Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Wapi uko
 
Kuna tukio nalikumbuka,siku moja wanawake watatu walimwomba dereva wa Bajaj amshushe jamaa mmoja ambae alikuwa ni abiria kwenye ile Bajaj kiss mwamba alikuwa anamsifia Sana Rais. Wakamwambia dereva mshushe huyu tutamlipia nauli yake.

Wamama sijui kawafanyaje huyu kiongozi hadi Wana chuki nae kiasi hiki.
 
Shida viongozi hawashirikishi wananchi wao kwenye mambo makubwa kama haya
 
Haaaaa hawataki kumsikia
 
Yaani unaliona jambo hilo kuwa dogo mpaka unasema "Kisa eti anauza mali za Tanganyika kwa Waarabu?" Mali ya Taifa ni jambo kubwa sana.
 
Mmeshamaliza kujitekenya mcheke kidogo ili tukuleteeni data halisi kutoka huku uraiani waliko raia wa kitanzania?
 
Watu wa kanda hiyo sio wa kuwaamini, ndio wamekuwa wakiiweka CCM madarakani kila uchaguzi...
 
Kusema kwamba hufahamu kwa nini amechukiwa ni kutokuwa mkweli kwa upande wako. Labda useme hupendi kuzitambulisha sababu hizo.
 
Ni wapi huko kwenu ambako kuko tofauti na kwingine kote?
 
Mbona hujui kuandika!? Alafu waambie kabisa Rais wa Tanzania hawekwi madarakani na wananchi,,,hivyo waendelee na kazi zao na wewe fanya yako ujiingizie kipato utachelewa sana.
 
Ni lini nyinyi watu wa kanda ya ziwa mliwahi kumpenda mama samia.....acheni unafiki, narudia tena nasema hiviii acheni unafiki....kanda ya ziwa hamjawahi kumpenda mama hata kidogo, makundi kama sukuma gang na ufara mwingine si yameanzia kanda ya ziwa??
 
Wamchukie kwa kuweka mkakati wa kumtoa na sio kushabikia eti bandari imeuzwa!
 
Huko visiwani lazima wamfagilie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…