Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kimekupata nini ndugu maana ilikua mama mama mama anaupiga mwingi nafuu yeye

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 

Kwa Sasa Hangaya ndio yupo madarakani, ndio anaye angaliwa bila kumfananisha na mwingine.
 
Mwishoni mwa mwaka 2023 ndiyo vita kamili ya kuwapiga wahuni wa sa100 na yeye mwenyewe ...maana tumempa muda ili asije kusema kakwamisha na watu waliompinga tumemwacha acheze yeye mwenyewe hatakavyo ...kwa sasa mambo yanazidi kufa serikali inafirisika awezi kusingizia tena watu wa JPM .
 
Uozo hauwezi ukawa wa mtu mmoja lazima waliomzunguka nao wawe responsible....

 
Naona hangaya amekugusa kunako!

Si ulikuwa lichawa lake humu wewe?

Ulifikiri kwa vile muislamu mwenzio hutafikiwa?

By the way,, si unapumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5 wewe?
 
Reactions: nao
Kwahiyo ndio sasa mwambuka shuka wakati jua lishachomoza?
 
Mimi CCM damu siwezi kuandamana.... kazi iendelee na hapa nakwenda kufata buku saba yangu na t-shirt la chama nilale
 

Mkuu wewe unayo majibu kwenye maswali 3 hapa, lakini si viongozi wetu:



Kabla ya kuvaana naye ana kwa ana ushauri wangu ni kuvaana na hawa wetu kwanza. Hawa ndiyo sehemu kubwa ya huu uozo tuuonao:

Muda wa mapinduzi vyamani ni sasa

Kwani hata tutafikia huko aliko huyu?

Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir.

Mbona chap chap atajifunza kutusikiliza na mambo yote yatanyooka?
 
Awali ya yote naomba nimshukru mwenyezi Mungu kwa kibali chake kwa kunijalia afya njema.

Moja kwa moja kwenye lengo.
Ni ukweli kabisa usiopingika kwamba kwa Tanzania hatuna Rais wa nchi ,na hii yote inadhihirisha kwa haya yanayoendelea kila uchwao, na hali ya wananchi inazidi kuwa mbaya zaidi kwa kipato cha mtu mmoja mmoja.

Nasema hivyo kwasababu zifuatazo:
1.Kama nchi hii ingekuwa na Rais asingeruhusu mfumuko wa bei wa kila kitu ...na yeye akaenda mbali zaidi mbele ya media anasema vitu vitapanda bila aibu ndo hapo nilipobaina nchi haina rais.
2.Mlundikano wa tozo....hii ndo imekuja kudhihirisha uwezo mdogo wa kuongoza na kushindwa kutengeneza njia rafiki za kukusanya kodi , naamini kama Tanzania ingekuwa na Rais angezumzia hili na angeleta matumaini kwa wananchi wa kawaida.


Niseme tu kwa upeo wangu huu muda wa kulipigania taifa letu, sote kwa pamoja tunahitaji kupaza sauti zetu kudai katiba mpya na hiyo ndo itakuwa mwarobaini wa haya yote yanayoendelea.

#No tozo#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…