Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Umeongea kinadharia sana.
Biashara hizo haziendi kama ulivyo elezea hapa.
 
Ni hayo tu, issue ya Bandari si ya kupuuzia, sio poa kuifanyia Tanzania namna hii
 
Nyoka Wa Ndumilakuwili Huuma Akivuvia
Mbaazi Ukikosa Maua Husingizia Jua
 
Hana muelekeo tangu alipoapishwa, mpaka leo hajui anatupeleka wapi mwishowe ameamua kutupeleka utumwani kabisa ndani ya ardhi yetu..

Ajabu mjinga wa sampuli hii ndio anaitwa Amiri Jeshi Mkuu, wa taifa la majuha!.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa anayefuatilia maazimio, mjadala na namna suala la kubinafsisha bandari kwa DP World linavyoendelea, kuna haja ya hao watajwa hapo juu kujitafakari na kupisha uchunguzi kujua ni kwanini wanatetea vitu visivyoingia akilini.
Je watanzania tunawapa ushauri gani ili kufanikisha hili haraka bila kutupotezea muda na kugawa raslimali zetu? Inakuwaje wanafanya jambo la kisheria na kiuchumi kuwa la kisiasa?
 

Attachments

  • 1689265164005.png
    651.4 KB · Views: 4
Yawezekana wameagizwa na Mkuu wao kufanya hivyo. Yaani kufanya Kila linalowezekana kuhakikisha wanautetea Mkataba ule kwa namna yeyote ile.
 
Watu watatu Tanzania ambao LAANA ya Mungu ipo juu yao ni hawa
.1. Samia
2. Kassim
3. Tulia
Mpango kosa lake ni kutokeamea MAOVU!
 
Ni Samia wa huko kwenu au? maana kama una maana ya Rais wa TZ utakua haupo serious.
 
Sikujua Watu wa Mbeya mjini wanaweza kutenga muda wao kumsikiliza huyu kiumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…