Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Tupo pamoja na wewe... Ila kwenye udini futa hapo...
 
Introduction yako imenikumbusha nguli Pascal Mayala.
Kufumba na kufumbua tukamuona kwenye Kura za maoni mboga mboga jimboni Kawe.
 
Mpaka kufika hapo alipo ni bila shaka sifa anazo.

Tanzania wanawake ni wengi kuliko wanaume na kwenye hao wanawake wengi mpaka alifikiriwa kuwa Makamu wa Rais bila shaka uwezo anao ka sababu asingekuwa na uwezo basi wangepewa hao wanawake wenye uwezo. Na hadi Mungu Kampa huo Urais inamasnisha kamuamini hata yeye.

Mimi binafsi sikuwai mfahamu Samia hadi alipokuwa mwenyekiti kwenye Bunge la katiba na pale nilivutiwa na uwezo wake na hata alipokuwa Makamu sijawai kuwa na shida naye.

Mimi ni Mkristo pia Mkatoliki hasa na sijaona udini wowote wa Rais Samia zaidi ninachokiona ni chuki zako tu zilizosababishwa na msongo wako wa mawazo!

Polee sana
 
Mafi yako
 

Uko sahihi, lakini hakuna mtu yoyote mwenye akili atashindwa kuwa rais wa nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…