZO na hata zingine zitakazokuja tuishi nazo vizuri.

Hapana kabisa. Mazoea Yana taabu. Haya mazoea ndio yanasababisha serikalininapanga mambo ya kijinga.
 
Cha kwanza ni kutafuta dawa ya kuing'oa CCM madarakani! Hakuna kiongozi bora atakayetoka ndani ya CCM! Wote lao moja, hawajawahi kuwa na huruma na Watanzania!
Huwezi kuwangoa hawa jamaa ndugu kwa katiba hii sahau milele kwani dola imo mikononi mwao... dola ndiyo CCM na CCM ndiyo dola. Kama una nia ya dhati anza katiba mpya kwanza.
 
Atakayehamasisha maandamano ya kupinga tozo na kumuondoa Samia nitamuunga mkono kwa asilimia 100....
Mkuu uko sahihi kwa hali tulipofika na tunakoendelea ile kauli ya rais wa mawe kweli tutakimbia hii nchi......lakini mi Naomba aliyewapa madaraka aingilie kati
 
Cha ajabu 2025 ccm wanaweza kumuweka na akawa rais tena...nchi ya kipumbavu sana hii.
 
Atakayehamasisha maandamano ya kupinga tozo na kumuondoa Samia nitamuunga mkono kwa asilimia 100...
Unakumbuka uzi wako ,ulisema Mara elfu hangaya kuliko Jiwe??

Imekuaje Tena?

Ulisema kipindi cha Jiwe watu waliokotwa kwenye viroba
Majuzi gazeti limeripoti watu wapo ndani ya viroba.

Ukasema Jiwe hakuongeza mishahara wala madaraja
Hangaya kaongeza elfu 10 then kakata elfu 20.

Uliandika uzi wa kumnanga Sana Jiwe [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: nao
Cha ajabu 2025 ccm wanaweza kumuweka na akawa rais tena...nchi ya kipumbavu sana hii.

Ndio wataharibu kabisa. Magufuli watu waliuchuna maana Kuna projects alikuwa anaendelea nazo, ila huyu watamfurusha asubuhi. Kumbuka jeshi lililopo ni la wananchi sio serikali. Hivyo laweza kusimama upande wa wananchi.
 
Atakayehamasisha maandamano ya kupinga tozo na kumuondoa Samia nitamuunga mkono kwa asilimia 100

Nipo tayar kuunga mkono vuguvugu lolote la maandamano ya kupinga tozo na maandamano ya amani ya kumng'oa Samia madarakani.

Sio tu support ya kuingia barabarani, bali hata support ya kifedha, nipo tayari kutoa hata nusu ya uwezo wangu kusaidia maandamano ya kumng'oa huyu chifu madarakani

Hatuwezi kuongozwa na mtu ambaye Hata kujiongoza mwenyewe hawezi, urais wenyewe haongozi yeye anaongozwa ongozwa tu..

Hana brain ya kuongoza nchi, hana ubunifu, hana mawazo yeye yupo bora liende tu, anafanya hivyo kwa kua anajua hii nchi ya Watanganyika, anajua kabisa mwishoni hata akipambana watakaonufaika ni watanganyika, yeye anajijazia tu CV yake akimaliza muda wake akampumzike zake pale kisiwani

Anachokifanya Samia kwa Tanganyika ni sawa na umchukue rais wa Kenya umlete aje kutawala TZ hapo moyo wa kutumikia tz hatokua nao atafanya mambo yaende tu hivyo hivyo maana mwishoni anajua atarudi zake Nairobi the same to Hangaya, hivi mnadhani Samia angekua rais wa ZANZIBAR angeyafanya haya anayotufanyia watanganyika?Jibu ni hapana...

Huyu kilichobaki ni wananchi tumkatae hadi aondoke uchaguzi uitishwe hatuwezi tukaongozwa na huyu bibi ambaye yeye anaongozwa na kina msoga na mwigulu zile story zake za kutuambia huwa halali ni urongo wa zama!!eti asilale kisa watanganyika[emoji32] sio kweli kabisa

Nipo tayari kushiriki maandamano ya kumng'oa huyu bibi, nitatoa nusu ya uwezo wangu kuwasapoti watakaoanzisha maandamano ya amani na ya kisheria ya kumpinga huyu Chief...

Useless kabisa!!!hamna kitu pale tumepigwa!!


Si,tumekubaliana bora hangaya kuliko Jiwe?
 
  • Thanks
Reactions: nao
Ndio wataharibu kabisa. Magufuli watu waliuchuna maana Kuna projects alikuwa anaendelea nazo, ila huyu watamfurusha asubuhi. Kumbuka jeshi lililopo ni la wananchi sio serikali. Hivyo laweza kusimama upande wa wananchi.
Wanajeshi wa tz ni waoga hawana kabisa uthubutu wa kumtoa rais madarakani
 
Nipo tayari kushiriki kwa 100%
SERIKALI IMESHINDWA KUJIKITA KWENYE MIRADI YA UDHALISHAJI BADALA YAKE IMEKUWA BUNIFU KWENYE TOZO (VYA MSELELEKO)
 
Uzi wa moto huu, waweza kujikuta uko kisutu una kesi ya uhaini,
Yangu ni hayo tu,
Salamu nyingi kwa Afande DCI Kingai, J4, na wengine wengi,
 
Haya mambo hayahitaji maandamano sijui nguvu kubwa nk
Wakati umefika kwa watanzania kuanza kuhoji matumizi ya fedha inayotokana na serikali kwenye miradi nk
Na pia kwenye huduma zitolewazwo
Na ofisi za serikali watu mkiona huduma mbovo mhoji na muwe wakali

Juzi kati hapa tuliona show ya yule msanii mnaijeria,alizingua naona watu
Mule ndani walikuja juu hadi kurusha chupa nk,tunataka hyo spirit wahihamishe mpaka kwenye masuala ya msingi inayoilenga jamii

Ova
 
Back
Top Bottom