Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Ripoti hii imeiacha uchi Serikali. Kwa uadilifu na uaminifu wa Chifu Hangaya, namshauri aachie ngazi. Hii ni aibu Kwa CCM.
Kwani ilivyotoka ripoti hii ya mwaka 2018/2019 Mwamba aliachia ngazi?
Screenshot_20230408-135147.jpg
Screenshot_20230408-135051.jpg
 
Ripoti hii imeiacha uchi Serikali. Kwa uadilifu na uaminifu wa Chifu Hangaya, namshauri aachie ngazi. Hii ni aibu Kwa CCM.
Hakuna utamaduni huo, hata mtanguliz wake ile 1.5trl aliyosema CAG alipaswa ajiuzulu lkn wapi!!
 
Back
Top Bottom