Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Ni mwenzetu kiimani, anamwaga asali kila angle, maridhiano, ni mama pia anaupiga mwingi!! Hili nalo uliangalie 🤣🤣🤣
 
Binafsi nashindwa kushangaa
 
Mtoa mada anacho niachaga hoi ni kwamba yeye ni muislamu kindakindaki ila linapokuja swala la kuwapa R.K.O wafuatao (chama cha mambuzi na viongozi wake, na mizanzibari) basi hakopeshi
yeye siku anasimamia ukweli bila kuweka dini mbele
 
#FreeBonephaceMwabukusi
#FreeBonephaceMwabukusi
#FreeBonephaceMwabukusi
#FreeBonephaceMwabukusi
#FreeBonephaceMwabukusi
#FreeBonephaceMwabukusi
#FreeBonephaceMwabukusi
#FreeBonephaceMwabukusi
#FreeBonephaceMwabukusi
Defending our resources is not treason
@SuluhuSamia
 
Kwa triend ilivyo Mama anapaswa kuongeza juhudi kwenye kupiga picha ba wachezaji wa Simba na Yanga na aende Mbali zaiduli aanze kupiga picha na mashabiki pia.

Kule yanga na Simba ndiko kumejaa vilaza wa Taifa, watu wasio jitambua kule ndio kwao.

Na kupiga na picha na wachezaji wao kunaweza juwa na advantage kwa Mama ili kutengeneza sapoti.

Bila kusahau kesi za Kubambikia watu hasa wapinazani wake kiasiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…