Wezi wa awamu ya tano mmevuliwa nguo, mlijifanya wazalendo sijui raisi wa masikini na wanyonge, konyo nyieRipoti hii imeiacha uchi Serikali. Kwa uadilifu na uaminifu wa Chifu Hangaya, namshauri aachie ngazi. Hii ni aibu Kwa CCM.
ukimkosoa SSH unakuwa mshabiki wa mwendazake ? ndio maana mnaitwa sokweyhDah, wafuasi wa mwendazake mna hatari[emoji23][emoji23]
Ndiyo maana tunahitaji katiba ya wananchi siyo ya wanasiasa , (serikali). ambayo itajibu hayo yanajificha ama kufichwaUpigaji huu upo hadi kwenye manunuzi ya vipuri na matengenezo ya Magari ya Serekali!!!
Tunakosoa sio kumfanya jpm mwema bali jpm hayupo wala han faida kwetu zaid ya kuwa kweny historia yetu ila sasa hv tunaangalia mbele ,ni ukichaa kumtetea kiongoz na ukute hata kwenye huo mchongo haupo wala hukunusa hata buku , JITAMBUE NYINY WA USHABIKI WA KITOTO NDO MNALIUA HILI TAIFA MAFISADI WANAJIFICHA KWENYE KICHAKA CHA JPM UKIWAGUSA TU WANADAU KUWA WW NI MDAU WA HAYYAT ILA UKWEL HATUTOPIGA HATU KAMA TUTAENDELEA KULITUMIA JINA LA MAREHEM KAMA KINGA YA HUU UCHAFAjiuzulu kwa sababu gani? Wewe mpumbavu umekula makande halafu ukaenda kuvuta bangi chooni?
kama aliwanyooshea vidole wahusika na bado wapo maana rais hafai han mandate. dhid ya uteuzi wakeKwa nini asiwe PM?
Kwamba kumkosoa ni kuwa na hasira hv kwenu maharage yanauzwa buku ? hv kwel hujakutana na trafik wakakuomba buku 2 hata kama huna kosa au unaendesha baiskeli? mkitoka hapa mnasema Marekan ndo inawafanya muwe maskin wkt hapa mnawalinda mafisadMatendo yao.... wana hasira sana na Bimkubwa
Kwanini tuchague wakujiuzuru?Kwa nini asiwe PM?
ndo yale yale watu wanakufa huko chitoholi unasubir sheria ikuruhusu kuwapa ela , hiyo taarifa ingekuwa valid kama itaonesha sehem husika walipoingiziwa hela na tuone kama hizo sehem hazina mabadiliko , uzuz huu ndo ulikuwa unafanya tunadumaa eti Uganda ndo wakutuuzia umeme kwa mkoa wa kagera ? kisa tu ela za uvutaj umeme watu wanajengea sheli tena wakatunga na sheria za kuchelewesha miamala kwa maeneo husika yenye uhitaji , mzaz wang alikuwa mtumish wa kitengo x ela zilizopaswa kufikia kitengo chake zilikuwa zinaliwa na wakubwa inabidi yeye aingie mfukoni atoe ela yake maana wananchi wasingemuelewaKwani ilivyotoka ripoti hii ya mwaka 2017/2018 Mwamba aliachia ngazi?View attachment 2583249View attachment 2583250
Upuuzi kama huu ndio wapigaji wanaendelea kutafuna pesa zenu.Wezi wa awamu ya tano mmevuliwa nguo, mlijifanya wazalendo sijui raisi wa masikini na wanyonge, konyo nyie
Wewe unatakajeKwanini tuchague wakujiuzuru?
WoteWewe unatakaje
PUMBA OF THE DAYRipoti hii imeiacha uchi Serikali. Kwa uadilifu na uaminifu wa Chifu Hangaya, namshauri aachie ngazi. Hii ni aibu Kwa CCM.
Je hiyo Invoice ilipita?Mtu anakuletea invoice kaziidishaa dola milioni 49 sawa na tshs bilioni 90 jua kakupima kakuona wa kawaida tu.
Yaani Rais ajiuzulu kwa sababu ya CAG Report? Hiyo ni akili kweli? Ni bangi tuSasa Bangi imeingiaje hapo tena ndg yangu!!??
Ni wakati Sasa umefika ule wimbo wetu wa " Chama Chetu cha Mambuzi chajenga nchi"CCM Hatuna Utaratibu Huo, Wala Bunge Haliwezi Kupiga Kura Ya Kutokuwa Na Imani Naye
Tuendelee Mbele, Tuliobaki Tunasonya Na Kutema Mate Kando
Asipojiuzulu ataadhiniwa na umma mpana.Wewe ni mnufaika wa hayati, kwa taarifa yako hawezi kufufuka. Tafuta fursa ya kiuchumi ujipange nayo. Wapumbavu mlizoeshwa Ripoti FAKE ya CAG wakati wa Magufuli sasa Rais Samia anapokea Ripoti ya ukweli inayoonyesha gaps kwenye Serikali yake.
Badala kwanza ya kupongeza hilo la kupokea ripoti mnasema eti ajiuzulu?
Kwani yeye kuwa Rais ndiyo maana yake kuwa ndiyo kasababisha huo ufisadi?
Acheni mfumo ufanye kazi kisheria