Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kweli tupu watu wamemkataa kabisa, wapambe wake wamemharibia haswaFrankly speaking, Suala tata la Mkataba wa Bandari, limemuharibia sana Rais,tena limemuharibia haswa kupita kiasi. Kabla ya sakata hili, kusema ule ukweli wananchi wengi walikuwa wanamfurahia, japokuwa baadhi yao walikuwa hawamwamini sana kihivyo lakini kwa kiasi kikubwa walikuwa wanamfurahia. Baada ya kuibuka kwa sakata hili, ghafla tu wananchi wengi wameanza kutokumkubali hata kidogo,na mbya zaidi, kiwango cha kutokukubalika kinakuwa kwa kasi kubwa ya kutisha zaidi kwa kila siku inayoitwa leo.
Wakati anahojiwa na BBC alisemaje? Magufuli pamoja na udikteta wake lakini aligoma kumkamata MboweIle kesi ilikuwa ya zamani si yake
Kumuombea ni jambo zuri sana ila kwa mfumo uliopo ni ngumu sana cz yupo ndan ya mfumo!!Tumuombee sana Mungu ageuze moyo wake awe mtumishi Mwema kwa Taifa hili.
she is the best president one day mtamkubaliAlipoingia madarakani siku ya mwanzo kabisa sikuwa na imani naye sana. Baadae akafanya mambo mazuri kwa ajili ya Tanzania na kweli kazi zake zikawa zinaonekana ni halisi.
Muda ukapita wengine wakasema ngoja tumpe muda.
Tukasema sawa so far she is running good things.
Lakini kwa haya ya hivi karibuni na yanayotokea kwa sasa mimi naona kama naanza kukata tamaa.
Tumuombee sana Mungu ageuze moyo wake awe mtumishi Mwema kwa Taifa hili.
Ameen.
Watanzania tujaribu kuona kitu kizuri!Alipoingia madarakani siku ya mwanzo kabisa sikuwa na imani naye sana. Baadae akafanya mambo mazuri kwa ajili ya Tanzania na kweli kazi zake zikawa zinaonekana ni halisi.
Muda ukapita wengine wakasema ngoja tumpe muda.
Tukasema sawa so far she is running good things.
Lakini kwa haya ya hivi karibuni na yanatotokea kwa sasa mimi naona kama naanza kukata tamaa.
Tumuombee sana Kungu ageuze moyo wake awe mtumishi Mwema kwa Taifa hili.
Ameen.
Muombee wewe na familia yako maana wenye ufahamu tangu awali tulijua hamna rais hapo!Alipoingia madarakani siku ya mwanzo kabisa sikuwa na imani naye sana. Baadae akafanya mambo mazuri kwa ajili ya Tanzania na kweli kazi zake zikawa zinaonekana ni halisi.
Muda ukapita wengine wakasema ngoja tumpe muda.
Tukasema sawa so far she is running good things.
Lakini kwa haya ya hivi karibuni na yanayotokea kwa sasa mimi naona kama naanza kukata tamaa.
Tumuombee sana Mungu ageuze moyo wake awe mtumishi Mwema kwa Taifa hili.
Ameen.
Jipimieni!Ulipaswa kukata tamaa zamani sana
View attachment 2683912
Nadharia za kwenye makabrasha hizi..ni kweli sio muoga na ndio maana kafanikiwa kutuuza arabuni baada ya miaka 60 ya uhuru wa TatanganyikaWatanzania tujaribu kuona kitu kizuri!
Hii Nchi itaendelea sana lakini wazawa watakuwa watizamaji tu...
Mazingira ya Biashara kuanzia Kilimo mpk Ufugaji yameandaliwa Vizuri Mno na Huyu Rais SSH na tena kwa kipindi kufupi sana!
Mwezi wa Tisa hapa yanakuja Mataifa Karibia Yote kwa ajili ya kuona Fursa za Biashara ya Kilimo na Mifugo hapa Nchini.
Yaani wanakuja Wanunuzi wa Kondoo na Mbuzi wanakwambia tunataka Kondoo na Mbuzi laki moja kwa Mwezi-Kwa Dollar halafu!!
Ng'ombe kwa Dollar!
Kazi ya Serikali ni kuhakikishs tu kwamba Vigezo vya Export vimekamilika!
Tafsiri yake ni Kwamba Pesa zinakwenda kwa Mkulima moja kwa Moja!
Serikali inachofaidi ni Dollar!
Huu Mkutano haujawahi kufikiriwa kufanyika hapa Nchini lakini Mama amewaleta Wafanyabiashara zaidi ya 5000.
Mkulima wa Soya akiwepo pale anaizwa-Unazo tani ngapi!
Haya
Kama Nchi tunaweza kulipa kodi kwa Mwaka 24T.
Ubinafsishaji unatuletea 20+T zaidi...
Halafu watu wasio na Tin Number ndo wako na simu zao wanasema Nchi Imeuzwa!
Hasha!
Tubadili Fikra
Nchi inaongozwa vizuri Mnooo!
Miradi mikubwa ikifunguliwa hamtaamini kama hii ni Tanzania!
Shida ni kwamba je- Watanzania watachukuana na Hizo Fursa???
Tuamke!!!
Pesa ziko!!!!!
Nchi inamahusiano mazuri sanaaaa!!
SSH ni wakuombea Kwa Mungu!
By the way siyo Muoga.
We jamaaMuombee wewe na familia yako maana wenye ufahamu tangu awali tulijua hamna rais hapo!
Majibu yako toka kwa Naperipoti ya CAG ft kuuzwa kwa BANDARI lazima mnyooke
Watu wanataka wakasomeshe watoto wao uingereza huko wanaforce pesa ili watoto wao wasome waje kuwa wabunge, mawaziri Na maraisi waendelee kutuburuza
Hakuna kitu kama hicho cha kurekebisha mkataba; Samia kasaini na mkataba ni locked ndio maana mashavu yanamshuka hajui afanye nini waarabu hawataki kubadilisha hata nukta!Nyie ndio mnapotosha wananchi maana hakuna mahali kwenye mkataba kinasema nchi imeuzwa....na ikumbukwe kwamba mkataba huo unatoa fursa kuweza kurekebishwa muda wowote kwa manufaa ya nchi.
Majibu yako toka kwa Nape
View attachment 2683995