Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Ajiuzulu kwa sababu gani? Wewe mpumbavu umekula makande halafu ukaenda kuvuta bangi chooni?
Tunakosoa sio kumfanya jpm mwema bali jpm hayupo wala han faida kwetu zaid ya kuwa kweny historia yetu ila sasa hv tunaangalia mbele ,ni ukichaa kumtetea kiongoz na ukute hata kwenye huo mchongo haupo wala hukunusa hata buku , JITAMBUE NYINY WA USHABIKI WA KITOTO NDO MNALIUA HILI TAIFA MAFISADI WANAJIFICHA KWENYE KICHAKA CHA JPM UKIWAGUSA TU WANADAU KUWA WW NI MDAU WA HAYYAT ILA UKWEL HATUTOPIGA HATU KAMA TUTAENDELEA KULITUMIA JINA LA MAREHEM KAMA KINGA YA HUU UCHAF
 
Matendo yao.... wana hasira sana na Bimkubwa
Kwamba kumkosoa ni kuwa na hasira hv kwenu maharage yanauzwa buku ? hv kwel hujakutana na trafik wakakuomba buku 2 hata kama huna kosa au unaendesha baiskeli? mkitoka hapa mnasema Marekan ndo inawafanya muwe maskin wkt hapa mnawalinda mafisad
 
Kwani ilivyotoka ripoti hii ya mwaka 2017/2018 Mwamba aliachia ngazi?View attachment 2583249View attachment 2583250
ndo yale yale watu wanakufa huko chitoholi unasubir sheria ikuruhusu kuwapa ela , hiyo taarifa ingekuwa valid kama itaonesha sehem husika walipoingiziwa hela na tuone kama hizo sehem hazina mabadiliko , uzuz huu ndo ulikuwa unafanya tunadumaa eti Uganda ndo wakutuuzia umeme kwa mkoa wa kagera ? kisa tu ela za uvutaj umeme watu wanajengea sheli tena wakatunga na sheria za kuchelewesha miamala kwa maeneo husika yenye uhitaji , mzaz wang alikuwa mtumish wa kitengo x ela zilizopaswa kufikia kitengo chake zilikuwa zinaliwa na wakubwa inabidi yeye aingie mfukoni atoe ela yake maana wananchi wasingemuelewa
 
Wewe ni mnufaika wa hayati, kwa taarifa yako hawezi kufufuka. Tafuta fursa ya kiuchumi ujipange nayo. Wapumbavu mlizoeshwa Ripoti FAKE ya CAG wakati wa Magufuli sasa Rais Samia anapokea Ripoti ya ukweli inayoonyesha gaps kwenye Serikali yake.

Badala kwanza ya kupongeza hilo la kupokea ripoti mnasema eti ajiuzulu?

Kwani yeye kuwa Rais ndiyo maana yake kuwa ndiyo kasababisha huo ufisadi?

Acheni mfumo ufanye kazi kisheria
 
CCM Hatuna Utaratibu Huo, Wala Bunge Haliwezi Kupiga Kura Ya Kutokuwa Na Imani Naye

Tuendelee Mbele, Tuliobaki Tunasonya Na Kutema Mate Kando
Ni wakati Sasa umefika ule wimbo wetu wa " Chama Chetu cha Mambuzi chajenga nchi"
Ubadilike na kuimbwa
Chama Chetu cha Mambuzi CHATAFUNA nchi mbele Kwa mbele.
 
Wewe ni mnufaika wa hayati, kwa taarifa yako hawezi kufufuka. Tafuta fursa ya kiuchumi ujipange nayo. Wapumbavu mlizoeshwa Ripoti FAKE ya CAG wakati wa Magufuli sasa Rais Samia anapokea Ripoti ya ukweli inayoonyesha gaps kwenye Serikali yake.

Badala kwanza ya kupongeza hilo la kupokea ripoti mnasema eti ajiuzulu?

Kwani yeye kuwa Rais ndiyo maana yake kuwa ndiyo kasababisha huo ufisadi?

Acheni mfumo ufanye kazi kisheria
Asipojiuzulu ataadhiniwa na umma mpana.
 
Back
Top Bottom