Ajiuzulu kwa sababu gani? Wewe mpumbavu umekula makande halafu ukaenda kuvuta bangi chooni?Ripoti hii imeiacha uchi Serikali. Kwa uadilifu na uaminifu wa Chifu Hangaya, namshauri aachie ngazi. Hii ni aibu Kwa CCM.
Umewajuaje MkuuDah, wafuasi wa mwendazake mna hatari😂😂
Ripoti hii imeiacha uchi Serikali. Kwa uadilifu na uaminifu wa Chifu Hangaya, namshauri aachie ngazi. Hii ni aibu Kwa CCM.
Kwa nini asiwe PM?Ripoti hii imeiacha uchi Serikali. Kwa uadilifu na uaminifu wa Chifu Hangaya, namshauri aachie ngazi. Hii ni aibu Kwa CCM.
Matendo yao.... wana hasira sana na BimkubwaUmewajuaje Mkuu
Kwani ilivyotoka ripoti hii ya mwaka 2018/2019 Mwamba aliachia ngazi?Ripoti hii imeiacha uchi Serikali. Kwa uadilifu na uaminifu wa Chifu Hangaya, namshauri aachie ngazi. Hii ni aibu Kwa CCM.
Mwenyekiti wa The Green Mamba aachie kiti!Ripoti hii imeiacha uchi Serikali. Kwa uadilifu na uaminifu wa Chifu Hangaya, namshauri aachie ngazi. Hii ni aibu Kwa CCM.
YesKwa nini asiwe PM?
SureMtu anakuletea invoice kaziidishaa dola milioni 49 sawa na tshs bilioni 90 jua kakupima kakuona wa kawaida tu.
Comments reservedRipoti hii imeiacha uchi Serikali. Kwa uadilifu na uaminifu wa Chifu Hangaya, namshauri aachie ngazi. Hii ni aibu Kwa CCM.
Sasa Bangi imeingiaje hapo tena ndg yangu!!??Ajiuzulu kwa sababu gani? Wewe mpumbavu umekula makande halafu ukaenda kuvuta bangi chooni?
Hakuna utamaduni huo, hata mtanguliz wake ile 1.5trl aliyosema CAG alipaswa ajiuzulu lkn wapi!!Ripoti hii imeiacha uchi Serikali. Kwa uadilifu na uaminifu wa Chifu Hangaya, namshauri aachie ngazi. Hii ni aibu Kwa CCM.
Upigaji huu upo hadi kwenye manunuzi ya vipuri na matengenezo ya Magari ya Serekali!!!Mtu anakuletea invoice kaziidishaa dola milioni 49 sawa na tshs bilioni 90 jua kakupima kakuona wa kawaida tu.