Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Rais Samia amefanya mengi mazuri.

1. Haki za binadamu
2. Demokrasia
3. Miundombinu
 
Tumtendee haki, amefanya mengi tu mazuri. Na machache amevurunda pia.
Yako wapi? Yamejifichaficha ndani ya miradi ya mtangulizi wake! Taja jambo wazi lenye tija! Jambo pekee ambalo amefanya na kila mtanzania anajua ni kuuza bandari zetu kwa DP World! Basi!!
 
Muangalie SSH kwanza back up yake :-,(mwigulu,January,Nape, )unapata picha tu kwamba hakuna Cha maana zaidi ya cheap mission behind the scene yaani ni hasara tupu,back up yake wote ni liability
 
mbona kama ulichokiandika sio majibu ya swali.
 
[emoji120] lakini katutia kichefuchefu kwa hili la DP World tumemshtukia tunaanza kumtathmini kutafuta jambo lipi jema kawatendea linaloweza kubalance na kupooza kwa kiasi fulani na hii scandal! Ukiangalia hakuna!
 
Kikubwa kutoa ajira kwa vijana, Ila ya bandari tu ndo kachemka bi shungi wetu.
 
Kama huoni hakuna mtu wa kukuonesha

Nikikupa list hapa ni endless ,eg kuwapa Watoto wako Ajira ni jambo kubwa kuliko yote achilia mbali hayo ya Barabara ,hivyo ni vitu vidogo sana Kwa Samia..

Miradi ya JPM ni kama ipi hiyo?
Miradi ya JPM:
1. SGR
2. NYERERE HYDROELECTRIC POWER
3. Upanuzi wa barabara njia 8 + 4(service road)=12 kimara mpaka kibaa
4. Rada 4 za kulinda anga la Tanzania
5. Kufufua ATCL kanunua ndege 12
6. Elimu bure
7. Viwanda (kalakana/gati) za kutengeneza meli ziwa Victoria
8. Daraja lefu zaidi East Africa na kati 5km la busisi ziwa Victoria
9. Elimu bure
10. Makazi bora ya vyombo vya ulinzi (polisi) nchi nzima
11. Kuunganishiwa umeme vijiji vyote karibu na bure kwa kulipa tu 27,000/= ulishaona wapi?
12. Hostel za wanafunzi UDSM
13. Serikali kuhamia Dodoma
14. Ikulu mpya Dodoma chamwino
.
.
n.k

Ongeza nyingi
 
Muangalie SSH kwanza back up yake :-,(mwigulu,January,Nape, )unapata picha tu kwamba hakuna Cha maana zaidi ya cheap mission behind the scene yaani ni hasara tupu,back up yake wote ni liability
[emoji1][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Jibu hoja ,acha hisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…